Onyo kwa wanaume mnaotaka kuingia kwenye ndoa

Sio siku hizi tu ata zamani wanawake walikuwa wanaangalia mtu mwenye ngombe nyingi au mashamba mengi siku hizi tunakosea hata familia unapooa ndo mana tunahangaika
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna baby fancy halafu kuna mimi ni vitu viwili tofauti uzur najua kucheza uhusika wa aina tofauti tofauti hivyo mtu kunisoma sio rahis
Ebu njoo kwanza pm kwenye umaliziaji..😋
 
Kabla ya kuoa wanaume jiulizeni kwanza
1. Unamuoa nani?
2. Kwanini una oa

3. msipobarikiwa mtoto ndoa yenu itadumu?
nilikuwa naitafuta comment yako sana kwenye post zangu mama, Ahsante [emoji120]
 
Hiyo kutongozwa na diamond sidhani kama hata mama mchungaji wangu anaweza kataa[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Hawa wa sasa ni kama bargaining tu, mbaya zaidi usiombe akawa ana mtoto au watoto wa kando, jiulize kwanini wameshindwa hao na wewe una nini cha kipekee cha kuwazidi waliokutangulia,
Sisemi wanawake wote bali wengi wao wa aina hiyo ni tabu tubu na ni wa ku-fake life eti wao tu ndio hutendwa na kuonewa.
acha tu mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Yaani ndio diamond huyu hapa paaap yaani shetani atakua siku hiyo kaacha kazi zake zoote aje anitege mimi na sijui kama naweza lishinda hilo jaribu kama sijanasa [emoji849][emoji849][emoji849] labda siku hiyo akina gabriel na michael washuke live kuniokoa
 
Sio siku hizi tu ata zamani wanawake walikuwa wanaangalia mtu mwenye ngombe nyingi au mashamba mengi siku hizi tunakosea hata familia unapooa ndo mana tunahangaika
Zamani ipi?
 
Yaani ndio diamond huyu hapa paaap yaani shetani atakua siku hiyo kaacha kazi zake zoote aje anitege mimi na sijui kama naweza lishinda hilo jaribu kama sijanasa [emoji849][emoji849][emoji849] labda siku hiyo akina gabriel na michael washuke live kuniokoa
Nimekupendea ukweli wako, Kuna pisi niliwahi kuwa nayo yenyewe ilinihakaikishia kabisa hata aje nani, Kwanza wasanii na watu maarufu au wenye pesa ndo hataki hata kuwasikia, Akawa ananipigiaga story jinsi wenzake wanavyoliwa kijinga, Yaani akanionesha yeye ni special sana Hadi nikamuamini, Hapa nina miezi miwili toka achukuliwe na Mzungu mmoja hivi[emoji26][emoji174]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ise pole hapa duniani hatuaminiani bali tunajidanganya tu
 
Back
Top Bottom