Onyo kwa wanawake Dodoma: Ni kosa kubwa sana kubinuka wakati umepanda Pikipiki😂

Onyo kwa wanawake Dodoma: Ni kosa kubwa sana kubinuka wakati umepanda Pikipiki😂

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Ni onyo kali sana kutoka Jeshi la Polisi Tanzania mkoani Dodoma.

Je kuna athari yoyote ya kiusalama kama mteja akikaa kwa style hio ya kujibinua?

inahatarisha usalama wake?
Screenshot_20220507-100042.png
Screenshot_20220507-100054.png
 
Ni onyo kali sana kutoka Jeshi la Polisi Tanzania mkoani Dodoma.

Je kuna athari yoyote ya kiusalama kama mteja akikaa kwa style hio ya kujibinua?

inahatarisha usalama wake?
View attachment 2215030View attachment 2215031
Natamani wawakamate na kuwafikisha mahakamani, ili iwekwe wazi, kosa lao ni lipi? Kuna haja ya WaTz kuwa na wanasheria ili ujinga wa dola kuingilia mambo yasiyoihusu yakome!
 
Natamani wawakamate na kuwafikisha mahakamani, ili iwekwe wazi, kosa lao ni lipi? Kuna haja ya WaTz kuwa na wanasheria ili ujinga wa dola kuingilia mambo yasiyoihusu yakome!
Jukumu la polisi ni usalama wa Raia na Mali zao, ambapo kwa muktadha huu "Mali zao" Raia wa kiume ndizo hizo zinabinuliwa Hovyo so polisi lazima iingilie kati
 
Nyambafu kabisa,
Sheria inasemaje? Hii injii wanataka kutupelekesha Kama Saudia...
Macho Yale wapi Sasa kutaka kutuwekea pazia la mbao tu..
 
Nikionaga kidada kimejibinua hivyo kwenye bodaboda huwa naonaga ni kama tu kanapelekwa lodge kugegedwa.
 
Back
Top Bottom