Onyo kwa wanawake Dodoma: Ni kosa kubwa sana kubinuka wakati umepanda PikipikišŸ˜‚

Onyo kwa wanawake Dodoma: Ni kosa kubwa sana kubinuka wakati umepanda PikipikišŸ˜‚

Poleni sana wana Dodoma...

Hapa Dar ni hatari sana... na hawana hiana, tena ukiwaangalia ndiyo wanajibinua vizuri, ukiwaambia shuka njoo, anashuka anakuja...
 
Serakali pamoja na vyombo vya usalama vya hii nchi ni ovyo sana.
 
Ni onyo kali sana kutoka Jeshi la Polisi Tanzania mkoani Dodoma.

Je kuna athari yoyote ya kiusalama kama mteja akikaa kwa style hio ya kujibinua?

inahatarisha usalama wake?
View attachment 2215030View attachment 2215031
Ujinga tu. Kama abiria amejibinua inamhusu nini mtu mwingine? Angesema labda mtu hajavaa vizuri au anajiachia uchi. Kujibinua ni suala linaweza kutokana na abiria kuhakikisha amejishika vizuri na ni jambo la kibinafsi sana. Haifaa polisi kujiingiza kwenye suala la kibinafsi la raia.
 
Back
Top Bottom