Ujinga tu. Kama abiria amejibinua inamhusu nini mtu mwingine? Angesema labda mtu hajavaa vizuri au anajiachia uchi. Kujibinua ni suala linaweza kutokana na abiria kuhakikisha amejishika vizuri na ni jambo la kibinafsi sana. Haifaa polisi kujiingiza kwenye suala la kibinafsi la raia.