ONYO KWA WANAWAKE: Kuanika chupi chini ya meza Kunaweza kusababisha ajali, chagua sehemu salama ya kuanikia

ONYO KWA WANAWAKE: Kuanika chupi chini ya meza Kunaweza kusababisha ajali, chagua sehemu salama ya kuanikia

Mkuu wa shule alipiga marufuku wanafunzi wa kiume kuvuka mpaka na kufika mabweni ya wasichana akidai wataona chupi zilizoanikwa halafu watawewesuka kwa kihoro cha kutaka kunyandua msichana. Japo unyanduaji ulikuwepo wakati wa prepo za usiku ili kutuliza mizuka ya kimapenzi shuleni. Ilikuwa ni marufuku mvulana kuvinjari mabweni ya wasichana adhabu kali ingetolewa ikiwepo suspenshion miezi miwili
 
Acha waanike mkuu, wengine tukiziangalia hua tunapata wepesi kwenye matumizi ya sabuni...🫣
 
Back
Top Bottom