ONYO KWA WANAWAKE: Kuanika chupi chini ya meza Kunaweza kusababisha ajali, chagua sehemu salama ya kuanikia

ONYO KWA WANAWAKE: Kuanika chupi chini ya meza Kunaweza kusababisha ajali, chagua sehemu salama ya kuanikia

😆😆, Mila zetu na desturi zetu zimefanya wadada wengi kufikiri kuanika chupi nje basi ni aibu, ila huyo wa chini ya meza ametisha sana, wengi huanika bafuni na kwenye tendegu za vitanda..

Inashauriwa zianikwe nje kuua vijidudu na kujilinda dhidi ya fangasi, ni vyema kama mwanamke anaona aibu watu kuona kufuli lake waziwazi basi wafunikie na mitandio lakini wahakikishe jua linapiga
 
Juzi nilikuwa nimekaa sebuleni na naperuzi humu JF, huku napiga story mbili tatu na jamaa zangu walionitembelea.

Aisee! Kumbe meza iliyokuwa mbele yetu (iliyokuwa imebanwa ukutani) ina chupi nyingi zilizoanikwa na wife kwa chini bila Mimi kujua.

Story ziliponoga mimi nikaegemea kiti nilichokalia na kuingiza miguu chini ya meza nikayanyanyua juu kidogo, ghafla nikashangaa miguu inakwama, katika kujaribu kuyatoa nikaangukia kisogo nikapoteza fahamu, Leo ndo nimezinduka 🥲

Dah! Kumbe niliingiza miguu kwenye kamba za chupi na ikanasa vibaya.

Kilichonitokea ni hizi nywele zangu nyingi kichwani, la sivyo ningeshatangulia

Ni ngori!

View attachment 3677236View attachment 3677237
Chupi zenyewe za buku buku demu akivaa hayo machupi namuona mshamba sana
 
Juzi nilikuwa nimekaa sebuleni na naperuzi humu JF, huku napiga story mbili tatu na jamaa zangu walionitembelea.

Aisee! Kumbe meza iliyokuwa mbele yetu (iliyokuwa imebanwa ukutani) ina chupi nyingi zilizoanikwa na wife kwa chini bila Mimi kujua.

Story ziliponoga mimi nikaegemea kiti nilichokalia na kuingiza miguu chini ya meza nikayanyanyua juu kidogo, ghafla nikashangaa miguu inakwama, katika kujaribu kuyatoa nikaangukia kisogo nikapoteza fahamu, Leo ndo nimezinduka 🥲

Dah! Kumbe niliingiza miguu kwenye kamba za chupi na ikanasa vibaya.

Kilichonitokea ni hizi nywele zangu nyingi kichwani, la sivyo ningeshatangulia

Ni ngori!

View attachment 3677236View attachment 3677237
Nyumba Yako ni nzuriii ☺️😊
 
Niwe mkweli,mmama mmoja hivi pale tangi bovu tulieheshimiana sana kama mzazi wangu ila mbaya zaidi alikuwa hanionei aibu kabisa kwa sababu alikuwa anaweza kuanika chupi zake ikiwa na mimi ninaweza kuona anachokifanya,tofauti na hayo yule mama amejaaliwa sio siri anabonge la tako, secretarybird imagine mtu yuko na tako kubwa kama aunt yangu Binti wa zamani hiyo chupi yake itakuwaje…

Sasa siku moja nikiwa zangu out niliwasha hadi kibiriti kikaisha,kurudi maskani mama alivyoliona jicho tu hakusita kuniita na kuniambia “MWANANGU HIYO SIO TABIA NZURI”, Nikigeukia kamba ya kuanikia nguo sasa…
 
,tofauti na hayo yule mama amejaaliwa sio siri anabonge la tako, @secretarybird imagine mtu yuko na tako kubwa kama aunt yangu @Binti wa zamani hiyo chupi yake itakuwaje…
Hiyo chupi yake itakuwa na kiuno kikubwa sana kiasi cha kufanya wasichana wawili wenye umbo kama la Mallerina, kuivaa kwa pamoja na ikiwatosha.
 
Back
Top Bottom