ONYO KWA WANAWAKE: Kuanika chupi chini ya meza Kunaweza kusababisha ajali, chagua sehemu salama ya kuanikia

ONYO KWA WANAWAKE: Kuanika chupi chini ya meza Kunaweza kusababisha ajali, chagua sehemu salama ya kuanikia

Ni ngori, wamekisha moto, hapana mutu anazima..
That's why I always say mwanamke ako amesoma chuo huku amekaa hostel hafai kukuwa wife.

I am sure my wife hii kitu ya kuanika chupi under the table ni alikopi na kupesti akiwa university of....
 
We acha tu kaka 😅
🫩🫩
Pretty face,Soft heart,but don’t get it twisted . (1).jpg
Pretty face,Soft heart,but don’t get it twisted ..jpg
 
Mke wangu anazo chupi za tangu utotoni, japo hazitumii, kaziweka tu kwenye sanduku lake fulani la mbao.

Kila nikimuuliza kwa nini anafanya vile, ati, anasema, huu ni ukumbusho wangu.

Hii tabia ya kutunza chupi kama nyarara za ofisini ya Kijiji bhana...
Atakua mganga huyo
 
Juzi nilikuwa nimekaa sebuleni na naperuzi humu JF, huku napiga story mbili tatu na jamaa zangu walionitembelea.

Aisee! Kumbe meza iliyokuwa mbele yetu (iliyokuwa imebanwa ukutani) ina chupi nyingi zilizoanikwa na wife kwa chini bila Mimi kujua.

Story ziliponoga mimi nikaegemea kiti nilichokalia na kuingiza miguu chini ya meza nikayanyanyua juu kidogo, ghafla nikashangaa miguu inakwama, katika kujaribu kuyatoa nikaangukia kisogo nikapoteza fahamu, Leo ndo nimezinduka 🥲

Dah! Kumbe niliingiza miguu kwenye kamba za chupi na ikanasa vibaya.

Kilichonitokea ni hizi nywele zangu nyingi kichwani, la sivyo ningeshatangulia

Ni ngori!

View attachment 3677236View attachment 3677237
Chizi maarifa is typing.....
 
Pole mkuu, maana ungetangulia ahera madukan, ingekuwa aibu kusoma history yako fupi na chanzo cha ajari.
 
Kupiga nyeto ni ibada ya sanamu!

Mungu wa kweli yuko katikati ya miguu ya wanawake hivyo ibada ya kweli ni kuchakata mbususu.
 
Back
Top Bottom