secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Juzi nilikuwa nimekaa sebuleni na naperuzi humu JF, huku napiga story mbili tatu na jamaa zangu walionitembelea.
Aisee! Kumbe meza iliyokuwa mbele yetu (iliyokuwa imebanwa ukutani) ina chupi nyingi zilizoanikwa na wife kwa chini bila Mimi kujua.
Story ziliponoga mimi nikaegemea kiti nilichokalia na kuingiza miguu chini ya meza nikayanyanyua juu kidogo, ghafla nikashangaa miguu inakwama, katika kujaribu kuyatoa nikaangukia kisogo nikapoteza fahamu, Leo ndo nimezinduka 🥲
Dah! Kumbe niliingiza miguu kwenye kamba za chupi na ikanasa vibaya.
Kilichonitokea ni hizi nywele zangu nyingi kichwani, la sivyo ningeshatangulia
Ni ngori!