ONYO KWA WANAWAKE: Kuanika chupi chini ya meza Kunaweza kusababisha ajali, chagua sehemu salama ya kuanikia

ONYO KWA WANAWAKE: Kuanika chupi chini ya meza Kunaweza kusababisha ajali, chagua sehemu salama ya kuanikia

Mke wangu anazo chupi za tangu utotoni, japo hazitumii, kaziweka tu kwenye sanduku lake fulani la mbao.

Kila nikimuuliza kwa nini anafanya vile, ati, anasema, huu ni ukumbusho wangu.

Hii tabia ya kutunza chupi kama nyarara za ofisini ya Kijiji bhana...
chukua siku moja chomelea mbali huko, unakuta mtu ukivaaha kachupi kale unapendezaa , mtu anafanya chupi kama jeans 😅🙂🙂
 
chukua siku moja chomelea mbali huko, unakuta mtu ukivaaha kachupi kale unapendezaa , mtu anafanya chupi kama jeans 😅🙂🙂
Nitafanya hivyo mkuu, lakini kuna chupi yake moja ya kamba ya tangu mwaka 99 ambayo nilimnunulia nchini Algeria sitaichoma maana anaipenda sana. Sipendi kukuudhi laazizi wangu aise!
 
Hivi hao wahivyo mnakutana nao wapi mkuu...🤔
Clean chundai inafunikwa pichu inayo anikwa juani mkuu...🤭
 
Polee yako mkuu.mwambie shemeji atembee na utandawazi ,cku hzi hawavai chupi tenaaa..
Weh! Mke wangu lazima avae chupi mkuu, kipindi fulani hakuvaa chupi kwa wiki mbili mfululizo hata nikaona mabadikiko kunako mbunye yake, yaani mbunye ilikuwa ya baridiii.

Hii ni kusema kuwa chupi huifanya mbunye kuwa ya moto muda wote 😎
 
Back
Top Bottom