Open Letter: Rais Samia, TRA isiyo na Support yako, ni Kifo cha Taifa

Mhe Rais, naomba utumie dakika chache kusoma barua hii wewe mwenyewe, na kama hautapata muda naomba wasaidizi wako wakusaidie kuusoma na kukufikikishia.

Naandika haya kama Raia aliye na wasiwasi baada ya kutafakari kwa kina juu ya "TONE" yako uliyokwishaitoa hadharani kuhusu taasisi hii nyeti inayokusanya mapato ya nchi.

Pia ni baada ya kukaa na baadhi ya maafisa kodi ambao wanakiri kwamba toka kauli yako kazi yao imekuwa ngumu kupindukia ni kama wamewekwa benchi!

Mhe. Rais, kwa sasa kuna mambo makuu mawili yanayotokea ambayo sidhani kama umeshayajua.

i) Wafanyabiashara wameacha kutoa risiti za EFD na ukiwadai wanasema kabisa WASISUMBULIWE maana Rais wao ameshatoa maelekezo hayo. Wapo HOLIDAY!

Hata TRA wenyewe wamecancel mazoezi ya ku-enforce utoaji risiti. Maana wanajua wakienda watabagazwa!

Swali kubwa hapa, Je, Kodi gani itakusanywa na nchi bila watu kutoa risiti? Unawezaje kutrack mauzo ya mlipa kodi bila kutoa risiti ya EFD?

ii) Wafanyabiashara hawapeleki tena malipo ya kodi kwa kama kasi ya awali, kila mmoja ameset mind ya kupinga kodi maana anaona kama kile alichokadiriwa si sahihi baada ya kauli ya Rais.

Wataalam wenyewe wanasema impact yake itaonekana katika taarifa za mapato mwezi huu na ijayo!

Mhe Rais, katika taasisi zote chini yako zinazohitaji Top Level Presidential Support ya moja kwa moja ni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Bila TRA yenye support ya Rais, Taifa linakufa, na hakika litashindwa kufikia malengo yake.

Ni sawa na katika taasisi za kawaida, kitengo ambacho kinaleta mapato kwa taasisi, ndicho Mkurugenzi Mkuu hukitolea macho na kukipa support yote inayohitajika ili aweze kufikia malengo yake kibiashara.

Mhe Rais, sitaki kurejea katika maagizo yako ya nyuma kuhusu namna TRA wanavyofanya kazi ambayo uliyatoa hadharani, ila ningekuwa mmoja wa washauri wako ningeshauri usiongee sentensi zile hadharani bali uongee moja kwa moja na Viongozi na Wafanyakazi wa TRA indoors.

Kwa nini??. Kwa sababu nature ya mfanyabiashara ni kulalamika na kuficha mapato yake halisi. Hakuna mfanyabiashara hata mmoja aliye genuine ya kipato chake, Popote duniani. Hakuna!

Mhe. Rais, unaweza kukuta mfanyabiashara anafanya biashara yenye mauzo ya Billioni 2 anadeclare faida ya milioni 4, Seriously?

Katika mazingira hayo unahitaji Taasisi yenye nguvu na mamlaka ili iweze kutafuta wapi mtu huyu alipodanganya ili Serikali iweze kukusanya kodi yake. Otherwise, utachukua hio hio Milioni 4 alafu maisha yanaendelea wakati kwa hakika labda mtu huyo alipaswa kulipa milioni 50.

Mwisho:
Natambua kupitia maneno ya Makamu wako, Mhe. Mpango, umeweka malengo ya Trillion 2 kwa Mwezi, lakini ukweli ni kwamba hata kama sheria zitabadilika na baadhi ya kodi kupungua lazima kuna nyingine zitapanda ili kufikia lengo la Trillion 2. Sasa nani atatumika kuenforce ukusanyaji huo? Je ni hao hao TRA? Je wataweza ku-enforce huo ukusanyaji bila support yako? Au kuna watu wanaku-sabotage ili ushindwe kufikia malengo hayo?

Naomba kuhitimisha kwa kukushukuru kwa muda wako.

Wako,
Raia aliye na wasiwasi.
15 April, 2021

Nyongeza muhimu kutoka kwa baadhi ya wadau 👇

Postscriptum (PS):
Kuna baadhi ya wachangiaji katika uzi huu wana attack mleta mada wakisema alikuwa mnufaika wa utaratibu wa awali i.e mfanyakazi TRA, alikuwemo kwenye taskforce n.k.

Inasikitisha sana pale mtu badala ya kusikiliza na kuijibu hoja anadhani wewe ni mnufaika, umehongwa, kibaraka sababu tu umenena jambo tofauti na aloamini. Ni legacy mbaya sana hii.

Niseme tu, mimi sio mfanyakazi wa TRA na sio mnufaika wa mfumo. ILA nimetoa experience yangu baada ya kuona realities mtaani (mfano suala la risiti limenikuta mimi kama mimi si mara moja) na pia katika mijadala yetu sisi wananchi pamoja na maoni ya baadhi ya maafisa wa TRA ambao tupo nao mitaani maana nao ni binadamu wa kawaida tunaishi nao.

So in simple terms, I did this not for any personal gain rather, I decided not to keep quite for National Interest.
DEFENSE MECHANISM
 
Chief, kweli unadhani it’s that easy kutoa “evidence” ya mkwepa kodi mashuhuri?

Unakumbuka issue ya watu wa oil ambayo ilimeletea Chief Max kadhia ya mahakamani mpaka leo?

Speechless!

Sheria si zipo, wachukuliwe hatua.
Tofautisha wizi na kutolipa kodi ipasavyo kulingana na Rushwa ambayo imekua inawanufaisha watumishi wa TRA na kuwafanya kuwa mabilionea wasiolipa kodi kabisa.

Mtu mmoja wa TRA anamiliki mali za mabiloni lani hana biashara yoyote na hajaajiri hata mfanyakazi mmoja zaidi ya mashamba boy na walinda majumba yao na hawalipii NSSF wala kodi kwenye mishahara yao. Watu walikua wanakwepeshwa kodi na hao hao TRA kwa Rushwa. Sasa kwa sababu walizoea walishtukizwa kwa kufilisiwa badala ya kupewa elimu ya kulipa kodi na biashara zikaendelea ili ajira za watu zisipotee wakati maafisa walionufaika na rushwa hizo wao wakiishi maisha ya pepo hapa duniani kwa Rushwa walizokwapua kwa wafanya biashara ili kodi isilipwe.

Tungeanza kuwafilisi kwanza maafisa wa TRA wote waliojilimbukiizia mali zisizoendana na mishahara yao kisha tuje kwa wafanyabiashara.

Tunataka nchi iwe na mabilonea wasiopungua elfu hamsini ili kwa mwaka tuweze kukusanya Tril. 50 mpaka 100. Nchi iwe kama Dubai na Sio Korea ya Kaskazini.

Wafanyabiashara wanapitia mengi mpaka wapate fedha. Wengine wanatoa mpaka kafara za mama zao ,halafu unakuja unawafilisi tu kiholela wakati umetajirika kwa rushwa zao na kodi zao bado wanalipa ila kumbukumbu ndio wanashindwa kuweka kutokana na elimu kuwa duni.

Anayekiuka sheria za kodi achukuliwe hatua kwa mujibu wa sheria sio kumteka na kufilisi mali zake na fedha kwenye benki zinachukuliwa bila maandishi na zinakoenda hakujulikani kisheria.
Hao wanaoingilia akaunti za watu nao wachunguzwe mana nao wamejirajirisha kwa dhulma .

Hivi wabunge wanalipa kodi inavgotakiwa kwa mabilioni wanayopokea?
Kwa nini mtu mwenye kamshahara ka laki nne alipe kodi wao wasilipe maposho na makinwa mgongo wanayolipwa. ?
 
... kodi itozwe lakini isiwe kodi ya kukomoa wananchi na wafanyabiashara kwa ujumla! Hiyo ndiyo hoja ya msingi.
Kama hilo tatizo angesema sheria ibadilishwe kodi ipunguzwe, alichofanya SSH ni kutoa mwanya kwa wafanyabiashara wasilipe kodi, yeye anajiona genius ila ndani ya miezi 3 ataanza kuzodolewa na nyumbxxx wale wale waliokuwa wanamsifia.
 
Mhe Rais, naomba utumie dakika chache kusoma barua hii wewe mwenyewe, na kama hautapata muda naomba wasaidizi wako wakusaidie kuusoma na kukufikikishia.

Naandika haya kama Raia aliye na wasiwasi baada ya kutafakari kwa kina juu ya "TONE" yako uliyokwishaitoa hadharani kuhusu taasisi hii nyeti inayokusanya mapato ya nchi.

Pia ni baada ya kukaa na baadhi ya maafisa kodi ambao wanakiri kwamba toka kauli yako kazi yao imekuwa ngumu kupindukia ni kama wamewekwa benchi!

Mhe. Rais, kwa sasa kuna mambo makuu mawili yanayotokea ambayo sidhani kama umeshayajua.

i) Wafanyabiashara wameacha kutoa risiti za EFD na ukiwadai wanasema kabisa WASISUMBULIWE maana Rais wao ameshatoa maelekezo hayo. Wapo HOLIDAY!

Hata TRA wenyewe wamecancel mazoezi ya ku-enforce utoaji risiti. Maana wanajua wakienda watabagazwa!

Swali kubwa hapa, Je, Kodi gani itakusanywa na nchi bila watu kutoa risiti? Unawezaje kutrack mauzo ya mlipa kodi bila kutoa risiti ya EFD?

ii) Wafanyabiashara hawapeleki tena malipo ya kodi kwa kama kasi ya awali, kila mmoja ameset mind ya kupinga kodi maana anaona kama kile alichokadiriwa si sahihi baada ya kauli ya Rais.

Wataalam wenyewe wanasema impact yake itaonekana katika taarifa za mapato mwezi huu na ijayo!

Mhe Rais, katika taasisi zote chini yako zinazohitaji Top Level Presidential Support ya moja kwa moja ni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Bila TRA yenye support ya Rais, Taifa linakufa, na hakika litashindwa kufikia malengo yake.

Ni sawa na katika taasisi za kawaida, kitengo ambacho kinaleta mapato kwa taasisi, ndicho Mkurugenzi Mkuu hukitolea macho na kukipa support yote inayohitajika ili aweze kufikia malengo yake kibiashara.

Mhe Rais, sitaki kurejea katika maagizo yako ya nyuma kuhusu namna TRA wanavyofanya kazi ambayo uliyatoa hadharani, ila ningekuwa mmoja wa washauri wako ningeshauri usiongee sentensi zile hadharani bali uongee moja kwa moja na Viongozi na Wafanyakazi wa TRA indoors.

Kwa nini??. Kwa sababu nature ya mfanyabiashara ni kulalamika na kuficha mapato yake halisi. Hakuna mfanyabiashara hata mmoja aliye genuine ya kipato chake, Popote duniani. Hakuna!

Mhe. Rais, unaweza kukuta mfanyabiashara anafanya biashara yenye mauzo ya Billioni 2 anadeclare faida ya milioni 4, Seriously?

Katika mazingira hayo unahitaji Taasisi yenye nguvu na mamlaka ili iweze kutafuta wapi mtu huyu alipodanganya ili Serikali iweze kukusanya kodi yake. Otherwise, utachukua hio hio Milioni 4 alafu maisha yanaendelea wakati kwa hakika labda mtu huyo alipaswa kulipa milioni 50.

Mwisho:
Natambua kupitia maneno ya Makamu wako, Mhe. Mpango, umeweka malengo ya Trillion 2 kwa Mwezi, lakini ukweli ni kwamba hata kama sheria zitabadilika na baadhi ya kodi kupungua lazima kuna nyingine zitapanda ili kufikia lengo la Trillion 2. Sasa nani atatumika kuenforce ukusanyaji huo? Je ni hao hao TRA? Je wataweza ku-enforce huo ukusanyaji bila support yako? Au kuna watu wanaku-sabotage ili ushindwe kufikia malengo hayo?

Naomba kuhitimisha kwa kukushukuru kwa muda wako.

Wako,
Raia aliye na wasiwasi.
15 April, 2021

Nyongeza muhimu kutoka kwa baadhi ya wadau 👇

Postscriptum (PS):
Kuna baadhi ya wachangiaji katika uzi huu wana attack mleta mada wakisema alikuwa mnufaika wa utaratibu wa awali i.e mfanyakazi TRA, alikuwemo kwenye taskforce n.k.

Inasikitisha sana pale mtu badala ya kusikiliza na kuijibu hoja anadhani wewe ni mnufaika, umehongwa, kibaraka sababu tu umenena jambo tofauti na aloamini. Ni legacy mbaya sana hii.

Niseme tu, mimi sio mfanyakazi wa TRA na sio mnufaika wa mfumo. ILA nimetoa experience yangu baada ya kuona realities mtaani (mfano suala la risiti limenikuta mimi kama mimi si mara moja) na pia katika mijadala yetu sisi wananchi pamoja na maoni ya baadhi ya maafisa wa TRA ambao tupo nao mitaani maana nao ni binadamu wa kawaida tunaishi nao.

So in simple terms, I did this not for any personal gain rather, I decided not to keep quite for National Interest.
Nyie mnafurahia wafanyabiashara kunyanyaswa, kudhurumiwa, kukosa watetezi, kuburuzwa kama vile sio raia wenzenu, kama wakimbizi, hata mfungwa hutetewa ikionekana ananyanyaswa ? ?

Unadiliki kutunga uongo tu kuhakikisha wafanyabiashara waendelee kutishwa , kukosa aman kisa kodi na ni kazi halali kabisa ? ? Wafanya biashara sio watumwa wenu ?

Mwenzio Rais wetu mpendwa anazo takwimu, data zote, na amezipitia kwa kina na kujiridhisha bila shaka kabisa "TREND YA UKUSANYAJI KODI ILIOPO HAINA TIJA, INAUWA UCHUMI NA WAFANYABIASHARA HAIFAI KWA MUSTAKABALI WA NCHI" na wataalam washuri wakishiriki
wewe hapo ni nani ?

JE RAIS WETU ANGEAMUA KUTOA MSAMAHA WA KODI KWA WAFANYABIASHARA WOTE ANGALAU MIEZI 6 TU, Ingekuwaje ? mngejinyonga ? mngewauwa mitaani ?

Maneno ya msingi alioagiza mhe Rais wetu mpendwa "MTETEZI WA HAKI NA UBINADAMU"
hayana upendeleo wowote kwa wafanyabiashara wala kwa TRA alichosisitiza ni "WIN WIN STUATION" Kwa pande zote, hiyo tu IMEAUMA SANA WATU HUMU kama unaona wamependelewa basi na wewe fungua biashara ufaidi... uwanja uko wazi
 
Postscriptum (PS): Kuna baadhi ya wachangiaji katika uzi huu wana attack mleta mada wakisema alikuwa mnufaika wa utaratibu wa awali i.e mfanyakazi TRA, alikuwemo kwenye taskforce n.k.

Mama Samia ..alitoa kauli yake prematurely...wengi hawatalipa Kodi....hakuna mfanyabishara duniani Anaya anapenda kulipa Kodi...

Mapato kwa awamu ya Sasa yatapungua Sana

Sikuipenda ile kauli kwamba sisi tunawahitaji zaidi wafanyabiashara kuliko wanavyotuhitaji sisi..
 
Hichi ni kikundi mkuu kilichokuwa kime asisiwa na Gang ili kuuwa biashara sio kwa faida ya Nchi bali kwa ajili ya kuuwa Vizazi vya wafanya biashara flani!
 
Mama Samia ..alitoa kauli yake prematurely...wengi hawatalipa Kodi....hakuna mfanyabishara duniani Anaya anapenda kulipa Kodi...

Mapato kwa awamu ya Sasa yatapungua Sana

Sikuipenda ile kauli kwamba sisi tunawahitaji zaidi wafanyabiashara kuliko wanavyotuhitaji sisi..
Kafanye biashara na wewe ufaidike!
Nchi ilikuwa inakwenda pabaya sana ilikuwa inatengeneza vikundi vya unyanyasaji na unyang'anyi kwa kauli mbiu ya uzalendo ila Mungu akatenda
 
Tumieni akili..kama hamuwezi pisheni wenye akili zao wakusanye kodi...alafu TRA kodi ya kuagiza gari mpunguze...CAG alisema wengi wenu hamna akili
 
Kafanye biashara na wewe ufaidike!
Nchi ilikuwa inakwenda pabaya sana ilikuwa inatengeneza vikundi vya unyanyasaji na unyang'anyi kwa kauli mbiu ya uzalendo ila Mungu akatenda
Sawa ...muda utazungumza Kama nchi itaenda pazuri
 
Mhe Rais, naomba utumie dakika chache kusoma barua hii wewe mwenyewe, na kama hautapata muda naomba wasaidizi wako wakusaidie kuusoma na kukufikikishia.

Naandika haya kama Raia aliye na wasiwasi baada ya kutafakari kwa kina juu ya "TONE" yako uliyokwishaitoa hadharani kuhusu taasisi hii nyeti inayokusanya mapato ya nchi.

Pia ni baada ya kukaa na baadhi ya maafisa kodi ambao wanakiri kwamba toka kauli yako kazi yao imekuwa ngumu kupindukia ni kama wamewekwa benchi!

Mhe. Rais, kwa sasa kuna mambo makuu mawili yanayotokea ambayo sidhani kama umeshayajua.

i) Wafanyabiashara wameacha kutoa risiti za EFD na ukiwadai wanasema kabisa WASISUMBULIWE maana Rais wao ameshatoa maelekezo hayo. Wapo HOLIDAY!

Hata TRA wenyewe wamecancel mazoezi ya ku-enforce utoaji risiti. Maana wanajua wakienda watabagazwa!

Swali kubwa hapa, Je, Kodi gani itakusanywa na nchi bila watu kutoa risiti? Unawezaje kutrack mauzo ya mlipa kodi bila kutoa risiti ya EFD?

ii) Wafanyabiashara hawapeleki tena malipo ya kodi kwa kama kasi ya awali, kila mmoja ameset mind ya kupinga kodi maana anaona kama kile alichokadiriwa si sahihi baada ya kauli ya Rais.

Wataalam wenyewe wanasema impact yake itaonekana katika taarifa za mapato mwezi huu na ijayo!

Mhe Rais, katika taasisi zote chini yako zinazohitaji Top Level Presidential Support ya moja kwa moja ni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Bila TRA yenye support ya Rais, Taifa linakufa, na hakika litashindwa kufikia malengo yake.

Ni sawa na katika taasisi za kawaida, kitengo ambacho kinaleta mapato kwa taasisi, ndicho Mkurugenzi Mkuu hukitolea macho na kukipa support yote inayohitajika ili aweze kufikia malengo yake kibiashara.

Mhe Rais, sitaki kurejea katika maagizo yako ya nyuma kuhusu namna TRA wanavyofanya kazi ambayo uliyatoa hadharani, ila ningekuwa mmoja wa washauri wako ningeshauri usiongee sentensi zile hadharani bali uongee moja kwa moja na Viongozi na Wafanyakazi wa TRA indoors.

Kwa nini??. Kwa sababu nature ya mfanyabiashara ni kulalamika na kuficha mapato yake halisi. Hakuna mfanyabiashara hata mmoja aliye genuine ya kipato chake, Popote duniani. Hakuna!

Mhe. Rais, unaweza kukuta mfanyabiashara anafanya biashara yenye mauzo ya Billioni 2 anadeclare faida ya milioni 4, Seriously?

Katika mazingira hayo unahitaji Taasisi yenye nguvu na mamlaka ili iweze kutafuta wapi mtu huyu alipodanganya ili Serikali iweze kukusanya kodi yake. Otherwise, utachukua hio hio Milioni 4 alafu maisha yanaendelea wakati kwa hakika labda mtu huyo alipaswa kulipa milioni 50.

Mwisho:
Natambua kupitia maneno ya Makamu wako, Mhe. Mpango, umeweka malengo ya Trillion 2 kwa Mwezi, lakini ukweli ni kwamba hata kama sheria zitabadilika na baadhi ya kodi kupungua lazima kuna nyingine zitapanda ili kufikia lengo la Trillion 2. Sasa nani atatumika kuenforce ukusanyaji huo? Je ni hao hao TRA? Je wataweza ku-enforce huo ukusanyaji bila support yako? Au kuna watu wanaku-sabotage ili ushindwe kufikia malengo hayo?

Naomba kuhitimisha kwa kukushukuru kwa muda wako.

Wako,
Raia aliye na wasiwasi.
15 April, 2021

Nyongeza muhimu kutoka kwa baadhi ya wadau [emoji116]

Postscriptum (PS):
Kuna baadhi ya wachangiaji katika uzi huu wana attack mleta mada wakisema alikuwa mnufaika wa utaratibu wa awali i.e mfanyakazi TRA, alikuwemo kwenye taskforce n.k.

Inasikitisha sana pale mtu badala ya kusikiliza na kuijibu hoja anadhani wewe ni mnufaika, umehongwa, kibaraka sababu tu umenena jambo tofauti na aloamini. Ni legacy mbaya sana hii.

Niseme tu, mimi sio mfanyakazi wa TRA na sio mnufaika wa mfumo. ILA nimetoa experience yangu baada ya kuona realities mtaani (mfano suala la risiti limenikuta mimi kama mimi si mara moja) na pia katika mijadala yetu sisi wananchi pamoja na maoni ya baadhi ya maafisa wa TRA ambao tupo nao mitaani maana nao ni binadamu wa kawaida tunaishi nao.

So in simple terms, I did this not for any personal gain rather, I decided not to keep quite for National Interest.
Mm nachofahamu makadirio ya kila mfanyabiashara ya kulipa Kodi kwa mwaka huu yaliishia tar.31/03/2021 Sasa vipi watu wasilipe wakati washakadiriwa labda wafunge biashara kinyume chake ni uongo mtupu
 
Sawa ...muda utazungumza Kama nchi itaenda pazuri
Unyang'anyi ni adui wa maendeleo!
Niku hakikishie kama jiwe angebaki mitano tena biashara zote zilikuwa zina zikwa rasmi sio kufa maana kufa zilisha kufa ilikuwa bado kuzikwa tu!
 
Ndio tatizo la nchi kwenda kimatamko zaidi badala ya kimfumo
 
Mhe Rais, naomba utumie dakika chache kusoma barua hii wewe mwenyewe, na kama hautapata muda naomba wasaidizi wako wakusaidie kuusoma na kukufikikishia.

Naandika haya kama Raia aliye na wasiwasi baada ya kutafakari kwa kina juu ya "TONE" yako uliyokwishaitoa hadharani kuhusu taasisi hii nyeti inayokusanya mapato ya nchi.

Pia ni baada ya kukaa na baadhi ya maafisa kodi ambao wanakiri kwamba toka kauli yako kazi yao imekuwa ngumu kupindukia ni kama wamewekwa benchi!

Mhe. Rais, kwa sasa kuna mambo makuu mawili yanayotokea ambayo sidhani kama umeshayajua.

i) Wafanyabiashara wameacha kutoa risiti za EFD na ukiwadai wanasema kabisa WASISUMBULIWE maana Rais wao ameshatoa maelekezo hayo. Wapo HOLIDAY!

Hata TRA wenyewe wamecancel mazoezi ya ku-enforce utoaji risiti. Maana wanajua wakienda watabagazwa!

Swali kubwa hapa, Je, Kodi gani itakusanywa na nchi bila watu kutoa risiti? Unawezaje kutrack mauzo ya mlipa kodi bila kutoa risiti ya EFD?

ii) Wafanyabiashara hawapeleki tena malipo ya kodi kwa kama kasi ya awali, kila mmoja ameset mind ya kupinga kodi maana anaona kama kile alichokadiriwa si sahihi baada ya kauli ya Rais.

Wataalam wenyewe wanasema impact yake itaonekana katika taarifa za mapato mwezi huu na ijayo!

Mhe Rais, katika taasisi zote chini yako zinazohitaji Top Level Presidential Support ya moja kwa moja ni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Bila TRA yenye support ya Rais, Taifa linakufa, na hakika litashindwa kufikia malengo yake.

Ni sawa na katika taasisi za kawaida, kitengo ambacho kinaleta mapato kwa taasisi, ndicho Mkurugenzi Mkuu hukitolea macho na kukipa support yote inayohitajika ili aweze kufikia malengo yake kibiashara.

Mhe Rais, sitaki kurejea katika maagizo yako ya nyuma kuhusu namna TRA wanavyofanya kazi ambayo uliyatoa hadharani, ila ningekuwa mmoja wa washauri wako ningeshauri usiongee sentensi zile hadharani bali uongee moja kwa moja na Viongozi na Wafanyakazi wa TRA indoors.

Kwa nini??. Kwa sababu nature ya mfanyabiashara ni kulalamika na kuficha mapato yake halisi. Hakuna mfanyabiashara hata mmoja aliye genuine ya kipato chake, Popote duniani. Hakuna!

Mhe. Rais, unaweza kukuta mfanyabiashara anafanya biashara yenye mauzo ya Billioni 2 anadeclare faida ya milioni 4, Seriously?

Katika mazingira hayo unahitaji Taasisi yenye nguvu na mamlaka ili iweze kutafuta wapi mtu huyu alipodanganya ili Serikali iweze kukusanya kodi yake. Otherwise, utachukua hio hio Milioni 4 alafu maisha yanaendelea wakati kwa hakika labda mtu huyo alipaswa kulipa milioni 50.

Mwisho:
Natambua kupitia maneno ya Makamu wako, Mhe. Mpango, umeweka malengo ya Trillion 2 kwa Mwezi, lakini ukweli ni kwamba hata kama sheria zitabadilika na baadhi ya kodi kupungua lazima kuna nyingine zitapanda ili kufikia lengo la Trillion 2. Sasa nani atatumika kuenforce ukusanyaji huo? Je ni hao hao TRA? Je wataweza ku-enforce huo ukusanyaji bila support yako? Au kuna watu wanaku-sabotage ili ushindwe kufikia malengo hayo?

Naomba kuhitimisha kwa kukushukuru kwa muda wako.

Wako,
Raia aliye na wasiwasi.
15 April, 2021

Nyongeza muhimu kutoka kwa baadhi ya wadau 👇

Postscriptum (PS): Kuna baadhi ya wachangiaji katika uzi huu wana attack mleta mada wakisema alikuwa mnufaika wa utaratibu wa awali i.e mfanyakazi TRA, alikuwemo kwenye taskforce n.k.

Inasikitisha sana pale mtu badala ya kusikiliza na kuijibu hoja anadhani wewe ni mnufaika, umehongwa, kibaraka sababu tu umenena jambo tofauti na aloamini. Ni legacy mbaya sana hii.

Niseme tu, mimi sio mfanyakazi wa TRA na sio mnufaika wa mfumo. ILA nimetoa experience yangu baada ya kuona realities mtaani (mfano suala la risiti limenikuta mimi kama mimi si mara moja) na pia katika mijadala yetu sisi wananchi pamoja na maoni ya baadhi ya maafisa wa TRA ambao tupo nao mitaani maana nao ni binadamu wa kawaida tunaishi nao.

So in simple terms, I did this not for any personal gain rather, I decided not to keep quite for National Interest.
Ujinga mtupu.
Anzisheni biashara na mzitoze kodi.
Wajinga ninyi.
 
Hoja zako ni nzuri sana. Wanaokubeza wana agenda zao hususan kutaka taifa liangamie na life kabisa. Kweli rais kaangusha uchumi wa taifa. Mshauri wake wa kitengo hicho kamuangusha sanaaa. Rais fanya ufanyavyo tafuta njia ya kuliwekea msisitizo jambo hili. Weka u - turn mazungumzo yako yaliyokatisha tamaa wafanyakazi wa TRA.
 
Thanks
 
Mtoa maada uapaswa kutamua kuwa Mama hajakataza TRA kukusaya kodi wala kuacha kuchukua hatua kwa wasiolipa kodi bali ametaka maadiliko na ustaarau katika ama ya kukusanya kodi. Anataka haki itendeke, sheria zipo kwanini tukamvamie mfanya biashara na polisi na makufuli makubwa wakati utaratibu wa kisheria unaeleweka, kwa ufupi amewataka TRA kusimamia sheria sio mabavu!
 
Mhe Rais, naomba utumie dakika chache kusoma barua hii wewe mwenyewe, na kama hautapata muda naomba wasaidizi wako wakusaidie kuusoma na kukufikikishia.

Naandika haya kama Raia aliye na wasiwasi baada ya kutafakari kwa kina juu ya "TONE" yako uliyokwishaitoa hadharani kuhusu taasisi hii nyeti inayokusanya mapato ya nchi.

Pia ni baada ya kukaa na baadhi ya maafisa kodi ambao wanakiri kwamba toka kauli yako kazi yao imekuwa ngumu kupindukia ni kama wamewekwa benchi!

Mhe. Rais, kwa sasa kuna mambo makuu mawili yanayotokea ambayo sidhani kama umeshayajua.

i) Wafanyabiashara wameacha kutoa risiti za EFD na ukiwadai wanasema kabisa WASISUMBULIWE maana Rais wao ameshatoa maelekezo hayo. Wapo HOLIDAY!

Hata TRA wenyewe wamecancel mazoezi ya ku-enforce utoaji risiti. Maana wanajua wakienda watabagazwa!

Swali kubwa hapa, Je, Kodi gani itakusanywa na nchi bila watu kutoa risiti? Unawezaje kutrack mauzo ya mlipa kodi bila kutoa risiti ya EFD?

ii) Wafanyabiashara hawapeleki tena malipo ya kodi kwa kama kasi ya awali, kila mmoja ameset mind ya kupinga kodi maana anaona kama kile alichokadiriwa si sahihi baada ya kauli ya Rais.

Wataalam wenyewe wanasema impact yake itaonekana katika taarifa za mapato mwezi huu na ijayo!

Mhe Rais, katika taasisi zote chini yako zinazohitaji Top Level Presidential Support ya moja kwa moja ni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Bila TRA yenye support ya Rais, Taifa linakufa, na hakika litashindwa kufikia malengo yake.

Ni sawa na katika taasisi za kawaida, kitengo ambacho kinaleta mapato kwa taasisi, ndicho Mkurugenzi Mkuu hukitolea macho na kukipa support yote inayohitajika ili aweze kufikia malengo yake kibiashara.

Mhe Rais, sitaki kurejea katika maagizo yako ya nyuma kuhusu namna TRA wanavyofanya kazi ambayo uliyatoa hadharani, ila ningekuwa mmoja wa washauri wako ningeshauri usiongee sentensi zile hadharani bali uongee moja kwa moja na Viongozi na Wafanyakazi wa TRA indoors.

Kwa nini??. Kwa sababu nature ya mfanyabiashara ni kulalamika na kuficha mapato yake halisi. Hakuna mfanyabiashara hata mmoja aliye genuine ya kipato chake, Popote duniani. Hakuna!

Mhe. Rais, unaweza kukuta mfanyabiashara anafanya biashara yenye mauzo ya Billioni 2 anadeclare faida ya milioni 4, Seriously?

Katika mazingira hayo unahitaji Taasisi yenye nguvu na mamlaka ili iweze kutafuta wapi mtu huyu alipodanganya ili Serikali iweze kukusanya kodi yake. Otherwise, utachukua hio hio Milioni 4 alafu maisha yanaendelea wakati kwa hakika labda mtu huyo alipaswa kulipa milioni 50.

Mwisho:
Natambua kupitia maneno ya Makamu wako, Mhe. Mpango, umeweka malengo ya Trillion 2 kwa Mwezi, lakini ukweli ni kwamba hata kama sheria zitabadilika na baadhi ya kodi kupungua lazima kuna nyingine zitapanda ili kufikia lengo la Trillion 2. Sasa nani atatumika kuenforce ukusanyaji huo? Je ni hao hao TRA? Je wataweza ku-enforce huo ukusanyaji bila support yako? Au kuna watu wanaku-sabotage ili ushindwe kufikia malengo hayo?

Naomba kuhitimisha kwa kukushukuru kwa muda wako.

Wako,
Raia aliye na wasiwasi.
15 April, 2021

Nyongeza muhimu kutoka kwa baadhi ya wadau 👇

Postscriptum (PS):
Kuna baadhi ya wachangiaji katika uzi huu wana attack mleta mada wakisema alikuwa mnufaika wa utaratibu wa awali i.e mfanyakazi TRA, alikuwemo kwenye taskforce n.k.

Inasikitisha sana pale mtu badala ya kusikiliza na kuijibu hoja anadhani wewe ni mnufaika, umehongwa, kibaraka sababu tu umenena jambo tofauti na aloamini. Ni legacy mbaya sana hii.

Niseme tu, mimi sio mfanyakazi wa TRA na sio mnufaika wa mfumo. ILA nimetoa experience yangu baada ya kuona realities mtaani (mfano suala la risiti limenikuta mimi kama mimi si mara moja) na pia katika mijadala yetu sisi wananchi pamoja na maoni ya baadhi ya maafisa wa TRA ambao tupo nao mitaani maana nao ni binadamu wa kawaida tunaishi nao.

So in simple terms, I did this not for any personal gain rather, I decided not to keep quite for National Interest.
Hongera sana sana na ubarikiwe kiukweli tuendako Samia atafika mahali atashindwa kulipa mishahara naona maneno mengi kuliko actions tena hana integrity cha kwanza kabisa, mwenzake alitembelea kwanza ofisi muhimu za fedha BoT na TRA ndio akaanza safari ya uongozi, muache acheke cheke ndio atajua urais sio kigoma cha mwali, December mbali sana Samia nchi itaanguka kiuchumi wallahi, anacheza na mapato kisa GSMJMK na genge lao, the idea is all about incapability for the top seat and this is abt brain competence. Anza na hotuba zake na uvuvuzela bungeni na mabadiliko ya teuzi ajipange mbele ni giza kubwa. Na tuendako hiki kinaweza kuwa ni kipindi ambacho nchi itakosa hata uwezo kijeshi kwa ukosefu wa pesa, msumbiji petrol yake inahitaji jirani wenye uchumi imara ajue hilo mapema, money is power Govt is money Govt is power na heshima ya serikali ni nguvu ya kipesa iliopo. Manyani tukutane vitani.
 
Mtoa maada uapaswa kutamua kuwa Mama hajakataza TRA kukusaya kodi wala kuacha kuchukua hatua kwa wasiolipa kodi bali ametaka maadiliko zna ustaarau katika ama ya kukusanya kodi. Anataka haki itendeke, sheria zipo kwanini tukamvamie mfanya biashara na polisi na makufuli makubwa wakati utaratibu wa kisheria unaeleweka, kwa ufupi amewataka TRA kusimamia sheria sio mabavu!
Samia kazingua hio ni internal ishu na iko ndani ya uwezo wake, alishindwa nini kuwaita tra na kuwapa maelekezo? Katika Utopolo mkubwa alofanya na kijidharaurisha ni kuhusu tra, akitaka umaarufu na misifa kwa umma ajipange sana
 
Unateseka na Mama ukiwa wapi ndugu? Kulikuwa a haja gani ya kuajiri watu waliosomea masuala ya kodi kama hiyo kodi inaweza kukusanywa na polisi? Kama wataalam wa TRA wameshindwa kukusanya kodi kwa njia za kitaalamu waache kazi serikali iajiri polisi!
 
Labda nikuulize swali mkuu,umetumia njia zote za kiungwana ili mfanyibiashara alipe kodi na halipi,what do you do,a straight answer please.

Unajua,nilitegemea Rais asisitizie juu ya umuhimu wa wafanyibiashara kulipa kodi kama sheria inavyowataka kufanya.Then nilitegemea aseme kwamba kwa mfanyi biashara yeyote ambaye hatapenda kulipa kodi kwa hiari,sheria itachukua mkondo wake,kwa kuwa zipo sheria.

Mkuu huwezi kumbembeleza mfanyibiashara asiyetaka kulipa kodi kwa hiari.Ukimbembeleza hata lipa.Lazima sheria zimbane ili alipe.
Unaongea as if mfanyabiashara huwa anatuma maombi ya kufanya biashara kama muajiriwa.
Uki muharass anakwenda nchi nyingine yenye sheria nafuu za kodi, au anamuua kuacha kufanya biashara , madhara yake ni serikali kukosa kabisa mapato, na ndio kilochotokea utawala wa tano, nina imani hata Jpm aliliona hili hapa .mwishoni na hakuwa na. namna tena ya kureverse situation, mbinu zote zilishatumika kupata mapato na zilikuwa zimeshafika ded end.
kwa technology ilipofikia sasa ni ngumu sana mfanyabiashara kukwepa kodi , maana kila kitu kimekuwa synchronized, electronically, ni swala la sera nzuri tu na uadilifu watu watalipa kodi vizuri
 
Back
Top Bottom