Elections 2015 Operesheni Zinduka: Uamuzi Sahihi 2015


Admittedly you used to be my inspiration, but now my heart is sinking fast at your personal dislike of Lowassa!

No, please no with your grudges. We need changes in the governance system and it's through UKAWA we 'll achieve this goal.

You're becoming a great disappointment at this juncture.
 
 
 
Episode 2 utaweka saa ngapi kesho?
 
Kwa kweli sifahamu ila mategemeo yangu kabla hujarekodi video unaifanyia editing..rehearsal na vitu kama hivyo ili unapokuja kurekodi inakuwa top quality. Ama ni impromptu interview!??

siyo interview .. inaitwa 'talk show'. Siku ukinisikia nikitoa hotuba utaona tofauti.
 
Hapo penye nyekundu: Ni dalili ya uoga na kutojiamini. Kwa nini unabagua wasomaji kwenye public forum kama hii? Imekuwa PG kama kwenye filamu?

Hapana ilikuwa ni kijembe tu; hujasoma watu wanasema wameshafanya maamuzi ya kuwa watampigia Lowassa lakini hawaachi kusoma na kuchangia mada zinazotaka asichaguliwe?
 
Sina hata guts za kurekodi sauti. Mwenzangu wewe na heshima uliyojipatia bado wajificha mkuu? Tena mtu wa system na bado wajificha?


Sasa hiyo guts ya kusema mtu anajificha nyuma ya keyboard unaitoa wapi? Mtu wa system? ndio stori za kijiweni hizo? Ukiambiwa mimi ni mtu wa nanii utaamini?
 

Tume ya Uchaguzi ni "kisingizio" cha upinzani kushindwa mwaka huu. Kulikuwa na mipango mizuri tu ya kudefeat tume lakini safari hii Lowassa atashindwa clean and clear.
 
nitaichagua CDM hata kama ni mali ya mtu au Saccos ..
 
Mag3

Hapo ulipomalizia napo pamenishangaza.
Angekua na hadhi yakuitwa jasiri iwapo yeye mwenyewe kujitoa huko tena baada ya kudumu kwa muda mfupi.Amedumu huko kwa miaka mingi na hata wiki chache zilizopita akikua akipasifia.Huyo si jasiri bali kaja Chadema maana hakua na jinsi.
Wiki chache zilizopita Lowassa hakuona tatizo lolote na CCM.

LOWASSA HAKULITOSA HILO GENGE BALI YEYE NDIYE ALIYETOSWA.
Baada yakuhaha asijue la kufanya na keshatumia sehemu kubwa ya mtaji ndo akafanikiwa kuwarubuni waroho wa Chadema wakamkabidhi Chama.Wakamkabidhi nasasa wanaambatana nae huku wakiwaambia watanzania huyo ndo atakayewakomboa.Wanaambatana nae leo hii kama wakimnadi kuwa ni mkombozi bila hata kuona haya kuwa muda mfupiuliopita walikua wakisema mtu huyo ni Fisadi tena Fisadi Papa.
 
Last edited by a moderator:
Tume ya Uchaguzi ni "kisingizio" cha upinzani kushindwa mwaka huu.

Mwaka 2010 haikuwa kisingizio?

2005 je? 1995 je? Zanzibar 1995 je?

Tume ya uchaguzi kuendelea kuundwa na mwenyekiti wa CCM ambaye naye chama chake kinashiriki chaguzi ni dosari kubwa sana na inafanya zoezi zima la uchaguzi liwe na sura ya kilaghai!

Na hiyo mipango mizuri ya kui defeat tume ya uchaguzi mwaka 2010 ilikuwa wapi? Au ilikuwa haijavumbuliwa bado?
 
Mzee Mwanakijiji
MM being a critical thinker in a society which doesnt thic crical issues need to be critically analysed is like wrestling with a pig in a mudland....because at the end of the day you will come to realise that it is the pig who is actually enjoying the same.
 
Last edited by a moderator:

Kwa nini unaona aibu kuweka wazi wewe ni mfuasi wa lowassa??

Kwa nini unaona soni kuhubiri mabadiliko ya mgombea wenu lowassa?

Unaangaika sana.
 
Watu hutunga hadithi kwa sababu maalum na kwa wakati maalum wakiwa na malengo maalum. Hili halinishangazi kuona watu haohao wakijinadi ushujaa ambao hawana wala hawakupata kuwa nao. Kitu kibaya ni kuwaaminisha watu wajinga uongo badala ya kuwaelimisha wajitambue.

TUTAELEWANA TU.
 
Tume ya Uchaguzi ni "kisingizio" cha upinzani kushindwa mwaka huu. Kulikuwa na mipango mizuri tu ya kudefeat tume lakini safari hii Lowassa atashindwa clean and clear.

Ila Mwanakijiji na wewe huwa una mambo mengi sana kiasi unaishia kujichanganya mwenyewe.

Sasa kama ushahitimisha kuwa safari hii Lowassa atashindwa 'clean and clear', kwa nini sasa unakuja na hizi episodes unazodai kwamba kama watu watazisikiliza basi zitabadili mawazo yao kama walikuwa wamepanga kumpa Lowassa kura zao?

Kwa nini unaendelea kuwasaidia CCM(ambao tayari watashinda clean and clear)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…