Elections 2015 Operesheni Zinduka: Uamuzi Sahihi 2015

Suala moja tu naomba ufanye ufafanuzi kadiri unavyoendelea huko mbele...

Umejitambulisha kama mwanaharakati uliyekuwa au unayeunga mkono siasa za upinzani nchini. Ila katika utangulizi huu, mara kadhaa unaongea ukiwakilisha "wingi" lakini pia "umoja"... sehemu nyingine unasema "nitaeleza hivi na hivi"... sehemu nyuingine unasema "tutaeleza hivi na hivi"... Lakini pia wimbo ulioimba mwisho zimesikika sauti zaidi ya moja. Inawezekana ni sound mixing imefanyika kwa maana kwamba zote ni sauti zako, inawezekana ni fundi mitambo wako (mtu ambaye hahusiani na siasa), lakini inawezekana ni mtu au watu wengine unaoshirikiana nao katika programu hii...

Naomba ufafanuzi...
 
Huyu ni Mzee Mwanakijiji;

Pasco akamfariji;

[FONT=century gothic [USER=118]Mzee Mwanakijiji[/USER] akamjibu;[/FONT]

.leo hii anataka tuamini kwa miaka 20 alikuwa upinzani? Ninachojua - na kuamini- ni kuwa muda wote huo akiwa mwanachama wa ccm amekuwa akijua na kuona kuwa hawatendi sawasawa na ahadi zao na hili amekuwa akilipigia kelele tangu enzi hizo. Leo unataka kutuaminisha fikra zako ni huru (ilhali uliomba kadi ya uanachama)!???

Hivi unawachukuliaje Watanzania kwa mfano? Yani mimi shida yangu kwako ni kutudanganya tu! Nisigekuona muongo na mfitini kama ungeacha kutumia sifa hiyo ya 'mwandishi huru' useme tu wewe ni ccm na ndiyo sababu ya kutomtaka Lowassa! .

Uchaguzi huu utaonyesha wanafki wote ambao hapo kale tulidhani niwana mageuzi
 
Last edited by a moderator:
Kama mbway mbway tuu bana...leo namwaga mboga liwalo na liwe....huyu mwanakijiji masaburi yake ya kijani..pambafuuu....siku zooote alikuwa wapi asiingilie ugomvi huu leo anaona tumewakamatia chini ndio anainuka na kujifanya refarii anaamulia na kuja na visingizo kuwa bondia wetu kacheza rafu,....mfyuuuuuuuuuu....

Anazeeka vibaya huyu mzee...kwa taarifa yako wewe jizree...lowasa ndio mpango mzima...acha liwalo na liwe...hata kama ni mwizi acha atuibe na watanzania wooote....ila ndio tushamaliza kuamua...ataingia mjengoni kutuongoza....

Hao mabwana zako wapya wewe endelea nao na sijui wamakulipa sh ngapi ila wananchi tushachoka na hilo lichama tunawaacha wafe nalo rais wetu lowasaaa...pipooooooooo....malizia mwenyewe mmmmmmmmmm mwanakijiji...masaburi yako na ya mzee wako shamba huo.
 
Jameni muoneeni huruma tu huyu 'mzee'!

Wazo: Kufikiria hata kwa mbali kuwa ati Magufuli analeta uongozi mpya toka CCM ni kujikunyata katika usahaulifu. Ni usahaulifu uliopitiliza kudhania kwamba ati kwa kumteua Magufuli CCM sasa imebadilika na kuzaliwa upya! Wengine wamefikia mahali wanaamini ati sasa Magufuli atapita kiulaini tu.

Magufuli kama ilivyokuwa kwa wagombea wengine ndani ya CCM wote wanawakilisha maslahi ya chama tawala. Wote wamekuja na watakuja na mwendelezo (rejea hotuba yake ya kuomba kura) wa dhana zile zile, sera zile zile na mwelekeo ule ule. Alishindwa Kikwete kukiunganisha chama Magufuli ataweza? Nitachambua hili zaidi siku chache zijazo baada ya vumbi walilolitifua Dodoma kutua.

Haya ni baadhi ya maandiko ya Mzee Mwanakijiji kuhusu CCM na Magufuli. Anashindwa ataanzia wapi kula haya matapishi!

Niliwahi kumshauri sehemu kuwa 'siasa ni imani'!. Asiogope kumnadi Magufuli na CCM moja kwa moja kama sasa anaamini ndiyo inayowafaa watanzania.
 
TanZania ni zaidi ya KLM, hivyo kama unataka kuchagua UKAWA kawachague kwenu Moshi na usitake kuwalazimisha WatanZania wengine wa MZ, Shy, IR, MB, KV, TA, BK, MT, MR, DO,TB, PW, SG, wawe watumwa wa KLM!

Raisi wa V wa JMTZ ni Dr.Pombe Magufuli!

KUF u, i meant the real !
 
Kivuruge usituvuruge kila siku kuna jipya na fikra zako. Acha Watanzania waamue usituchanganye bana!
 
Mwanakijiji mzee mzima una moyo!!

Swali langu..ulijiandikisha kupiga kura?

Halafu ni vema utushuri tumpige kura nani.

Ila Kiukweli siwezi imagine naamka asubuhi 25 October nakwenda kupanga foleni only kuichagua CCM.!!!!!!
 
NB: Video Inafuata

Operesheni Zinduka imeanza kama nilivyoahidi (jana haikuwezekana kwa sababu moja tu ya heshima ya Mch. Mtikila na haihusiani na mipango ya watu wengine). Nitajitahidi kuwa na onesho hili kila siku (ukiondoa mwisho wa Juma) na nitazungumzia mada mbalimbali. Wiki hii ya kwanza zaidi nitagusia hoja nyingi zilizoibuliwa kutushangaa tunaomkataa Lowassa kama mgombea Urais kwa tiketi ya upinzani.

La pili nitajitahidi hasa wiki ile inayokuja kutoa nafasi kwa wagombea wa CHADEMA kwenye Ubunge (ambao tutaweza kuwafikia) ili wajiuze kwani ninaamini Bunge lenye nguvu lililoundwa na watu waliolelewa na kukomaa katika upinzani na wenye kuelewa hasa ajenda ya upinzani ndio chachu ya kweli ya mabadiliko tuyatakayo. Hivyo, wiki ile inayokuja tutatoa nafasi hii kwa wote tutakaoweza kuwapata.

Tatu, kwa vile nina uhakika wapo wengi ambao hawajakubaliana na uamuzi wangu huu (ambao naamini ni sahihi) basi nitatoa nafasi pia kwa watu wengine kutoa hoja zao dhidi ya ninachosema (sikiliza onesha hili juu ya 'mashart kuzingatiwa'). Kwa barua pepe anuani yangu ipo chini na namna nyingine ya mawasiliano nitawajulisha siku chache zijazo.

Nitajitahidi kuweka shows zote kwenye uzi huu huu kila siku, na video zitafuata chini toka ya zamani zaidi hadi mpya zaidi.

Mwisho, ninaamini na nina uhakika kuwa kwa atakayeamua kunisikiliza kuanzia sasa hadi kuamkia Uchaguzi Mkuu hatoweza kumpigia Lowassa kura ya Urais. Ni kwa sababu hiyo wale ambao tayari wameshaamua kuwa haijalishi nini kitasemwa juu ya Lowassa nawaomba au kuwashauri wasisikilize mada hizi wasije kujikuta wanabadili mawazo. Mada hizi ni kwa wale tu ambao bado hawajaamua au wale ambao wameamua lakini bado wanajikuwa wanavuta na upepo wa 'nyomi' kiasi kwamba bado hawajathibitika katika msimamo wao.

"Uamuzi Makini, Uamuzi wa Lazima, Uamuzi Sahihi"

MMM

ONESHO 1. "Baada ya Kelele Sauti za Hoja Zitashinda"

Mwanakijiji... Nimesikiliza introduction yako lakini iliniendelee kukusikiliza ktk unayotaka kutuaminisha nimegundua Utata ufuatao uniweke sawa:
1. Umetumia wingi kwamba.. Tuta... Hatutatukana... Tutatoa... Mimi nadhani Mwanakijiji nimtu mmoja au ni institution?
2. Hao wengine niakina nani? Wametoka wapi? Ideology yao niipi?
3. Why now? Haya unayotaka kutuaminisha umeyajua juzi?
4. Katika muktadha huu ambapo ccm inahaha mpk inaona watu km kina anti Ezekiel, Wema kumnadi Magufuri, nakwamba wametenga zaidi ya Bilioni Mia kuvuruga upinzani, nakwamba wewe unajulikana ktk jamiiforums kwa kujenga hoja mbalimbali.... Tutakuaminije na hii single unayotaka kupakua?
Nawakilisha!!!
 
Last edited by a moderator:
NB: Video Inafuata

Operesheni Zinduka imeanza kama nilivyoahidi (jana haikuwezekana kwa sababu moja tu ya heshima ya Mch. Mtikila na haihusiani na mipango ya watu wengine). Nitajitahidi kuwa na onesho hili kila siku (ukiondoa mwisho wa Juma) na nitazungumzia mada mbalimbali. Wiki hii ya kwanza zaidi nitagusia hoja nyingi zilizoibuliwa kutushangaa tunaomkataa Lowassa kama mgombea Urais kwa tiketi ya upinzani.

La pili nitajitahidi hasa wiki ile inayokuja kutoa nafasi kwa wagombea wa CHADEMA kwenye Ubunge (ambao tutaweza kuwafikia) ili wajiuze kwani ninaamini Bunge lenye nguvu lililoundwa na watu waliolelewa na kukomaa katika upinzani na wenye kuelewa hasa ajenda ya upinzani ndio chachu ya kweli ya mabadiliko tuyatakayo. Hivyo, wiki ile inayokuja tutatoa nafasi hii kwa wote tutakaoweza kuwapata.

Tatu, kwa vile nina uhakika wapo wengi ambao hawajakubaliana na uamuzi wangu huu (ambao naamini ni sahihi) basi nitatoa nafasi pia kwa watu wengine kutoa hoja zao dhidi ya ninachosema (sikiliza onesha hili juu ya 'mashart kuzingatiwa'). Kwa barua pepe anuani yangu ipo chini na namna nyingine ya mawasiliano nitawajulisha siku chache zijazo.

Nitajitahidi kuweka shows zote kwenye uzi huu huu kila siku, na video zitafuata chini toka ya zamani zaidi hadi mpya zaidi.

Mwisho, ninaamini na nina uhakika kuwa kwa atakayeamua kunisikiliza kuanzia sasa hadi kuamkia Uchaguzi Mkuu hatoweza kumpigia Lowassa kura ya Urais. Ni kwa sababu hiyo wale ambao tayari wameshaamua kuwa haijalishi nini kitasemwa juu ya Lowassa nawaomba au kuwashauri wasisikilize mada hizi wasije kujikuta wanabadili mawazo. Mada hizi ni kwa wale tu ambao bado hawajaamua au wale ambao wameamua lakini bado wanajikuwa wanavuta na upepo wa 'nyomi' kiasi kwamba bado hawajathibitika katika msimamo wao.

"Uamuzi Makini, Uamuzi wa Lazima, Uamuzi Sahihi"

MMM

ONESHO 1. "Baada ya Kelele Sauti za Hoja Zitashinda"

Wewe unajimalizamwenyewe kama dokta cassava; heshima yako yote itapotea kwa u.j.i.n.g.a kama huu
 
Last edited by a moderator:
Swali dogo tu "Who is Mzee Mwanakijiji?" Watu washafanya uamuzi juu ya nan watampa kura. Unatupigia kelele ukiwa Marekani ehe? Njoo Tz upande jukwaani kama unahis wewe unastahili zaid au ni mind changer vinginevyo endelea kutafuta unga kwa ajili ya wanao!! Nani amekuweka uweze kufikiria au kuwaza kwa niaba yetu? Kama ni shule tumeenda, kama ni uzoefu na uchambuzi wa mambo tunao!!
 
NB: Video Inafuata

Operesheni Zinduka imeanza kama nilivyoahidi (jana haikuwezekana kwa sababu moja tu ya heshima ya Mch. Mtikila na haihusiani na mipango ya watu wengine). Nitajitahidi kuwa na onesho hili kila siku (ukiondoa mwisho wa Juma) na nitazungumzia mada mbalimbali. Wiki hii ya kwanza zaidi nitagusia hoja nyingi zilizoibuliwa kutushangaa tunaomkataa Lowassa kama mgombea Urais kwa tiketi ya upinzani.

La pili nitajitahidi hasa wiki ile inayokuja kutoa nafasi kwa wagombea wa CHADEMA kwenye Ubunge (ambao tutaweza kuwafikia) ili wajiuze kwani ninaamini Bunge lenye nguvu lililoundwa na watu waliolelewa na kukomaa katika upinzani na wenye kuelewa hasa ajenda ya upinzani ndio chachu ya kweli ya mabadiliko tuyatakayo. Hivyo, wiki ile inayokuja tutatoa nafasi hii kwa wote tutakaoweza kuwapata.

Tatu, kwa vile nina uhakika wapo wengi ambao hawajakubaliana na uamuzi wangu huu (ambao naamini ni sahihi) basi nitatoa nafasi pia kwa watu wengine kutoa hoja zao dhidi ya ninachosema (sikiliza onesha hili juu ya 'mashart kuzingatiwa'). Kwa barua pepe anuani yangu ipo chini na namna nyingine ya mawasiliano nitawajulisha siku chache zijazo.

Nitajitahidi kuweka shows zote kwenye uzi huu huu kila siku, na video zitafuata chini toka ya zamani zaidi hadi mpya zaidi.

Mwisho, ninaamini na nina uhakika kuwa kwa atakayeamua kunisikiliza kuanzia sasa hadi kuamkia Uchaguzi Mkuu hatoweza kumpigia Lowassa kura ya Urais. Ni kwa sababu hiyo wale ambao tayari wameshaamua kuwa haijalishi nini kitasemwa juu ya Lowassa nawaomba au kuwashauri wasisikilize mada hizi wasije kujikuta wanabadili mawazo. Mada hizi ni kwa wale tu ambao bado hawajaamua au wale ambao wameamua lakini bado wanajikuwa wanavuta na upepo wa 'nyomi' kiasi kwamba bado hawajathibitika katika msimamo wao.

"Uamuzi Makini, Uamuzi wa Lazima, Uamuzi Sahihi"

MMM

ONESHO 1. "Baada ya Kelele Sauti za Hoja Zitashinda"

Hii labda ukamzindue Mashumbusi tuu.vinginevyo hapa tulipofikia hakuna namna ni sisi na Lowasa mpaka ikulu.
 
Last edited by a moderator:
MM huku JF watakaokusikia ni watu waliokwishafanya uamuzi siku nyingi. Hapa una pande mbili tu, wanaoku support, na wasiotaka kukusikia no matter what, hakuna anayesubiri kufundishwa njia ya kupita. Kingini ni ukubwa wa Hadhira uliyonayo humu JF, ni ndogo na iliyokwishagawanyika! Mwisho, hata watakaokusupport si kuwa wamekuelewa, la hasha, wanafanya hivyo wakidhani ni ahueni kwa upande wao. Ukweli ni kwamba, utafanya kazi kubwa sana kwa msukumo ulionao, lakini matokeo nakuhakikishia ni 0! Trust me!
All the Best!
 
NB: Video Inafuata

Operesheni Zinduka imeanza kama nilivyoahidi (jana haikuwezekana kwa sababu moja tu ya heshima ya Mch. Mtikila na haihusiani na mipango ya watu wengine). Nitajitahidi kuwa na onesho hili kila siku (ukiondoa mwisho wa Juma) na nitazungumzia mada mbalimbali. Wiki hii ya kwanza zaidi nitagusia hoja nyingi zilizoibuliwa kutushangaa tunaomkataa Lowassa kama mgombea Urais kwa tiketi ya upinzani.

La pili nitajitahidi hasa wiki ile inayokuja kutoa nafasi kwa wagombea wa CHADEMA kwenye Ubunge (ambao tutaweza kuwafikia) ili wajiuze kwani ninaamini Bunge lenye nguvu lililoundwa na watu waliolelewa na kukomaa katika upinzani na wenye kuelewa hasa ajenda ya upinzani ndio chachu ya kweli ya mabadiliko tuyatakayo. Hivyo, wiki ile inayokuja tutatoa nafasi hii kwa wote tutakaoweza kuwapata.

Tatu, kwa vile nina uhakika wapo wengi ambao hawajakubaliana na uamuzi wangu huu (ambao naamini ni sahihi) basi nitatoa nafasi pia kwa watu wengine kutoa hoja zao dhidi ya ninachosema (sikiliza onesha hili juu ya 'mashart kuzingatiwa'). Kwa barua pepe anuani yangu ipo chini na namna nyingine ya mawasiliano nitawajulisha siku chache zijazo.

Nitajitahidi kuweka shows zote kwenye uzi huu huu kila siku, na video zitafuata chini toka ya zamani zaidi hadi mpya zaidi.

Mwisho, ninaamini na nina uhakika kuwa kwa atakayeamua kunisikiliza kuanzia sasa hadi kuamkia Uchaguzi Mkuu hatoweza kumpigia Lowassa kura ya Urais. Ni kwa sababu hiyo wale ambao tayari wameshaamua kuwa haijalishi nini kitasemwa juu ya Lowassa nawaomba au kuwashauri wasisikilize mada hizi wasije kujikuta wanabadili mawazo. Mada hizi ni kwa wale tu ambao bado hawajaamua au wale ambao wameamua lakini bado wanajikuwa wanavuta na upepo wa 'nyomi' kiasi kwamba bado hawajathibitika katika msimamo wao.

"Uamuzi Makini, Uamuzi wa Lazima, Uamuzi Sahihi"

MMM

ONESHO 1. "Baada ya Kelele Sauti za Hoja Zitashinda"

Plz uwe video sauti hata kuku anayo kuwa mwaminifu kwa kuweka video na sio sauti yako mana haina mvuto kutangaza labda ukionekana utavutia waonaji
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom