Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,346
Suala moja tu naomba ufanye ufafanuzi kadiri unavyoendelea huko mbele...
Umejitambulisha kama mwanaharakati uliyekuwa au unayeunga mkono siasa za upinzani nchini. Ila katika utangulizi huu, mara kadhaa unaongea ukiwakilisha "wingi" lakini pia "umoja"... sehemu nyingine unasema "nitaeleza hivi na hivi"... sehemu nyuingine unasema "tutaeleza hivi na hivi"... Lakini pia wimbo ulioimba mwisho zimesikika sauti zaidi ya moja. Inawezekana ni sound mixing imefanyika kwa maana kwamba zote ni sauti zako, inawezekana ni fundi mitambo wako (mtu ambaye hahusiani na siasa), lakini inawezekana ni mtu au watu wengine unaoshirikiana nao katika programu hii...
Naomba ufafanuzi...