Sasa why wanamuacha mtaani? Akianza utapeliili iweje...? serikali kupitia jeshi la polisi wameshamuhoji muhusika na wameshaona dishi limecheza
wewe unataka uchunguzi ufanywe ili upate nini?
Gosh..Guys Get back on your senses
Nani amekwambia uchangie matibabu?
Na Wabongo wakadhani wame-import from MzunguAnasema kuna kupindi aliimport tz products zake twende kwenye records tuangalie je ni kweli?
Sasa why wanamuacha mtaani? Akianza utapeli
Kumbe mzee anasema kweli,,hapo alikamatwa ilikuwaje??
Unamfahamuje ,,,?elezeaNamfahamu huyo Dr kwa kifupi anaumwa
Why no public notice. Kama kuna matibabu achangiwe? Unaijua milembe? au milembe ni mtaaniunataka wampeleke wapi? nikuulize...wale watu akili zimecheza huwa wanafungwa? si wako mtaani
we babako akiumwa public inachangia? sio jukumu la polisi kuchangia wagonjwaWhy no public notice. Kama kuna matibabu achangiwe? Unaijua milembe? au milembe ni mtaani
Unadhani hio ni kazi ya uhasibuSi wamlipe pesa zake ?au
Upo sahihi Majira yatatuambiaDr. anavyoonekana si wa kawaida...Kuna siku watu watakuja kustaajabu sana Na watatafuta pa kuziweka sura zao.Pamoja Na dhoruba zote ali/anazopitia ila me Bado naamini yule mzee sio kama tunavyomuona....usidaharau kiumbe yeyote anayeitwa binadamu..utaumbuka.
Unaakili ndogo sana we jamaa hata sibishani na wewe maana uwezo wako wa kufikiri ulipoishia ni nyuma sana ya uwezo wangu ulipoanzia. Rejea visa mbali mbali vya watuhumiwa waliokamatwa na mwisho polisi wakatangaza ni matatizo ya akili ndo uje kuongea pumba humuwe babako akiumwa public inachangia? sio jukumu la polisi kuchangia wagonjwa
sawa.kwaheriUnaakili ndogo sana we jamaa hata sibishani na wewe maana uwezo wako wa kufikiri ulipoishia ni nyuma sana ya uwezo wangu ulipoanzia. Rejea visa mbali mbali vya watuhumiwa waliokamatwa na mwisho polisi wakatangaza ni matatizo ya akili ndo uje kuongea pumba humu
vya kuongezea kipindi hicho chote cha maisha yake hakuwa na mawasiliano na watanzania wenzake eiza walikuwa wanaishi wote urusi au bongo ambao wanaweza kumuelezea yeye na kuverify hiyo situation yake?[emoji50][emoji50][emoji50][emoji50][emoji50]Hili ni kweli kabisa,kinachonishangaza ni hao wanaomuhoji kushindwa kuuliza maswali kuhusu baadhi ya taarifa kama alizozitafuta britanicca huko Russia.
Mfano:
1.Ni kweli alitibiwa Dnipro,Ukraine?
2.Ni watekaji wa aina gani waliomfanya mbali na kuingia Tanzania bado hakujiona salama akakimbila Malaga,Spain?
3.Alipata wapi mtaji wa kuanzisha kampuni kubwa katika kipindi kifupi tu cha kufanaya kazi ya kufundisha akifanikiwa kuvuka vikwazo vyote vya ubaguzi,communism nk?
4.Nani alifinance safari nzima toka Russia to TZ na kisha TZ to Malaga (Hapa ni pamoja na hifadhi ya huko Malaga for all his time of stay)?
5.Toka afike hapa Tanzania amewahi ripoti katika chombo chochote cha serikali kuomba msaada kuhusu mali na haki zake zilizo Russia?
6.Kwanini atembelewe na Mmarekani kwanza baada ya tatizo na si mwingine yeyote(kulikuwa na interest gani ya mmarekani kwake?)
Nk Nk
Hakuna pesa hapo ni utapeli wa kimtandao na yeye kaaminikwaiyo dr luis hzo pesa anweza kuzipata au ndyo bas tenaa