Nina uzoefu na Oral za PSRS pekee.Naom
Naomba kukuuliza kiongozi kwenye usaili WA oral maswali uwaga mafupi mafupi kama hvo au kunakuaga na swali refu mzigo au inategemea na sehemu au kada? Kama maswali yanakua mafupi hvo maana yake Hauna haja ya kuchimbua vitu ndani sana just simple explanation na wakat mwingine ni kumeshen TU. Naomba ufafanuz m ni MPYA ndo nategemea kufanya interview yang ya kwanza Tena ni oral Moja Kwa moja
Asante sanaNina uzoefu na Oral za PSRS pekee.
Maswali ni mafupi na ni kumention, kuelezea labda wakuambie ufanye hivyo
Mimi ndo mana nkasema oral iondolewe asee hususani maswali ya kwny notes na vitabu.Watu wanafikiri hii interview ni kama za kuomba kazi huko sekta binafsi.Hii maswali yanachaguliwa kwenye vitabu popote na hapo popote hupajui na points na maelezo yawe kichwani no time to think!Sababu muda unafikiri wenzio wanakukodolea macho.Pepa la kuandika poa mbn utakaa utafikiria mwenyew utaandaka hili unaulizwa mtu anakukodolea macho jibu lipo expected the moment akimaliza kuuliza hii ndio tofauti.
Kazi yenyewe haihusiani na kua na experience, ni junior position na wote wanaenda mafunzo ulitakaje??Maajabu ni kwamba wenye uwezo wa kujieleza na wenye experience wametemwa kuingia oral kwa marks chache sana.
Labda nikuambie achana na watu wa huku watakuzingua tu ,kuna maswali kumuuliza newbie ni utapeli ... Inawezekana hajawahi kuyasikia ,mbaya nyie mlisoma mambo ya Fedha ila sisi tulichanganywa mpaka watu wa Public administration , international relationship ,watu wa tax , Finance🤣🤣🤣..Maswali sijawahi kuyaona tangu nizaliwe ...Nilikumbukq mojaKazi yenyewe haihusiani na kua na experience, ni junior position na wote wanaenda mafunzo ulitakaje??
Kwa nini?Hata ungeyajibu kwa usahihi kazi huwezi kupata TRA.
Aisee!!Hata ungeyajibu kwa usahihi kazi huwezi kupata TRA.
We itakua umepata aisee. Mi hata salary expectations hawakuniuliza. Waliona Haina haja mana I won’t make it😅Nimejipanga vizuri, nimesoma kila sehemu. Lakini ile kuingia tu kwenye chumba cha wadosi nikawekwa mtu kati, watu wananikodolea macho, mungu wangu…… Nikajikuta kila kitu nimesahau.
Maswali yalikuwa rahisi sana, nilipotoka tu kwenye kile chumba cha Oral na kufika nyumbani, majibu yakaanza kushuka… ila pale ndani ubongo ulipararaiz huwezi amini.
Nimefanya Oral ya Tax Management Officer II.
MASWALI YAO HAYA👇
1. Introduce yourself
2. Four Entities required to register with VAT apart from those reached threshold
3. Five Characteristics of a good taxation
4. Five Advantage of double taxation
5. Four Methods of Trade protection
6. Four Circumstances that make a commissioner to adjust or Jeopardy Assessment
EXTRA👇
What is your salary expectation
ZINGATIA👇
Najua utasema rahisi kwa kuwa uko nje ya kile chumba, hata mimi nilipofika nyumbani nilijipiga makofi ya uso kwanini sikuyajibu vyema. Of course ni rahisi sana, lakini sio ukiwa umebananishwa chobingo unexpected huku ubongo wako ukiimba baadhi ya materials yaliyopo kichwani ili yasikutoke.
Mi mwenyewe I messed up aiseeNakuelewa heri yako hata maswali umeyakumbuka vyema. Hata mimi nmepigwa na kitu kizito
Wow.. Awesome!Inaumiza mungu tu asaidie mwaka jana mwanzoni niliingia kwenye panel nikakutana na wafaransa wa tatu huyu anakupiga swali, huyu nae anakupiga interview ilikuwa ya saa moja niliona chumba cha moto .
Na wakati naingia ile kukaa nikaweka mikono kwenye meza mmoja akanambia toa mikono kwenye meza acha uoga.
Nakumbuka kuna swali moja nilijibu wakaangaliana wote kama sekunde tano halafu wakaangua kicheko balaa.
Nilitoka kwenye panel nimepanic hatari nikaanza kukumbuka swali moja moja nililoulizwa na majibu niliotoa ila nikaona sijazingua sana baada ya siku tatu nikatumiwa email kuwa nimepata job.
Waala usihofu ndg yangu cha muhimu sio ufaulo wako tu bali na ufaulu wa wengine ukiwa chini pia inategemeana wewe kupata kazi wengine huenda walikosa kuliko wewe sanaa. Kabla hujafa duniani lengo la mungu lazima litimieNimejipanga vizuri, nimesoma kila sehemu. Lakini ile kuingia tu kwenye chumba cha wadosi nikawekwa mtu kati, watu wananikodolea macho, mungu wangu…… Nikajikuta kila kitu nimesahau.
Maswali yalikuwa rahisi sana, nilipotoka tu kwenye kile chumba cha Oral na kufika nyumbani, majibu yakaanza kushuka… ila pale ndani ubongo ulipararaiz huwezi amini.
Nimefanya Oral ya Tax Management Officer II.
MASWALI YAO HAYA👇
1. Introduce yourself
2. Four Entities required to register with VAT apart from those reached threshold
3. Five Characteristics of a good taxation
4. Five Advantage of double taxation
5. Four Methods of Trade protection
6. Four Circumstances that make a commissioner to adjust or Jeopardy Assessment
EXTRA👇
What is your salary expectation
ZINGATIA👇
Najua utasema rahisi kwa kuwa uko nje ya kile chumba, hata mimi nilipofika nyumbani nilijipiga makofi ya uso kwanini sikuyajibu vyema. Of course ni rahisi sana, lakini sio ukiwa umebananishwa chobingo unexpected huku ubongo wako ukiimba baadhi ya materials yaliyopo kichwani ili yasikutoke.
Hili swali la mshahara sijajua kwa nini wengine waliulizwa na wengine hawakuulizwa?, maana kuna jamaa yangu pia anasema yeye hakuulizwa? , sasa najiuliza kama maswali yalikuwa 6 na la mshahara likawa la 7 , haiwezi muongezea marks aliyeulizwa maswali 7( likiwemo la mshahara) dhidi ya yule aliyeulizwa maswali 6 tu.Hahahahha sidhani, I hope wengi waliulizwa kuhusu salary
Toka lini swali la mshahara likawa na marks?Hili swali la mshahara sijajua kwa nini wengine waliulizwa na wengine hawakuulizwa?, maana kuna jamaa yangu pia anasema yeye hakuulizwa? , sasa najiuliza kama maswali yalikuwa 6 na la mshahara likawa la 7 , haiwezi muongezea marks aliyeulizwa maswali 7( likiwemo la mshahara) dhidi ya yule aliyeulizwa maswali 6 tu.
Uko sahihi Sana.Seriously, Elimu ikupe skills na ikujengee uwezo wa kujieleza. Kama hayo maswali yamempa taabu basi elimu haijamsaidia. Yaani akifunga vitabu anabaki mtupu kichwani