Oral Interview ya TRA 2025 nikajikuta kila kitu nimesahau

Nahisi hili swali liliulizwa kwa wale waliokuwa interested nao au walio kwa marks walizokuwa wamepata basi wamefanya vyena ama huenda alijibu maswali vyema wakaona wamuongezee swali la nyongeza ili asijetoka humo ndani anasema mimi lazima nitapata hii kazi. All in all serikali salary rate ni ile ile naona kama vile ukiniuliza hilo swali kama ningekuwa mimi ningetafsiri kma unanikejeli kwasababu hamna salary range serikalini kuna fixed starting salary
 
Na kama wengine hawakuulizwa jua halina marks
 
Sasa kama ni mtazamo tu, kwa nini waliulize in discriminatory basis, kwa nini wasiulize kwa wasailiwa wote kuweza kupata mtazamo wa kila msailiwa?
Si ajabu wewe uliulizwa kwasababu muda ulikua unaruhusu na wengine muda haukuruhusu...ila halinaga marks boss
 
Si kweli
 
Sasa ulitaka usahau hadi maswali ulioulizwa?
 
Sasa kama ni mtazamo tu, kwa nini waliulize in discriminatory basis, kwa nini wasiulize kwa wasailiwa wote kuweza kupata mtazamo wa kila msailiwa?
Hilo watakujibu wahusika kama wako humu
 
Kwamba hilo swali.la salary kuna wengine hawakuulizwa...? Hii ina maana gani kama wote tumeulizwa maswali yale yale then wengine waongezewe swali la Ziada? Mim niliulizwa
 
Labda ndo wamepata
Haina uhakika, yote kwa yote Mungu ndiye mwamuzi na ndio wa kumtegemea akisema ndio hakuna wa kupinga, kwa wote tulioingia oral, ni kuzidi kumuomba Mwenyezi Mungu aliye mwema atujalie kupata nafasi, na hata kama mtu hatapata, amshukuru Mungu, kwa maana amesema , tumshukuru yeye kwa kila jambo.
 
Mimi sikuulizwa abt salary. Kwa vile i know how I performed, I assume walioulizwa labda ni waliopata. Sasa uulizwe unataka kulipwa sh ngapi wakati hawakuchukui? Jibu lako halitawasaidia kitu. Ila let’s wait and see
 
I agree with you. Waliwauliza walio appear interesting maybe. I also agree kwamba serikali ina scale zake so hilo swali ni kama halima umuhimu. Ila Sa nyingine naskia wanaulizaga tu ili waone candidate anatazamia kupokea kiasi cha juu/chini sana compared na scale iliyopo.
 
Watoe majibu tuendelee na maisha mengine maana kila siku nawaza TRA tuu
Mi mwenyewe Kila saa naingia website yao. Nakuta tu list of overstayed goods😅. Watupe tu closure hata kama hatujapata tutashukuru kwa Kila jambo. Ila Hii kukaa gizani sio kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…