Watoe majibu tuendelee na maisha mengine maana kila siku nawaza TRA tuu
Nasikia ingawa sijapata uhakika watu waliofanya interview na kufaulu wameanza kupata email ya kuitwa kazini toka jana hii taarifa nimeipata kwa reference ya watu wanne waliofanya interview oral TRA huenda ni kweli wanarudia yale yale ya mwaka 2023 hawatoi majina bali wanatuma email basi. Na watu mtaona picha zao wakiwa mafunzo 🤣🤣 Haya maisha mbona makali eeh tuangalie waja wakoMi mwenyewe Kila saa naingia website yao. Nakuta tu list of overstayed goods😅. Watupe tu closure hata kama hatujapata tutashukuru kwa Kila jambo. Ila Hii kukaa gizani sio kbs
Duh kibokoNasikia ingawa sijapata uhakika watu waliofanya interview na kufaulu wameanza kupata email ya kuitwa kazini toka jana hii taarifa nimeipata kwa reference ya watu wanne waliofanya interview oral TRA huenda ni kweli wanarudia yale yale ya mwaka 2023 hawatoi majina bali wanatuma email basi. Na watu mtaona picha zao wakiwa mafunzo 🤣🤣 Haya maisha mbona makali eeh tuangalie waja wako
Wao wa nne ulikopata reference, wamepata email?Nasikia ingawa sijapata uhakika watu waliofanya interview na kufaulu wameanza kupata email ya kuitwa kazini toka jana hii taarifa nimeipata kwa reference ya watu wanne waliofanya interview oral TRA huenda ni kweli wanarudia yale yale ya mwaka 2023 hawatoi majina bali wanatuma email basi. Na watu mtaona picha zao wakiwa mafunzo 🤣🤣 Haya maisha mbona makali
Itakua wampe na screenshot basiWao wa nne ulikopata reference, wamepata email?
Yes wangempa na screenshot , ingekuwa evidence iliyojitoshelezaItakua wampe na screenshot basi
Yes wangefanya hivyo maana commissioner general siku ile ya oral ,alisisitiza sana , fairness kutawala usaili mzimaWatoe PDF ili tuwe tunafananisha majina Kama yapo kwenye PDF ya walioitwaga Written😀😀😀
Na nadhani moja wapo ya fairness ni kutoa pdf kuondoa maswali mengi kwa vijana.Yes wangefanya hivyo maana commissioner general siku ile ya oral ,alisisitiza sana , fairness kutawala usaili mzima
Wee nae pressure nyingi sanaa buana,Kwan lazma ufanye kazi TRA...Kila wakati unaongelea Pdf pdf pdf,Husiwapangie cha kufanya aseeeNa nadhani moja wapo ya fairness ni kutoa pdf kuondoa maswali mengi kwa vijana.
Sawa boss mimi siwezi ipangia taasisi cha kufanya, na wala sina pressure yoyote juu ya jambo hili, huu ni mtazamo na maoni yangu tu katika jambo hili kama tu wanavyochangia wengine huko juu kwenye hii thread, cause mpaka sasa hakuna uhakika wa hayo matokeo kuwa yatatoka kwa njia gani na whether yametoka au hayajatoka hakuna taarifa mpaka sasa, na siku zote unapofanya usaili, ili kuwa kwenye hali ya kawaida hutakiwi kujiwekea matarajio makubwa, usaili una mambo mengi moja wapo , ni bahati tu kutoka kwa Mwenyezi Mungu na wala siyo ujibuji wa maswali tu. Kwa hiyo kama Mwenyezi Mungu akikujalia kupata hakuna anayeweza kupinga hilo, yote kwa yote ni kutulia na kusubiri hakuna haja ya kuwa na pressure katika mambo haya. MUNGU NI MWAMINIFU HUFANYA NJIA PASIPO NA NJIA, NA HATA UKIKOSA MSHUKURU NA USIKATE TAMAA.Wee nae pressure nyingi sanaa buana,Kwan lazma ufanye kazi TRA...Kila wakati unaongelea Pdf pdf pdf,Husiwapangie cha kufanya aseee
Wewe Pressure unayo Tena Ile Kali sana mara jamaa hapo juu mnataka awatumie screenshot mara mnaongelea fairness and what so ever,Mdogo wangu punguza pressure na lazma ujue sio lazma ww kupata kazi TRA.Wakiamua ata kuwatumia hayo matokea next year hakuna cha kuwafanya...Watz wengi mmekuwa wajuaji sana siku hizi as if mifumo imewekwa kwa ajili yenu pekeeSawa boss mimi siwezi ipangia taasisi cha kufanya, na wala sina pressure yoyote juu ya jambo hili, huu ni mtazamo na maoni yangu tu katika jambo hili kama tu wanavyochangia wengine huko juu kwenye hii thread, cause mpaka sasa hakuna uhakika wa hayo matokeo kuwa yatatoka kwa njia gani na whether yametoka au hayajatoka hakuna taarifa mpaka sasa, na siku zote unapofanya usaili, ili kuwa kwenye hali ya kawaida hutakiwi kujiwekea matarajio makubwa, usaili una mambo mengi moja wapo , ni bahati tu kutoka kwa Mwenyezi Mungu na wala siyo ujibuji wa maswali tu. Kwa hiyo kama Mwenyezi Mungu akikujalia kupata hakuna anayeweza kupinga hilo, yote kwa yote ni kutulia na kusubiri hakuna haja ya kuwa na pressure katika mambo haya. MUNGU NI MWAMINIFU HUFANYA NJIA PASIPO NA NJIA, NA HATA UKIKOSA MSHUKURU NA USIKATE TAMAA.
Kijana umesoma vyema Reply yangu soma ubeti wa kwanza then uje uongee tenaWao wa nne ulikopata reference, wamepata email?
Boss pressure ya nini kwenye ajira, kwani mtu bila ajira hauishi?, daima tunaishi kwa nguvu za Mwenyezi, Mungu, hizo mada tunachangia kunogesha tu thread na kusogeza siku ziende, Ajira siyo kifo kusema kuwa ukikosa ndio mwisho wa maisha, haipo hivyo Boss wangu.Wewe Pressure unayo Tena Ile Kali sana mara jamaa hapo juu mnataka awatumie screenshot mara mnaongelea fairness and what so ever,Mdogo wangu punguza pressure na lazma ujue sio lazma ww kupata kazi TRA.Wakiamua ata kuwatumia hayo matokea next year hakuna cha kuwafanya...Watz wengi mmekuwa wajuaji sana siku hizi as if mifumo imewekwa kwa ajili yenu pekee
Basi kama umetambua ajira sio kifo,Chill na uache tabia ya kuomba screenshot kwa mtu ambaye anachangia mada na Wala sio candidate...Chill and Relax ukiitajika utaitwa.Boss pressure ya nini kwenye ajira, kwani mtu bila ajira hauishi?, daima tunaishi kwa nguvu za Mwenyezi, Mungu, hizo mada tunachangia kunogesha tu thread na kusogeza siku ziende, Ajira siyo kifo kusema kuwa ukikosa ndio mwisho wa maisha, haipo hivyo Boss wangu.
Duh....!!! Yani unamkanya kama mwanao wa kumzaa? Kuomba screenshot kunadhuru nini? Zilitumwa screenshot za appeal, invitation ya interview pia mbona hakukua na vijimaneno kama hivi?Basi kama umetambua ajira sio kifo,Chill na uache tabia ya kuomba screenshot kwa mtu ambaye anachangia mada na Wala sio candidate...Chill and Relax ukiitajika utaitwa.
Wee nae ni same group tu, Pressure kibao...Sijasahau na ww umelazimisha kutumiwa screenshot.Duh....!!! Yani unamkanya kama mwanao wa kumzaa? Kuomba screenshot kunadhuru nini? Zilitumwa screenshot za appeal, invitation ya interview pia mbona hakukua na vijimaneno kama hivi?
May be ni shida ya afya ya akili, ni kumsamehe tu.Duh....!!! Yani unamkanya kama mwanao wa kumzaa? Kuomba screenshot kunadhuru nini? Zilitumwa screenshot za appeal, invitation ya interview pia mbona hakukua na vijimaneno kama hivi?
wavumilie mtaalam....vijana bado hawajaiva...swala la mda tu watakomaa kwenye game...Wee nae ni same group tu, Pressure kibao...Sijasahau na ww umelazimisha kutumiwa screenshot.
Yeah,tutaenda nao mdogo mdogo mpk wataiva tu,Si unaona sa hv wametulia kidogo na huu Uzi wanaupita km wanaga maiti vile.Bila kuwaeleza ukweli sa hivi Uzi mzima ungekuwa ni lawama tu mwanzo mwisho as if hao TRA hawanaga jema ata Moja.wavumilie mtaalam....vijana bado hawajaiva...swala la mda tu watakomaa kwenye game...