Shida yako unajiona umemaliza na maneno ya kejeri Kuwaita watu madogo wewe bwatu bwatu sio kila mtu alioenda interview hana kazi wala ana pressure watu wanataka kufocus na Mambo mengine waache kuwaza matokeo hyo ni kawaida kwa kila binadamuYeah,tutaenda nao mdogo mdogo mpk wataiva tu,Si unaona sa hv wametulia kidogo na huu Uzi wanaupita km wanaga maiti vile.Bila kuwaeleza ukweli sa hivi Uzi mzima ungekuwa ni lawama tu mwanzo mwisho as if hao TRA hawanaga jema ata Moja.
Duh kwa Hiyo ni mwendo wa ku refresh emails tu Sasa! Deadline lini tujue kama hatujapata email ndo imetoka Hiyo?Nasikia ingawa sijapata uhakika watu waliofanya interview na kufaulu wameanza kupata email ya kuitwa kazini toka jana hii taarifa nimeipata kwa reference ya watu wanne waliofanya interview oral TRA huenda ni kweli wanarudia yale yale ya mwaka 2023 hawatoi majina bali wanatuma email basi. Na watu mtaona picha zao wakiwa mafunzo 🤣🤣 Haya maisha mbona makali eeh tuangalie waja wako
Msiamini kila taarifa,mtu mmoja anajuana na watu wanne na wote wamepata emails!! What a coincidence!!Duh kwa Hiyo ni mwendo wa ku refresh emails tu Sasa! Deadline lini tujue kama hatujapata email ndo imetoka Hiyo?
Kwamba utumishi mkuu ulifanya interview ya kodi waka kupangia kazi nyingine nje ya TRA au ulikosa kabisa kazi wakati huo..?Hawa jamaa wa tra sio powa nakumbuka nilifanya oral kipindi hicho wanasimamia Utumishi wenyewe magogoni posta kivukoni pale ilikuwa kama 2019 au 2020, naingia ndani panel ilikuwa na watu wa kutosha niliatendi maswali vizuri sana lakini dah acheni tu matokeo yanatoka olaaa hakuna kitu nikawekwa kwenye kanzi data basi nikapangiwa kazi sehemu nyingine ila wanajeshi wapambanaji msikate tamaa mungu yupo tuzidi kumwomba kama ipo ipo tu kila la kheri ngoja tusubili majibu nadhani mwezi may huu lazma kieleweke wakuu
Nilifanya usaili kwa Kada ya tax MGT officer kupitia Utumishi nilienda mpk oral lkn sikuitwa tra mkuu walinipangia kazi nyingineKwamba utumishi mkuu ulifanya interview ya kodi waka kupangia kazi nyingine nje ya TRA au ulikosa kabisa kazi wakati huo..?
Duuuh sawa mkuu sio mbaya lakini bora kitu kuliko kukosa kabisa hongera sana kwakweli..👏😀Nilifanya usaili kwa Kada ya tax MGT officer kupitia Utumishi nilienda mpk oral lkn sikuitwa tra mkuu walinipangia kazi nyingine
Tuombe Mungu
Shida ya kukaririNimejipanga vizuri, nimesoma kila sehemu. Lakini ile kuingia tu kwenye chumba cha wadosi nikawekwa mtu kati, watu wananikodolea macho, mungu wangu…… Nikajikuta kila kitu nimesahau.
Maswali yalikuwa rahisi sana, nilipotoka tu kwenye kile chumba cha Oral na kufika nyumbani, majibu yakaanza kushuka… ila pale ndani ubongo ulipararaiz huwezi amini.
Nimefanya Oral ya Tax Management Officer II.
MASWALI YAO HAYA👇
1. Introduce yourself
2. Four Entities required to register with VAT apart from those reached threshold
3. Five Characteristics of a good taxation
4. Five Advantage of double taxation
5. Four Methods of Trade protection
6. Four Circumstances that make a commissioner to adjust or Jeopardy Assessment
EXTRA👇
What is your salary expectation
ZINGATIA👇 by
Najua utasema rahisi kwa kuwa uko nje ya kile chumba, hata mimi nilipofika nyumbani nilijipiga makofi ya uso kwanini sikuyajibu vyema. Of course ni rahisi sana, lakini sio ukiwa umebananishwa chobingo unexpected huku ubongo wako ukiimba baadhi ya materials yaliyopo kichwani ili yasikutoke.
Mi bado bila bila. Sijui wengineHakuna shuhuda mpaka sasa wadau?
Hapana ndugu usiseme hivyo, ndio maana ukaitwa usaili, ndani ya chumba kile huwa kuna ambatana na pressure so kitu unaweza kuwa unakifahamu ila ile pressure mle ndani, ulajikuta unasahau vitu.Shida ya kukariri
Nimejisikia AIBU kwa sababu yako kwanini ushindwe kujibu kwa ufasaha au tatizo ni lugha mkuu.Mpaka nimekumbuka hayo maswali mkuu bado Una-judge uwezo wangu? Mpaka nimepita kutoka Written interview kwa 65 bado unani-judge mkuu?
Elewa situation yangu hasa Fresh degree graduate (2024) kama mimi. Huwezi kuamini, mpaka nimeyakumbuka maana yake niliweza kuyajibu yote lakini sio kwa kiasi nilichotaka.
uJAOTA USIKU UNAZINI NA JIMAMAMAAANimejipanga vizuri, nimesoma kila sehemu. Lakini ile kuingia tu kwenye chumba cha wadosi nikawekwa mtu kati, watu wananikodolea macho, mungu wangu…… Nikajikuta kila kitu nimesahau.
Maswali yalikuwa rahisi sana, nilipotoka tu kwenye kile chumba cha Oral na kufika nyumbani, majibu yakaanza kushuka… ila pale ndani ubongo ulipararaiz huwezi amini.
Nimefanya Oral ya Tax Management Officer II.
MASWALI YAO HAYA👇
1. Introduce yourself
2. Four Entities required to register with VAT apart from those reached threshold
3. Five Characteristics of a good taxation
4. Five Advantage of double taxation
5. Four Methods of Trade protection
6. Four Circumstances that make a commissioner to adjust or Jeopardy Assessment
EXTRA👇
What is your salary expectation
ZINGATIA👇
Najua utasema rahisi kwa kuwa uko nje ya kile chumba, hata mimi nilipofika nyumbani nilijipiga makofi ya uso kwanini sikuyajibu vyema. Of course ni rahisi sana, lakini sio ukiwa umebananishwa chobingo unexpected huku ubongo wako ukiimba baadhi ya materials yaliyopo kichwani ili yasikutoke.
Ndio maana huwa nawashaur vijana kuweka vichwa sawa sawa..Hapana ndugu usiseme hivyo, ndio maana ukaitwa usaili, ndani ya chumba kile huwa kuna ambatana na pressure so kitu unaweza kuwa unakifahamu ila ile pressure mle ndani, ulajikuta unasahau vitu.
Vipi ndugu umefanikiwa kuitwa kazini?Nimejipanga vizuri, nimesoma kila sehemu. Lakini ile kuingia tu kwenye chumba cha wadosi nikawekwa mtu kati, watu wananikodolea macho, mungu wangu…… Nikajikuta kila kitu nimesahau.
Maswali yalikuwa rahisi sana, nilipotoka tu kwenye kile chumba cha Oral na kufika nyumbani, majibu yakaanza kushuka… ila pale ndani ubongo ulipararaiz huwezi amini.
Nimefanya Oral ya Tax Management Officer II.
MASWALI YAO HAYA👇
1. Introduce yourself
2. Four Entities required to register with VAT apart from those reached threshold
3. Five Characteristics of a good taxation
4. Five Advantage of double taxation
5. Four Methods of Trade protection
6. Four Circumstances that make a commissioner to adjust or Jeopardy Assessment
EXTRA👇
What is your salary expectation
ZINGATIA👇
Najua utasema rahisi kwa kuwa uko nje ya kile chumba, hata mimi nilipofika nyumbani nilijipiga makofi ya uso kwanini sikuyajibu vyema. Of course ni rahisi sana, lakini sio ukiwa umebananishwa chobingo unexpected huku ubongo wako ukiimba baadhi ya materials yaliyopo kichwani ili yasikutoke.
UPDATE 28/05/2025:
Nimefanikiwa kuwa TMO as per TRA Email I have received now. Much thanks to God for this Blessing…
Hongera sana kaka, tunamshukuru Mungu, kwa kutujalia nami pia Mwenyezi Mungu kanifanikisha nafasi ya TMO.Nimejipanga vizuri, nimesoma kila sehemu. Lakini ile kuingia tu kwenye chumba cha wadosi nikawekwa mtu kati, watu wananikodolea macho, mungu wangu…… Nikajikuta kila kitu nimesahau.