T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Ni mfumo gani duniani una uwezo wa kuzuia makombora 200 au 300 kwa pamoja?Kumbuka THAAD ilishindwa kuzuia makombola ya Iran dhidi ya Israel juzi juzi tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mfumo gani duniani una uwezo wa kuzuia makombora 200 au 300 kwa pamoja?Kumbuka THAAD ilishindwa kuzuia makombola ya Iran dhidi ya Israel juzi juzi tu.
Sorry mkuu nilidhani umeandika S-500. Sasa batteries za S-550 ziko wapi kwa wingi mpaka zizuie ICBM. Unajua kuwa na silaha moja mbili na kuzitumia kwa impact ya maana vitani ni vitu viwili tofauti.Kuna kitu kidogo hapo unachanganya na kingine ulikuwa hauna taarifa nacho au umeamua kupotosha.
Mimi nimezungumzia S550 siyo S500.
Hiyo S550 ni dedicated kama ulivyotoa sifa za dedicated system Kama THAAD.
Msikie hapo chini aliyekuwa waziri wa ulinzi wa Russia juu ya tofauti ya S500 na S550.
Tena Mimi nilitumia neno 'labda S550' makusudi sema moderator wa JF ameondoa neno labda.
Nukuu chini
Russian Defense Minister Sergei Shoigu was first to inform about the S-550 system at the ministry’s conference call on November 9. He said the S-550 system should be used to target ICBMs and satellites while the S-500 Prometheus would shoot down enemy ballistic missiles and aircraft."
Russia Boasts of New S-550 Missile System Capable of Targeting Satellites.
Hey! u have much respect hapa jukwaani. Comment kama hizi zinakushusha jamaa yangu.Kama ina uwezo huo wa kupiga na kuangamiza popote, si wapige London, New York na Toronto? Wtf?
Analilia nini stupid kabisa.
Ukiendesha gari kwa speeed ya 250km/h ukapinduka mara nne linakuua, ili ufe kuna haja gani ya kuendesha kwa 350km/hr kwanza likiwa hata na 140km/h unakufa.Bwashee tatizo sio MIRVs ila Shido ni speed and accuracy ku hit target,kwasasa technology ya silaha za kivita zinawekeza zaidi kwenye utafiti kuhusu speed
Hitler kuna kitu gani cha akili kafanya?Kuna watu wanamuona Putin kama ka Mungu flan.
Sasa kama wangeishi zama za Hitler sijui wangemuita nani
Acha kuumiza kichwa na huyo form sex levelSijui Kama umesoma na kuelewa au umejibu kwa hisia.
Tafadhali pitia tovuti za BBC, CNN na nyinginezo zenye mlengo wa kuisaidia Ukraine uone taarifa hii niliyo weka hapa.
Ukiona haitoshi nenda za Russia mfano Sputinik na RT news.
Wanaolazimisha ligi ya makombora hawataki kukubali kwamba ni vita ngumu.Na ndo maana ukifika huko level za juu kwenye makombora kila nchi ina doctrine yake hasa kwenye mabomu ya nuclear, maana kila nchi inajua haiwezi kuyazuia ishu inakuja nani atamuwahi mwenzie na kuleta maafa zaidi kuliko mwenzie, tuseme vita ya nuclear ianze Marekani anajua Mrusi anaweza akampiga na Mrusi anajua mmarekani anaweza kumpiga ila kinachotafutwa hapo nani atatandikwa zaidi ili aombe poo
Sio kwa Urusi,unless kama hujui historia ya urusi ,mmekaririshwa sana kuhusu Marekani na washirika wake,IPO siku Putin atajua kuwa mabeberu sio watu
Juzi storm shadow imepiga kurks hakuna hata moja wameintercept naona nadharia zao tu za kujifurahisha baada ya ghawa na alkasusuSorry mkuu nilidhani umeandika S-500. Sasa batteries za S-550 ziko wapi kwa wingi mpaka zizuie ICBM. Unajua kuwa na silaha moja mbili na kuzitumia kwa impact ya maana vitani ni vitu viwili tofauti.
Russia ina Su-57 chache hata kama zingekuwa na uwezo kidogo zaidi ila haziwezi zidi J-20 zaidi ya 200 za China.
Russia kwenye missiles wanapenda kutumia kauli za "should be, will be able, can..." yaani hawana uhakika 100% au system haiko na probability kubwa.
Ukiwauliza Marekani wana Aegis ships ngapi, watakwambia ni meli zaidi ya 100 na zaidi ya 60 ziko planned kuundwa. Ukiwauliza wana THAAD batteries ngapi na zimefungwa wapi inajulikana ni South Korea, Guam na Middle East.
Sasa S-550 zimefungwa wapi na wapi kwamba zina hata namba inayoshawishi.
Putin katawala Urusi kwa miaka 24 sasa ila hajafanya mambo makubwa hata 30% ya aliyofanya Hitler ndani ya miaka yake 12 Ujerumani.Hitler kuna kitu gani cha akili kafanya?
Kuna mfumo wa kupeana taarifa unaporusha ballistic missile kuepuka kushambuliana kwa silaha za nuclear kimakosa.Kwanza hii tabia ya kutoa taarifa kwa marekani kabla ya kushambulia malengo ni kwa nini haswa?
Iran ilipoishambulia israel mara ya kwanza ilitoa taarifa pentagon kwamba masaa 8 yajayo wataishambulia israel. Na wakashambulia.
Jana Russia nao wanawapa taarifa Pentagon kwamba watashambulia huko dnepo. Hii imekaaje?
Siyo kweli.Juzi storm shadow imepiga kurks hakuna hata moja wameintercept naona nadharia zao tu za kujifurahisha baada ya ghawa na alkasusu
Hapohapo wanalinganisha na Arrow 3 ABM ya Israel ambayo ilishambuliwa na makombora zaidi ya 200 kwa wakati mmoja wanasema haiwezi kazi. Wakati hata wao hapo Kursk Wakorea Kaskazini wameuwawa na air defense systems zipo nyingi layers tofauti.Juzi storm shadow imepiga kurks hakuna hata moja wameintercept naona nadharia zao tu za kujifurahisha baada ya ghawa na alkasusu
Sawa, lakini siamini kama wazungu wote watashindwa kuipiga UrusiMarekani yapewa taarifa na Russia dakika 30 kabla, Ukraine na washirika wake washindwa kuizuia.
Ina uwezo wa kufika na kuangamiza mahali popote Ulaya nzima.
Hakuna mfumo wa kuizuia.
Ni Hypersonic hivyo inaweza kusafiri kwa kasi ya Mach 10 (kilometa 3 kwa sekunde, huwezi kuiona muenendo wake wa kasi kwa macho).
Inabeba vichwa vingi kwa mara moja ambavyo vikitawanyika huko angani kila kimoja kinaweza kujiongoza kufuata 'target' yake sehemu tofauti na vichwa vingine.
Russia imesema itakuwa inatoa taarifa kabla haijafanya shambulizi, tahadhari kwa raia eneo inalotaka kulishambulia waweze kuondoka lengo likiwa kupunguza maafa kwa raia wasiokuwa na hatia.
Muelekeo wa vita kati ya Ukraine na Russia umechukua sura mpya baada washirika wa Ukraine kuruhusu silaha za masafa marefu walizo wapa Ukraine zitumike kushambulia ndani ya ardhi ya Russia inayotambuliwa kimataifa.
Baada ya Ukraine kuzitumia hivi karibuni Russia amejibu mapigo kwa kuifanyia majaribio silaha yake mpya Oreshnik.
Ni teknolojia mpya ya Hypersonic Intermediate range ballistic missile.
Ina uwezo wa kubeba vichwa vya nyukilia (nuclear payload), kwa sasa imetumia vilipuzi vya kawaida(conventional bomb) lengo kutoa onyo tu. Pentagon wakiri silaha hiyo ni tishio lakini wana amini Ukraine itaweza kuhimili maafa yake.
Naomba wale wadau wa mambo ya silaha waje watoe maoni yao. Narudia, wale wadau wanaojua mambo ya silaha siyo shabiki wa vita vya Ukraine au NATO na Russia.
CC: T14 Armata waite wadau wengine tujadili wengine tujifunze.
Hizi sifa kwamba hakuna mfumo unazuia duniani wakati haujawahi kutumika kushushambulia mifumo mingine ni hoaxMarekani yapewa taarifa na Russia dakika 30 kabla, Ukraine na washirika wake washindwa kuizuia.
Ina uwezo wa kufika na kuangamiza mahali popote Ulaya nzima.
Hakuna mfumo wa kuizuia.
Ni Hypersonic hivyo inaweza kusafiri kwa kasi ya Mach 10 (kilometa 3 kwa sekunde, huwezi kuiona muenendo wake wa kasi kwa macho).
Inabeba vichwa vingi kwa mara moja ambavyo vikitawanyika huko angani kila kimoja kinaweza kujiongoza kufuata 'target' yake sehemu tofauti na vichwa vingine.
Russia imesema itakuwa inatoa taarifa kabla haijafanya shambulizi, tahadhari kwa raia eneo inalotaka kulishambulia waweze kuondoka lengo likiwa kupunguza maafa kwa raia wasiokuwa na hatia.
Muelekeo wa vita kati ya Ukraine na Russia umechukua sura mpya baada washirika wa Ukraine kuruhusu silaha za masafa marefu walizo wapa Ukraine zitumike kushambulia ndani ya ardhi ya Russia inayotambuliwa kimataifa.
Baada ya Ukraine kuzitumia hivi karibuni Russia amejibu mapigo kwa kuifanyia majaribio silaha yake mpya Oreshnik.
Ni teknolojia mpya ya Hypersonic Intermediate range ballistic missile.
Ina uwezo wa kubeba vichwa vya nyukilia (nuclear payload), kwa sasa imetumia vilipuzi vya kawaida(conventional bomb) lengo kutoa onyo tu. Pentagon wakiri silaha hiyo ni tishio lakini wana amini Ukraine itaweza kuhimili maafa yake.
Naomba wale wadau wa mambo ya silaha waje watoe maoni yao. Narudia, wale wadau wanaojua mambo ya silaha siyo shabiki wa vita vya Ukraine au NATO na Russia.
CC: T14 Armata waite wadau wengine tujadili wengine tujifunze.
Wanafunzi wasumbufu lazima waripot kwa kiranja mkuuKwanza hii tabia ya kutoa taarifa kwa marekani kabla ya kushambulia malengo ni kwa nini haswa?
Iran ilipoishambulia israel mara ya kwanza ilitoa taarifa pentagon kwamba masaa 8 yajayo wataishambulia israel. Na wakashambulia.
Jana Russia nao wanawapa taarifa Pentagon kwamba watashambulia huko dnepo. Hii imekaaje?
Siyo kweli.
Wamefanya interception makombora yote, mengi hayakufika ardhini Ila moja debris zake zilifika karibu na makazi au facility ya kijeshi.
Otherwise prove hiyo taarifa yako kupitia neutral source ya taarifa yako.