Orlando Pirates watashangaza watu au safari yao ya kutoka inanukia?

Orlando Pirates watashangaza watu au safari yao ya kutoka inanukia?

Taribo West

Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
29
Reaction score
59
Orlando-Pirates-MTN8.jpeg.optimal.jpeg
 
Ingependeza zaidi kama ungeupa uzi wako nyama zaidi.

Orlando Pirates wanabeba CAFCL msimu huu.

mara ya mwisho Orlando amebeba lini mpaka useme anabeba msimu huu

kuna mwamba anaitwa Al Ahly anachukiwa na wengi na huwa hapendi sifa ila anabeba kila msimu

na huu msimu wake wa nne mfululizo anaenda kubeba ubingwa
 
Baada ya mechi hii ya leo ya Al Ahly nitakwambia kama wana timu ya kuchukua ubingwa ila Orlando amemfunga Al Ahly nyumbani kwake msimu huu.
 
Baada ya mechi hii ya leo ya Al Ahly nitakwambia kama wana timu ya kuchukua ubingwa ila Orlando amemfunga Al Ahly nyumbani kwake msimu huu.

miaka yote Al ahly huwa anaonekana hana makali amechoka ila bado ndoo anaenda kubeba
 
Kafungwa kwenye hatua ya makundi

al ahly huwa anafungwa sana kwenye hatua makundi mara kwa mara

Al ahly huwa anaanza makali yake kwenye hatua za mtoano
Al Ahly huwa hafungwi nyumbani hata hatua ya makundi.

Nikiwaangalia mpaka sasa hivi katika mechi hii ya leo, Orlando, Esperance na hata MC Alger wote wanaweza kumfunga katika hatua hizi za mtoano. Hawana timu ya kutisha sana.
 
Hao Orlando waliofungwa na Mamelodi 4 - 1 au wengine

Ndio hao hao Orlando waliofungwa goli 4 na mamelodi wiki chache zilizopita.. leo wanatajwa watakuwa mabingwa wa michuano migumu africa.

Huku hata mamelodi mwenyewe hawamuwezi
 
Naona dalili ya nusu fainali kuchezwa na timu zote za kiarabu tupu
Heri umeona mbali🤣🤣
Ndio hao hao Orlando waliofungwa goli 4 na mamelodi wiki chache zilizopita.. leo wanatajwa watakuwa mabingwa wa michuano migumu africa.

Huku hata mamelodi mwenyewe hawamuwezi
Watu wamekariri sana na hawafatilii mambo
 
Ndio hao hao Orlando waliofungwa goli 4 na mamelodi wiki chache zilizopita.. leo wanatajwa watakuwa mabingwa wa michuano migumu africa.

Huku hata mamelodi mwenyewe hawamuwezi
Ligi kuu na klabu bingwa ni mashindano mawili tofauti mkuu, tukumbeke Orlando Pirates ndio timu pekee isiyofungwa msimu huu. Na ndiye aliyemtandika Al Ahly kwao Misri.
 
Hao Orlando waliofungwa na Mamelodi 4 - 1 au wengine

Ndio hao hao Orlando waliofungwa goli 4 na mamelodi wiki chache zilizopita.. leo wanatajwa watakuwa mabingwa wa michuano migumu africa.

Huku hata mamelodi mwenyewe hawamuwezi
Naichagua Orlando hii kabla ya Mamelodi ya sasa hivi.

Pyramids anaweza kumfunga Al Ahly katika ligi ya ndani ila hauwezi kuwaza atamfunga katika CAFCL.
 
Ndio hao hao Orlando waliofungwa goli 4 na mamelodi wiki chache zilizopita.. leo wanatajwa watakuwa mabingwa wa michuano migumu africa.

Huku hata mamelodi mwenyewe hawamuwezi
Mamelody stahilo ya mchezo inampona, caf haitaki kuminyana ni gemu ya akilinyingi sana na subra.c
 
Hii timu sio ya mchezo mchezo... wanaongoza huko kwa waarabu..kwanza walishawachanganya tangu mwanzon kukaa golini zaidi ya dakika 15 hawafanyi mazoezi wamekaa tu, jamaa wakaingia kwenye mfumo, walivyotoka waarabu wakaenda kumwaga maji mengi kwenye Hilo goli [emoji23]
Ama kweli malipo ni hapa hapa duniani leo waarabu wanaweweseka na tim za kusini na magharibi mwa afrika..
 
Back
Top Bottom