Orlando Pirates watashangaza watu au safari yao ya kutoka inanukia?

Orlando Pirates watashangaza watu au safari yao ya kutoka inanukia?

Nawazoom hapa ili niwatag. Orlando anaenda kuchukua hii ndoo. Hata katika fainali, Mamelodi anaweza kupigwa nje ndani na hii Orlando.
 
Ili kombe wanabeba mamelod.. hawa pyramid na orando sion timu umu
 
Fainali inaweza kwenda kukutanisha timu mbili zisizo na mashabiki. Waje wachezee uwanja wa KMC, kidogo watajaza uwanja
 
mara ya mwisho Orlando amebeba lini mpaka useme anabeba msimu huu

kuna mwamba anaitwa Al Ahly anachukiwa na wengi na huwa hapendi sifa ila anabeba kila msimu

na huu msimu wake wa nne mfululizo anaenda kubeba ubingwa
Au sio tabiri la hovyo
 
Leo natoa risiti tu. Haya njooni muitetee Al Ahly yenu. Wengine huu mpira tumeucheza kwa level ya juu sana tunajua tunachoongea.

Hata leo hajamfunga. Mamelodi kapita kwa kanuni.. na kabebwa na VAR ya Baba yao kwa kukataa mtu alieshika kwenye build up ya goli
 
Back
Top Bottom