Orlando Pirates watashangaza watu au safari yao ya kutoka inanukia?

Al Ahly huwa hafungwi nyumbani hata hatua ya makundi.

Nikiwaangalia mpaka sasa hivi katika mechi hii ya leo, Orlando, Esperance na hata MC Alger wote wanaweza kumfunga katika hatua hizi za mtoano. Hawana timu ya kutisha sana.

Mamelodi huwa anamfunga Al ahly nyumbani kwake misri kwenye hatua za makundi

Ila bado mwisho wa mashindano bingwa anaenda kuwa Al ahly, huku mamelodi anatolewa njiani hata fainali hafiki

Jiulize huu msimu bingwa alikuwa nani ?

Screenshot_20250401-233948.png
 
Hawa MC wamechezea nafasi sana wakirudi kaburu out,Mamelodi naye namwambia it's going to be tough kule Tunis.
 
Mamelodi huwa anamfunga Al ahly nyumbani kwake misri kwenye hatua za makundi

Ila bado mwisho wa mashindano bingwa anaenda kuwa Al ahly, huku mamelodi anatolewa njiani hata fainali hafiki

Jiulize huu msimu bingwa alikuwa nani ?

View attachment 3290595
Unaona wameita "historic" kwa sababu siyo kitu kinachotokea mara kwa mara. Tusiongee tu bila rekodi.
 
Je bingwa wa huo mwaka alikuwa nani ?

Huyo Aliyefungwa makundi nyumbani alitolewa hatua gani ?
 
Sikupingi kuwa Al Ahly anakuwa wagumu kufungwa hasa hatua ya mtoano ila kusema anafungwaga mara kwa mara nyumbani hatua ya makundi siyo kweli maana takwimu hazisemi hivyo.
 
NImekuweka mfano na ushahidi ku prove kwamba Al ahly huwa anafungwa nyumbani na bado anaenda kubeba ubingwa msimu huo huo aliofungwa nyumbani.

Huku hao waliomfunga wanatolewa ila yeye anaenda beba ubingwa
 
Nilichokupinga ni kusema Al Ahly huwa anafungwa mara kibao nyumbani au Mamelodi HUWA anamfunga Al Ahly nyumbani. Nipe mifano maana huo mmoja ulionipa wamesema ni "historic" kwa maana siyo kitu kinachotokea mara kwa mara.
 
Al ahly ni bingwa mwaka 2024

Al ahly ni bingwa mwaka 2023

Al ahly ni bingwa mwaka 2022

Al ahly ni bingwa mwaka 2020

Na mwaka huu 2025 anaenda kubeba ubingwa tena kama kawaida yake

Hata ukimfunga nyumbani, facts ni kwamba kwenye hatua za mtoano atapita yeye na kubeba ubingwa. Huku wewe utatolewa na kubaki kujisifia ulimfunga Al ahly.

Caf champions league haupewi taji sababu umemfunga Al ahly kwenye group stage
 
Ndiyo timu pekee iliyopata matokeo ugenini leo!

Al Ahly wa kawaida mno,Ibenge akikaza nyumbani hawatoboi.
 
Al ahly ni bingwa mwaka 2024

Al ahly ni bingwa mwaka 2023

Al ahly ni bingwa mwaka 2022

Al ahly ni bingwa mwaka 2020

Na mwaka huu 2025 anaenda kubeba ubingwa tena kama kawaida yake

Hata ukimfunga nyumbani, facts ni kwamba kwenye hatua za mtoano atapita yeye na kubeba ubingwa. Huku wewe utatolewa na kubaki kujisifia ulimfunga Al ahly.

Caf champions league haupewi taji sababu umemfunga Al ahly kwenye group stage
Mtu wa mpira hauwezi "kuapia" timu fulani itachukua ubingwa wakati bado tupo hatua ya robo fainali. Heshimu mpira.
 
Mbona hiyo miaka yote huwa anabeba yeye tu
Siyo hoja nzito sana hasa ukizingatia Al Ahly yenyewe imebadilika na pia kuna ushindani mpya ulio mbele yao. Unataka kusema Al Ahly ataendelea kuchukua ubingwa peke yake milele?

Simba ilichukua ubingwa mara 4 mfululizo, misimu mitatu iliyofuata imeukosa baada ya upinzani kuongezeka na kubadili kikosi mara kwa mara.

Kwa performance ya leo ya Al Ahly, hata huko CWC sitegemei maajabu yoyote.
 
Tuambie sasa
Al Ahly, Esperance, Orlando wote wako level moja msimu huu. Hata Pyramids siyo wa kuwatoa moja kwa moja, wanaweza kutoa ushindani wa kutosha. Msimu huu, hizi timu nne hazipishani sana.
 
Mamelodi huwa anamfunga Al ahly nyumbani kwake misri kwenye hatua za makundi

Ila bado mwisho wa mashindano bingwa anaenda kuwa Al ahly, huku mamelodi anatolewa njiani hata fainali hafiki

Jiulize huu msimu bingwa alikuwa nani ?

View attachment 3290595

Je bingwa wa huo mwaka alikuwa nani ?

Huyo Aliyefungwa makundi nyumbani alitolewa hatua gani ?

NImekuweka mfano na ushahidi ku prove kwamba Al ahly huwa anafungwa nyumbani na bado anaenda kubeba ubingwa msimu huo huo aliofungwa nyumbani.

Huku hao waliomfunga wanatolewa ila yeye anaenda beba ubingwa

Al ahly ni bingwa mwaka 2024

Al ahly ni bingwa mwaka 2023

Al ahly ni bingwa mwaka 2022

Al ahly ni bingwa mwaka 2020

Na mwaka huu 2025 anaenda kubeba ubingwa tena kama kawaida yake

Hata ukimfunga nyumbani, facts ni kwamba kwenye hatua za mtoano atapita yeye na kubeba ubingwa. Huku wewe utatolewa na kubaki kujisifia ulimfunga Al ahly.

Caf champions league haupewi taji sababu umemfunga Al ahly kwenye group stage

Mbona hiyo miaka yote huwa anabeba yeye tu
Leo natoa risiti tu. Haya njooni muitetee Al Ahly yenu. Wengine huu mpira tumeucheza kwa level ya juu sana tunajua tunachoongea.
 
Back
Top Bottom