Mc Alger wamepata nafasi nyingi sana kwenye 18 ya Pirates, zile nafasi wangezipata Pirates ingekuwa habari nyingine. Kule mbele hawana utulivu na umakini kabisa.Akili ile, one on one, usma amuwezi orlando.
Al Ahly huwa hafungwi nyumbani hata hatua ya makundi.
Nikiwaangalia mpaka sasa hivi katika mechi hii ya leo, Orlando, Esperance na hata MC Alger wote wanaweza kumfunga katika hatua hizi za mtoano. Hawana timu ya kutisha sana.
Unaona wameita "historic" kwa sababu siyo kitu kinachotokea mara kwa mara. Tusiongee tu bila rekodi.Mamelodi huwa anamfunga Al ahly nyumbani kwake misri kwenye hatua za makundi
Ila bado mwisho wa mashindano bingwa anaenda kuwa Al ahly, huku mamelodi anatolewa njiani hata fainali hafiki
Jiulize huu msimu bingwa alikuwa nani ?
View attachment 3290595
Hawa MC wamechezea nafasi sana wakirudi kaburu out,Mamelodi naye namwambia it's going to be tough kule Tunis.
Unaona wameita "historic" kwa sababu siyo kitu kinachotokea mara kwa mara. Tusiongee tu bila rekodi.
Sikupingi kuwa Al Ahly anakuwa wagumu kufungwa hasa hatua ya mtoano ila kusema anafungwaga mara kwa mara nyumbani hatua ya makundi siyo kweli maana takwimu hazisemi hivyo.Je bingwa wa huo mwaka alikuwa nani ?
Huyo Aliyefungwa makundi nyumbani alitolewa hatua gani ?
Sikupingi kuwa Al Ahly anakuwa wagumu kufungwa hasa hatua ya mtoano ila kusema anafungwaga mara kwa mara nyumbani hatua ya makundi siyo kweli maana takwimu hazisemi hivyo.
Nilichokupinga ni kusema Al Ahly huwa anafungwa mara kibao nyumbani au Mamelodi HUWA anamfunga Al Ahly nyumbani. Nipe mifano maana huo mmoja ulionipa wamesema ni "historic" kwa maana siyo kitu kinachotokea mara kwa mara.NImekuweka mfano na ushahidi ku prove kwamba Al ahly huwa anafungwa nyumbani na bado anaenda kubeba ubingwa msimu huo huo aliofungwa nyumbani.
Huku hao waliomfunga wanatolewa ila yeye anaenda beba ubingwa
Hao ndiyo Orlando ambao kuna watu wanawachukulia poa. Ogopa timu haichezi mpira wa kuvutia halafu inapata matokeo ugenini.Mc Algers kashaliwa kichwa...
Nilichokupinga ni kusema Al Ahly huwa anafungwa mara kibao nyumbani au Mamelodi HUWA anamfunga Al Ahly nyumbani. Nipe mifano maana huo mmoja ulionipa wamesema ni "historic" kwa maana siyo kitu kinachotokea mara kwa mara.
Mtu wa mpira hauwezi "kuapia" timu fulani itachukua ubingwa wakati bado tupo hatua ya robo fainali. Heshimu mpira.Al ahly ni bingwa mwaka 2024
Al ahly ni bingwa mwaka 2023
Al ahly ni bingwa mwaka 2022
Al ahly ni bingwa mwaka 2020
Na mwaka huu 2025 anaenda kubeba ubingwa tena kama kawaida yake
Hata ukimfunga nyumbani, facts ni kwamba kwenye hatua za mtoano atapita yeye na kubeba ubingwa. Huku wewe utatolewa na kubaki kujisifia ulimfunga Al ahly.
Caf champions league haupewi taji sababu umemfunga Al ahly kwenye group stage
Mtu wa mpira hauwezi "kuapia" timu fulani itachukua ubingwa wakati bado tupo hatua ya robo fainali. Heshimu mpira.
Siyo hoja nzito sana hasa ukizingatia Al Ahly yenyewe imebadilika na pia kuna ushindani mpya ulio mbele yao. Unataka kusema Al Ahly ataendelea kuchukua ubingwa peke yake milele?Mbona hiyo miaka yote huwa anabeba yeye tu
Tuambie sasaBaada ya mechi hii ya leo ya Al Ahly nitakwambia kama wana timu ya kuchukua ubingwa ila Orlando amemfunga Al Ahly nyumbani kwake msimu huu.
Al Ahly, Esperance, Orlando wote wako level moja msimu huu. Hata Pyramids siyo wa kuwatoa moja kwa moja, wanaweza kutoa ushindani wa kutosha. Msimu huu, hizi timu nne hazipishani sana.Tuambie sasa
Mamelodi huwa anamfunga Al ahly nyumbani kwake misri kwenye hatua za makundi
Ila bado mwisho wa mashindano bingwa anaenda kuwa Al ahly, huku mamelodi anatolewa njiani hata fainali hafiki
Jiulize huu msimu bingwa alikuwa nani ?
View attachment 3290595
Je bingwa wa huo mwaka alikuwa nani ?
Huyo Aliyefungwa makundi nyumbani alitolewa hatua gani ?
NImekuweka mfano na ushahidi ku prove kwamba Al ahly huwa anafungwa nyumbani na bado anaenda kubeba ubingwa msimu huo huo aliofungwa nyumbani.
Huku hao waliomfunga wanatolewa ila yeye anaenda beba ubingwa
Al ahly ni bingwa mwaka 2024
Al ahly ni bingwa mwaka 2023
Al ahly ni bingwa mwaka 2022
Al ahly ni bingwa mwaka 2020
Na mwaka huu 2025 anaenda kubeba ubingwa tena kama kawaida yake
Hata ukimfunga nyumbani, facts ni kwamba kwenye hatua za mtoano atapita yeye na kubeba ubingwa. Huku wewe utatolewa na kubaki kujisifia ulimfunga Al ahly.
Caf champions league haupewi taji sababu umemfunga Al ahly kwenye group stage
Leo natoa risiti tu. Haya njooni muitetee Al Ahly yenu. Wengine huu mpira tumeucheza kwa level ya juu sana tunajua tunachoongea.Mbona hiyo miaka yote huwa anabeba yeye tu