Orodha tukufu ya Wanawake maarufu niliowahi kuwahusudu na kuishia kuwala kwa macho

Orodha tukufu ya Wanawake maarufu niliowahi kuwahusudu na kuishia kuwala kwa macho

Kila rijali huwa kuna mwanamke maarufu anayemhusudu ila ndo hivyo huishia kumtafuna kimoyomoyo kutokana na kutokuwepo kwa nafasi ya kuweza kumpata. Ifuatayo ni orodha tukufu ya wanawake maarufu niliowahi kuwala kwa macho. Nitaanzia wale wakongwe hadi hawa wa sasa.

1. Miriam Odemba
Huyu manzi kwa mara ya kwanza nilimuona kwenye tangazo la lotion ambalo jina sikumbuki. Ilikuwa mwaka 1998. Hapo nilikuwa shule ya msingi. Nilipoingia sekondari nikawa simsikii tena.

2. Nora
Huyu mwigizaji nikiwa form one ndo alianza kuvuma akawa anaandikwa sana magazetini. Wakati nikiendelea kumtafuna kwa macho ikatangazwa kuwa kaolewa na mtu aitwaye Ngwizukulu Jilala. Mke wa mtu ni sumu.

3. Sinta
Huyu naye kavuma sana nyakati hizohizo kama za Nora. Msanii Juma Nature alituwakilisha vijana wote kwenye kulifaidi penzi la huyu mtoto mzuri.

4. Kemy
Huyu dada mwigizaji alikuwa anaonekana kama umri umesogea ila mimi haikujalisha. Nilimtaka na huo umri wake.

5. Irene Uwoya
Kwa kumbukumbu zangu mwaka 2004 hadi 2006 nilikuwa bize sana na msuli wa PCM hivyo nikajikuta mambo ya kipuuzi nimepunguza sana. Lakini 2006 kina Uwoya na wenzake walianza kuvuma. Nikajikuta nae nimemtamani ila mchezaji Ndikumana ndo akawa mshindi wa jumla baada ya kumuoa.

6. Wema
Huyu mwanzoni hakunivutia ila alivyoanza kufungasha ile tandam nikanasa.

7. Waziri Kariuki
Huyu mwanamama ni mzuri kinoma. Inagwa umri kanizidi ila anawafunika hadi watoto wa 2000.
lishangazi Queen Masanja ni hatari

Lile likipatikana napiga mpaka nang'oa ukuta
 
Elizabeth yule wa TBC
umenikumbusha watangazaji

kuna huyu julieth robert wa itv, pisi mno
13495088_1335241753155826_1664178149916415695_n.jpg


Zaqrb9lg_400x400.jpg


kuna huyu agnes almasi nae wa itv, alikua na sauti nzuri, sema alifariki
11.jpg
 
umenikumbusha watangazaji

kuna huyu julieth robert wa itv, pisi mno
View attachment 2923327

View attachment 2923328

kuna huyu agnes almasi nae wa itv, alikua na sauti nzuri, sema alifariki
View attachment 2923329
Fungulia
umenikumbusha watangazaji

kuna huyu julieth robert wa itv, pisi mno
View attachment 2923327

View attachment 2923328

kuna huyu agnes almasi nae wa itv, alikua na sauti nzuri, sema alifarik

umenikumbusha watangazaji

kuna huyu julieth robert wa itv, pisi mno
View attachment 2923327

View attachment 2923328

kuna huyu agnes almasi nae wa itv, alikua na sauti nzuri, sema alifariki
View attachment 2923329
Fungulia itv anatangaza taarifa ya habari now
 
Back
Top Bottom