GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Nenda kigamboniHalima Bulembo ana nusu ya moyo wangu popote alipo hadi Kwa Pepo wallahh!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kigamboniHalima Bulembo ana nusu ya moyo wangu popote alipo hadi Kwa Pepo wallahh!!
Atakula skrepaBado unaweza kuwala mkuu. Ushiishie tu kuwala kwa macho
Nandy anamiguu kama spoku za xlMbona umeishia mbali katika orodha yako huku ukiwaacha watoto wazuri japo sasa hivi ni milki halali za watu? Watoto kama lulu, hamisa, nandy, hukuwaona hao?
😂😂😂Ah kudadadadeki utafanya nizimie ujue 😆😂
Kuna faida ya kupata moja mbili kutoka kwa ma veteran 😂😂😂Atakula skrepa
Imebidi nichekeUkweli ni wazuri, swali ni je watazeeka na uzuri wao? Yaani bibi kizee mrembo !
DuuuuhMbona mboni masimba kama ana sura chachu sana?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we kichaaa kweli[emoji23][emoji23][emoji23]Rose ndauka nilibandikaga picha lake magetoni siku nikiwa na kipururu sina manzi nampigia nyeto
MarehemuKanumba
binti kiziwiBinti kiziwi
Namba 7 huyo ana roho mbaya hata Shetani ana afadhali 😂😂😂Kila rijali huwa kuna mwanamke maarufu anayemhusudu ila ndo hivyo huishia kumtafuna kimoyomoyo kutokana na kutokuwepo kwa nafasi ya kuweza kumpata. Ifuatayo ni orodha tukufu ya wanawake maarufu niliowahi kuwala kwa macho. Nitaanzia wale wakongwe hadi hawa wa sasa.
1. Miriam Odemba
Huyu manzi kwa mara ya kwanza nilimuona kwenye tangazo la lotion ambalo jina sikumbuki. Ilikuwa mwaka 1998. Hapo nilikuwa shule ya msingi. Nilipoingia sekondari nikawa simsikii tena.
2. Nora
Huyu mwigizaji nikiwa form one ndo alianza kuvuma akawa anaandikwa sana magazetini. Wakati nikiendelea kumtafuna kwa macho ikatangazwa kuwa kaolewa na mtu aitwaye Ngwizukulu Jilala. Mke wa mtu ni sumu.
3. Sinta
Huyu naye kavuma sana nyakati hizohizo kama za Nora. Msanii Juma Nature alituwakilisha vijana wote kwenye kulifaidi penzi la huyu mtoto mzuri.
4. Kemy
Huyu dada mwigizaji alikuwa anaonekana kama umri umesogea ila mimi haikujalisha. Nilimtaka na huo umri wake.
5. Irene Uwoya
Kwa kumbukumbu zangu mwaka 2004 hadi 2006 nilikuwa bize sana na msuli wa PCM hivyo nikajikuta mambo ya kipuuzi nimepunguza sana. Lakini 2006 kina Uwoya na wenzake walianza kuvuma. Nikajikuta nae nimemtamani ila mchezaji Ndikumana ndo akawa mshindi wa jumla baada ya kumuoa.
6. Wema
Huyu mwanzoni hakunivutia ila alivyoanza kufungasha ile tandam nikanasa.
7. Waziri Kariuki
Huyu mwanamama ni mzuri kinoma. Inagwa umri kanizidi ila anawafunika hadi watoto wa 2000.
Ungekuja na picha kabisaKila rijali huwa kuna mwanamke maarufu anayemhusudu ila ndo hivyo huishia kumtafuna kimoyomoyo kutokana na kutokuwepo kwa nafasi ya kuweza kumpata. Ifuatayo ni orodha tukufu ya wanawake maarufu niliowahi kuwala kwa macho. Nitaanzia wale wakongwe hadi hawa wa sasa.
1. Miriam Odemba
Huyu manzi kwa mara ya kwanza nilimuona kwenye tangazo la lotion ambalo jina sikumbuki. Ilikuwa mwaka 1998. Hapo nilikuwa shule ya msingi. Nilipoingia sekondari nikawa simsikii tena.
2. Nora
Huyu mwigizaji nikiwa form one ndo alianza kuvuma akawa anaandikwa sana magazetini. Wakati nikiendelea kumtafuna kwa macho ikatangazwa kuwa kaolewa na mtu aitwaye Ngwizukulu Jilala. Mke wa mtu ni sumu.
3. Sinta
Huyu naye kavuma sana nyakati hizohizo kama za Nora. Msanii Juma Nature alituwakilisha vijana wote kwenye kulifaidi penzi la huyu mtoto mzuri.
4. Kemy
Huyu dada mwigizaji alikuwa anaonekana kama umri umesogea ila mimi haikujalisha. Nilimtaka na huo umri wake.
5. Irene Uwoya
Kwa kumbukumbu zangu mwaka 2004 hadi 2006 nilikuwa bize sana na msuli wa PCM hivyo nikajikuta mambo ya kipuuzi nimepunguza sana. Lakini 2006 kina Uwoya na wenzake walianza kuvuma. Nikajikuta nae nimemtamani ila mchezaji Ndikumana ndo akawa mshindi wa jumla baada ya kumuoa.
6. Wema
Huyu mwanzoni hakunivutia ila alivyoanza kufungasha ile tandam nikanasa.
7. Waziri Kariuki
Huyu mwanamama ni mzuri kinoma. Inagwa umri kanizidi ila anawafunika hadi watoto wa 2000.
Sometimes ukiwa mwenyewe Kuna mambo ya ajabu unaweza fanya ya kushangaza mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we kichaaa kweli[emoji23][emoji23][emoji23]