Orodha ya bidhaa ambazo Serikali inatakiwa izizuie kuingia nchini

Nahisi alikuwa ana import yule

Ova
 
mafundi wetu hawa jiongezi tu hawa jamaa Waturuki na Warabu wanao kuja kufanya hizo kazi hapa wana pata ma million ya pesa mkuu!
holtan wenyewe walikuwaga wana tengeneza bidhaa za mbao za hapa hapa wanauza kwenye mahoteli ya kitalii dah hizo bei 🙆
Tanzania kuna fursa ni serekali tu haijafanya kazi yake sawa sawa kwa wana nchi!
Ningekuwa na muda ninge wekeza kwenye kutengeneza bidhaa za mbao! me nina shauri mtu kama ana hisi sio mvivu wa kusimamia kazi afanye hato anguka milele!
 
Kweli...mafundi wazuri tunao
Sema mafundi wakiwa waaminifu,wanaendana na muda ,waache uvivu kazi watafanya

Ova
 
Nahisi alikuwa ana import yule

Ova
hapana mkuu alikuwa ana tengenezea apo mikocheni karibia na radio marea alipangisha!
sikuhizi hayupo tena apo nadhani pengine mambo ya mazingira vumbi na harufu ya polish!!!
 
Kweli...mafundi wazuri tunao
Sema mafundi wakiwa waaminifu,wanaendana na muda ,waache uvivu kazi watafanya

Ova
wana ridhika Sana mkuu maana kila siku wana kazi adi siku zitakapo pungua kwa kuchukuliwa na wageni!
akishapata milioni au laki tano anaenda tongoza dem mpya!
 
Ndugu yangu una hoja nzuri sana lakini haiwezi kutekelezeka.

Sababu kubwa ni kwamba ukizuia bidhaa zinazotoka kwa mataifa makubwa nao pia watazuia vitu vyenu kwenda kwao. Achana kabisa na kitu inayoitwa vita ya kibiashara. Tanzania bado sisi ni wachanga sana hatuwezi hii mambo.

Mfano mdogo kumbuka tu Kenya kuzuia mahindi yetu jinsi tulivyotikisika sasa hebu fikiri Mchina azuie bidhaa zetu uone jinsi tutakavyo tetereka.

Kuna agreements za kibiashara kati ya mataifa na mataifa makubwa ndiyo wababe. Mara nyingi huwa wanatoa misaada kwa masharti kuwa mtafungua soko la bidhaa zao pia. Hayo mambo ya biashara yana complications nyingi sana.

Mfano unakumbuka kitendo cha Trump kuongeza kodi kwenye bidhaa za China ili kulinda bidhaa za Marekani kilivyo backfire na mzozo mkubwa wa kibiashara kutokea?

Sisi Tanzania labda tuzuie bidhaa za vinchi vidogo vidogo kama Somalia, au South Sudan.
Lakini bidhaa za hao wababe kama China hatuwezi kuzigusa. Hata kama ni toothpicks au mafagio hatuwezi zuia.
 
wana ridhika Sana mkuu maana kila siku wana kazi adi siku zitakapo pungua kwa kuchukuliwa na wageni!
akishapata milioni au laki tano anaenda tongoza dem mpya!
Alafu wageni wakichkua kazi wanaishia kulialia

Ova
 
Nilienda pale Mlimani city nikakuta Sofa seats 7pc zinauzwa milioni kumi na laki kadhaa...nikasema Hiiiii (kwa sauti ya Mwanakwenda)

Wadanganyika watanunua bila kupunguziwa hata cent10 ila sofa set hiyo hiyo akitengeneza Juma wataomba wauziwe elfu50 kisa tu ni Juma.
 
wana ridhika Sana mkuu maana kila siku wana kazi adi siku zitakapo pungua kwa kuchukuliwa na wageni!
akishapata milioni au laki tano anaenda tongoza dem mpya!
Alafu wageni wakichkua kazi wanaishia kulialia

hapana mkuu alikuwa ana tengenezea apo mikocheni karibia na radio marea alipangisha!
sikuhizi hayupo tena apo nadhani pengine mambo ya mazingira vumbi na harufu ya polish!!!
Ah ok

Ova
 
Alafu wageni wakichkua kazi wanaishia kulialia

Ova
Na sasa hivi ndio nchi imefunguliwa watakuja mafundi wa kichina ndio akili zitawakaa sawa!!
unajuwa mafundi wetu wana tabia moja ya kijinga sana sana!
ikifika saa 10 nao wanafunga workshop zao kama wafanyakazi wa serekali!!
 
Mafundi wazawa wana bei sana,ndiyo maana mtu anaona heri anunue furniture za kutoka nje tu.
 
Binafsi nadhani bidhaa zinazopaswa kupigwa marufuku (ban) ni bidhaa za ubora mdogo mfano viatu vya wanawake ni aibu tupu, toy za watoto huwa naumia nikizikuta mtaani
 
Malaysia walikuwa na policy ..
Mkataba wowote ule ukipingana na policy za ndani ..kitakachofatwa ni policy za ndani
Hao ni Malaysia na wana viwanda vingi vinavyoweza kukidhi mahitaji.

Leo hii India wakitaka kuwaletea hivyo vitu mkiwazuia na wao watazuia mazao yenu.

Mwisho wa siku watakaoumia ni wakulima wenu na wananchi wenu.

Unaongea as if Tanzania ni nchi pekee duniani na utafanya maamuzi wengine wayafuate.

Wakenya waliwazuia tour guides kuingia uwanja wao wa ndege kuchukua watalii, Tz wakapunguza safari za ndege zao kutua Dar. Mwisho wa siku wakenya ndo walioumia zaidi na wakaruhusu na wao.

Kuna bilateral, multilateral treaties na reciprocity. Ukijidai kubana na wao wanakubana vilevile.

Hata USA na ubabe wao bado wana-import hata sahani toka nchi nyingine. Wanaheshimu hiyo mikataba na pia wanawapa wananchi 'varieties' na 'choices' mbalimbali kwenye hizo bidhaa.

Mfano, unavyosema matairi ya magari yazuiwe kuingia Tz, unategemea kiwanda kipi kiweze kukidhi mahitaji ya nchi nzima? Na hiko kiwanda kinaweza zalisha varieties kama zinazotoka nje?

Ujue ni rahisi kuongea kuliko kutenda. Uchumi sio rahisi kama unavyodhani. Ndo maana JK alikwambia ukitaka kula na wewe ukubali kuliwa.
 
Kuna jamaa wachagga nimeona viatu vyao jamaa yangu kavaa sikuamini kama ni made in Tz. Nimeamua naenda kununua soon. Bei kuanzia 45,000
Kuna hawa wapo Moshi niliwaona clouds tv kipindi cha made in tz wana viatu unique vizuri sana nilitaka kufunga safari siku hiyo tafuta YouTube, tafuta video ya ziara ya jpm ya huko huko moshi mwaka jana alienda duka kama super market la viatu vilivyotengenezwa tz nadhani ni magereza wale. Kuna viatu matata sana sikuamini
 
Selected protectionism sio kitu kipya kabisa
Hata hao wachina walifanya...
Hatujaamua tu
 
Selected protectionism sio kitu kipya kabisa
Hata hao wachina walifanya...
Hatujaamua tu
Nipe mfano wa bidhaa ambazo China amepiga marufuku kabisa kuingia nchini kwake ili alinde viwanda vyake.
 
Kama alikuwa Waziri basi ujue hizo hela alizokuwa ananunulia hayo makochi zilitokana na kodi yako!!! Hawa jamaa wananunuliwa na serikali mpaka makochi ya nyumbani!.
Kanunua ile mikoch mipanaaa ya leather nkasema duh.watu wana taste za ajabu. Ya hela yote unanunua mikoch mipana hvyo ya leather..ile kama ya kinigeria..daaah...ila pesa zake bana...
 
Nipe mfano wa bidhaa ambazo China amepiga marufuku kabisa kuingia nchini kwake ili alinde viwanda vyake.
Nipe mfano wa bidhaa ambazo China amepiga marufuku kabisa kuingia nchini kwake ili alinde viwanda vyake.
Nipe mfano wa bidhaa ambazo China amepiga marufuku kabisa kuingia nchini kwake ili alinde viwanda vyake.
Nipe mfano wa bidhaa ambazo China amepiga marufuku kabisa kuingia nchini kwake ili alinde viwanda vyake.
Nipe mfano wa bidhaa ambazo China amepiga marufuku kabisa kuingia nchini kwake ili alinde viwanda vyake.

Kumbe unaongea out of assumption?
Hebu Google 'the history of Protectionism in China'

Au tafuta complain za Wilbur Ross kuhusu protectionism za China...as recent as 2017
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…