mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Nahisi alikuwa ana import yulekabisa mkuu na kitambaa imara tu! karibia maduka yote wana karakana za kutengenezea hapa hapa na ukiituta dukani utauzia 20 na zaidi utambiwa hii ni kutoka Uturuki au nje kumbe wametengeneza hapa hapa!!
soko hili ni kubwa sana ni mtaji tu wala halihitaji akili kubwa sana soko lake ni kubwa sana sana na la uhakika sio rahisi mtu aliye anzisha akiwa na mtaji akaanguka ni ngumu sana maana kazi ni nyingi sana!
na mafundi ndio hawa hawa wa kwetu!
yule mjane wa mengi mbona alifanya vizuri sana sana sijui siku hizi yupo wapi na alikuwa ana tengenezea hapa hapa ila ukiona una hisi zimetoka UK
Ova