Orodha ya bidhaa ambazo Serikali inatakiwa izizuie kuingia nchini

furniture za bongo ni ovyo mno unanunua furniture mil 2.5 Baada ya mwaka mbao zote zinatoa unga.ni wachache wanaotengeneza furniture zenye ubora

Magugu yatajitenga na ngano kukiwa na ushindani wa ndani. Hata hao wazuri wachache wanakosa soko kwa kushindanishwa na bidhaa za nje.
 
Mkuu.

Sisi tuna mazao kama korosho ni zao kubwa kwa wakulima wa huko lindi na mtwara.

Unadhani wakizuia mfano wa mazao haya nao huko nje tusipeleke hali itakuwaje kwa sisi tunaolima mazao hayo kama chanzo chetu kikubwa cha kipato ?
 
Mkuu.

Sisi tuna mazao kama korosho ni zao kubwa kwa wakulima wa huko lindi na mtwara.

Unadhani wakizuia mfano wa mazao haya nao huko nje tusipeleke hali itakuwaje kwa sisi tunaolima mazao hayo kama chanzo chetu kikubwa cha kipato ?

Sio kweli..
Ukizuia mashati kutoka China
Utaagiza vitambaa vya mashati na mashine za kutengeneza hayo mashati kutoka huko huko China...

Wachina hawatazuia
Utakua Tu umebadili bidhaa ya kununua
Na hawawezi zuia hizo korosho.
 
kama wakizuia wewe bidha yako nani atataka kuninua? si kila siku tunasema tuime sijui mara tuingie kwenye soko la dunia . biashara maana yake ni nani anahitaji nini na kipi kinavutia pamoja kitu gani imara' ndo maana kuna kitu kinaitwa free trade competetitioon
 
Sio kweli..
Ukizuia mashati kutoka China
Utaagiza vitambaa vya mashati na mashine za kutengeneza hayo mashati kutoka huko huko China...

Wachina hawatazuia
Utakua Tu umebadili bidhaa ya kununua
Na hawawezi zuia hizo korosho.
Nimeuliza tu ikiwa na wao wataamua kuzuwia wasinunue mazao itakuwaje kwa upande wetu ?
hawawezi zuia hizo korosho
Ndio hata sisi hatuwezi kuzuwia hizo bidhaa.
Hapa tunazungumza endao zitazuwiwa.
Ukizuia mashati kutoka China
Utaagiza vitambaa vya mashati na mashine za kutengeneza hayo mashati kutoka huko huko China
Kuna bidhaa hazipo hivyo.

Mfano ukizuwia fagio zisitoke china utaagizia nini huko china ?

Ukizuwia miswaki istoke china utaagiza nini kama mbadala wa mswaki huko china kama ilivyokuwa mbadala wa mashati ni vitambaa ?

Kuna bidhaa ambazo ukizikatisha moja kwa moja uagizaji basi hakuna muamala mwingine unaohusiana na bidhaa hizo.

Sasa mimi ninachouliza ni kuwa,je na wao wakisema wazuwie wasinunue vya kwetu itakuwaje ?
 
finishing mbovu ni matokeo ya uwekezaji hafifu unaozaliwa na uoga wa ushindani.

umetembelea workshop za masofa huko mtaani zinazocheza kwenye 700k mpaka 2mln kwa set???
sofa ni kalia sana maana wateja wapo,sababu zile imported ni zile premium ambazo haitois ushindani kwa soko la ndani kwa kuuzwa 10mln.

sasa utengeneze kasha la mbao kwa 15000 mpaka finishing wakati lipo la mpira linaingia sokoni kutoka nje kwa 4000 hiyo uwekezaji wa namna gani??
kkoo kumejaa trash kibao tunanufausha wachina tu na nguvu tunazo.
 
Mwenda zake alijaribu mkasema anaua uchumi
 
wakati mar jk nyerere anapiga kelele kuhusu ushindani hakueleweka,ila hoja yake ilikuwa hapo.
lazima kuwe na uuwiano kwa bidhaa zinazoingia na zinazotoka kwa thamani kwa kutumia kodi.
kodi ndio iamue sio thamani ya bidhaa.

ukinunua mswaki kutoka china kwa shilingi 2000,wakati wa tz ni 500,hapo kuna miswaki 4 ya tz sokoni inapambana na mmoja wa china,kinyume na hapo hakuna matokeo chanya kwenye vita hiyo.
 

VIBIRITI
Mjembe
Wheelbarrows
Mapanga

Kawa kifupi zana zote za kilimo!! Mbona zamani tulikuwa na viwanda vinatengeneza?

Selective protectionism helps the growth of budding industries.
 
Kuna bilateral na multilateral treaties.

Huwezi amka na kuzuia bidhaa zisiingie wakati kuna mikataba mmetia saini na nchi mbalimbali.
 
Mimi naona serikali isizuie hivyo vitu maana muda wa kuzuia ulishapitwa na wakati na hivyo vitu vinahitajika kwa wingi sasa na matumizi yake niyakubadilisha kwa haraka na vinachoka mapema na tunahitaji maisha Bora kwa kila mmoja, sasa nini serikali ifanye ituletee sehemu ya kufanyia biashara yaani masoko yamilikiwe na serikali Kama masoko ya mkoa wa Mbeya sido wamejenga soko zuri sana na vyumba vidogo vidogo vimekusanya wafanyabiashara wengi watu wanaenda kununua mahitaji yao kwa urahisi na gharama ndogo na kila mtu anafanikiwa kumiliki vitu vizuri hata hela za Raisi alisema atainua vikundi vya kina mama naomba awape sido wajenge masoko kama la mbeya kila mkoa na wilaya na vyumba walipie kwa gharama ndogo na stendi zote iwe hivyo Ili waume kwa wake wajiajiri kwa urahisi na hizo bidhaa tunazihitaji Ili tutumie huku watu wakipata cha kuuza.
 
Mbona Sukari ilizuiwa kuingia mwishowe tukapoteana hadi leo bei ipo juu tu
 

Vyote Sawa ila pazia na vyombo vya ndani Hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…