Tasnia ya betting Tanzania imekua Sana kwa Sasa Kuna kampuni za kubeti mtandaoni zaidi ya 30. Hapa nitakuwekea list ya kampuni zote za betting . Tahadhari betting Ni mchezo wa kujifurahisha na sio ajira Wala utajiri. Cheza kwa kiwango ambacho hutaumia endepo utapoteza. Betting inaweza kukudababishia uraibu
1.
888bet Tanzania , Inamilikiwa na port achia ipo pia Kenya ,Tanzania Msumbiji, Angola, Zambia , na Malawi
2.
Gal sport Tanzania , ipo pia Uganda, Zambia, Msumbiji, Congo, Tanzania, Guinea na ghana
3.
Betway Tanzania , ipo pia Nigeria , Tz, Ghana, South Africa, Zambia, Malawi, n.k
4.
Meridianbet Tanzania, ipo pia Kenya na Tanzania
5.
Pmbet Tanzania , ipo pia Kenya na Tanzania
6.
Helabet Tanzania, nikampuni ya kimataifa inapatikana nchi nyingi duniani
7.
Betwinner Tanzania , nikampuni ya kimataifa inapatikana nchi nyingi duniani
8.
888starz Tanzania , nikampuni ya kimataifa inapatikana nchi nyingi duniani
9.
PremierBet Tanzania, inapatikana pia Uganda, Malawi, Msumbiji na Nigeria
10.
Parimatch Tanzania , inapatikana pia Nigeria, ghana , Msumbiji na Ulaya
11.
1xbet Tanzania , hii inapatikana karibu nchi zote duniani
12.
Melbet Tanzania , Hii nikampuni ya kimataifa inapatikana nchi nyingi Duniani
13.
Sportbet , inapatikana pia Zambia ,Kenya , Nigeria na Ghana
14.
Betpawa Tanzania, inapatikana pia Kenya, Zambia,Malawi,Nigeria, Ghana,Rwanda na Uganda
15.
Mbet Tanzania , inapatikana pia Congo
16.
Sportpesa Tanzania ,inapatikana pia Kenya, na Italy
17.
Leonbet Tanzania , inapatikana Tanzania na nchi kadhaa Ulaya
18.
Sokabet Tanzania , hii inapatikana pia Kenya
19.
Wasafi bet Tanzania Hili Ni tawi la kampuni ya oddi Bet Kenya
20.
Betika Tanzania , hii inapatikana pia Kenya, Msumbiji na Zambia, na Ethiopia
21.
Bikosport hii inapatikana Tanzania pekee yake
22.
Mojabet Tanzania , hii inapatikana Tanzania na Congo , lakini sidhani Kama bado Ina operate lakini inaweza kuwa na leseni hai bado
23. Mrbet Tanzania , hii nikampuni mpaya ya kubeti Tanzania
24.
Tembobet /betx , hii inapatikana Tanzania pekee yake
25
Gwala bet , hii inapatikana Tanzania pekee
26. Pigabet Tanzania , hii inapatikana Tanzania na ipo chini ya The Grand casino
27. Bonus Bet, hii inapatikana Tanzania pekee
28.
Kingbet Tanzania, Hii inapatikana Tanzania pekee
29. Throne Bet Tanzania , hii inapatikana Tanzania pekee
Kampuni nyingine huendesha kasino za mtandaoni
30.
Slotpesa
31. Nyotacasino