Orodha ya kampuni za kubeti Tanzania

Orodha ya kampuni za kubeti Tanzania

Aviator Jana nilideposit 70k ikapanda Hadi 80k nikacheza nikapigwa Hadi ikabaki 8000, nikastake yote ya mwisho nikasema ama zangu au wao nikaiacha Hadi ikafika 65k[emoji1] , nikastake Tena mdogo mdogo nikafika 100k nikakimbia Ila jasho lilitoka[emoji23]

Mm nimeweka elf 5 nikasema ni jaribu ikaliwa mpaka ikafika elf 2 nikataka nirejeshe elf 5 ni withdraw kijasho kilimitoka nikaamua niachane nayo nikatoa hio hio elf 2 nikasema sifanyi tena aviator
 
888 Starz utapeli mwingi,ukiwala pesa kubwa vikwazo vingi kwenye kutoa.mda mwingine wanafreez Mobile payment
 

Attachments

  • Screenshot_20240925-163346.png
    Screenshot_20240925-163346.png
    107.3 KB · Views: 23
  • Screenshot_20240925-163302~2.png
    Screenshot_20240925-163302~2.png
    112.8 KB · Views: 24
  • Screenshot_20240925-163217.png
    Screenshot_20240925-163217.png
    89.7 KB · Views: 15
Tasnia ya betting Tanzania imekua Sana kwa Sasa Kuna kampuni za kubeti mtandaoni zaidi ya 30. Hapa nitakuwekea list ya kampuni zote za betting . Tahadhari betting Ni mchezo wa kujifurahisha na sio ajira Wala utajiri. Cheza kwa kiwango ambacho hutaumia endepo utapoteza. Betting inaweza kukudababishia uraibu

1. 888bet Tanzania , Inamilikiwa na port achia ipo pia Kenya ,Tanzania Msumbiji, Angola, Zambia , na Malawi

2. Gal sport Tanzania , ipo pia Uganda, Zambia, Msumbiji, Congo, Tanzania, Guinea na ghana

3. Betway Tanzania , ipo pia Nigeria , Tz, Ghana, South Africa, Zambia, Malawi, n.k

4. Meridianbet Tanzania, ipo pia Kenya na Tanzania

5. Pmbet Tanzania , ipo pia Kenya na Tanzania

6. Helabet Tanzania, nikampuni ya kimataifa inapatikana nchi nyingi duniani
7. Betwinner Tanzania , nikampuni ya kimataifa inapatikana nchi nyingi duniani
8. 888starz Tanzania , nikampuni ya kimataifa inapatikana nchi nyingi duniani
9. PremierBet Tanzania, inapatikana pia Uganda, Malawi, Msumbiji na Nigeria
10. Parimatch Tanzania , inapatikana pia Nigeria, ghana , Msumbiji na Ulaya
11. 1xbet Tanzania , hii inapatikana karibu nchi zote duniani

12. Melbet Tanzania , Hii nikampuni ya kimataifa inapatikana nchi nyingi Duniani

13. Sportbet , inapatikana pia Zambia ,Kenya , Nigeria na Ghana
14. Betpawa Tanzania, inapatikana pia Kenya, Zambia,Malawi,Nigeria, Ghana,Rwanda na Uganda
15. Mbet Tanzania , inapatikana pia Congo
16. Sportpesa Tanzania ,inapatikana pia Kenya, na Italy
17. Leonbet Tanzania , inapatikana Tanzania na nchi kadhaa Ulaya
18. Sokabet Tanzania , hii inapatikana pia Kenya
19. Wasafi bet Tanzania Hili Ni tawi la kampuni ya oddi Bet Kenya
20. Betika Tanzania , hii inapatikana pia Kenya, Msumbiji na Zambia, na Ethiopia
21. Bikosport hii inapatikana Tanzania pekee yake
22. Mojabet Tanzania , hii inapatikana Tanzania na Congo , lakini sidhani Kama bado Ina operate lakini inaweza kuwa na leseni hai bado
23. Mrbet Tanzania , hii nikampuni mpaya ya kubeti Tanzania
24. Tembobet /betx , hii inapatikana Tanzania pekee yake
25 Gwala bet , hii inapatikana Tanzania pekee
26. Pigabet Tanzania , hii inapatikana Tanzania na ipo chini ya The Grand casino
27. Bonus Bet, hii inapatikana Tanzania pekee

28. Kingbet Tanzania, Hii inapatikana Tanzania pekee

29. Throne Bet Tanzania , hii inapatikana Tanzania pekee

Kampuni nyingine huendesha kasino za mtandaoni
30. Slotpesa
31. Nyotacasino
WAswahili wanyonge wanasema "WASAFI BET ni ya DayMonde"
 
Back
Top Bottom