Orodha ya magonjwa ambayo ukiyapata hayatibiki kwa hapa Tanzania

sema sip ugonjwa ni syndrome ngoja likupate ndio utajua hujui
Kama sikosei, AIDS maana yake ni Acquired Immuno Deficiency Syndrome; siyo disease. Ni kweli kuwa syndromes zinaua pia kama ambavyo kidonda kinavyoweza kuua japo kidonda siyo ugonjwa.
 
Uko sahihi mkuu, hiyo dawa ni mchanganyiko wa mitishamba mbalimbali, kwahiyo hata yeye aliingia gharama dawa kuipata kwa wataalamu wa hizo dawa ila ipo na watu wanapona!
Sawa ndugu
 
Sasa kaka ukimwi unatibika mbona huhutaji umekukosea nini 🙄
Kuna mtu anatibu Ukimwi na unapona hapahapa Tanzania, nilishamwona anahojiwa Channel Ten kwenye kipindi maalumu na hata aliomba serikali ili atambuliwe rasmi, yeye anadai walitumwa kweli Maprofesa kutoka wizarani ila shida yao wakataka awape formula ya dawa yake kwanza.
Yeye akawaambia formula hawezi kuwapa ila kama wako tayari washirikiane kupima wagonjwa tangu hatua za awali Kisha awape dawa mpaka wathibitishe wamepona, hawakuonyesha ushirikiano.

Ila yupo na ana Clinic yake Dar (ana wataalamu utapimwa kwanza na Kisha utaanza dozi ukimaliza utapimwa tena na anatibu watu wanapona ndani ya miezi 2 au 3 kama nakumbuka vizuri unakua HIV free.

Cha kushangaza nje ya nchi wateja hujichanga na kumtumia tiketi anaenda kuwahudumua na kurudi ila humu serikali yetu imelala.
 
Tanzania kuendelea ni ngumu sana, ubinafsi umetawala kwa kiasi kikubwa mno!
 
Tanzania kuendelea ni ngumu sana, ubinafsi umetawala kwa kiasi kikubwa mno!
Ubinafsi huendana sana na system ynye rushwa: hapa kwetu ubinafsi ulianza kukua kwa kasi sana enzi za ruksa kutokana na rushwa kuanza kuota. Leo hii rushwa imetamalaki sana, ndiyo maana inafikia kiasi kuwa rais anateua familia yake yote kuwa mawaziri kama vile hakuna raia wengine wenye kustahili nafasi hizo ila wale wa kwake tu.
 
Power and authority🤦🏽‍♀️
 
Pia kumbukeni dawa nyingi tunazotumia nchi hii ni za ubora wa chini sana,. Mfano mzuri jaribu kulinganisha ubora wa Amoxiclav hizi za India ( Myclav, and the likes) na Amoxiclav ile original Augmentin ya GSK( European Quality)
hata India kuna dawa bora kulio hizi zinazoletwa nchini, kuna kipindi rafiki alikuwa anaumwa kansa akawa aanatibiwa India aliporudi dawa zikimuishia kila akiniagizia nimtafutie kwenye pharmacy sipati lakini kwa sababu famasi nyingi zinamilikiwa na wahindi wakawa wananijibu hizi hazipatikani huku.
 
Alipewa dawa gani nakuomba pm mkuu
 
Alipewa dawa gani nakuomba pm mkuu
Mkuu huyu dogo alishaondoka kurudi kwao Kigoma. Huo ugonjwa unaweza ukapata tiba yake kwa kuchat na doctor wa Kihindi ukimuelezea vile Unavyojisikia ni free kabisa
Save hii namba +91 87380 30604 chat naye whatsapp utapata Muongozo
 
Mkuu; kwa maisha ya Waafrika, kila mtu si angekuwa anaumwa vidonda vya tumbo?

Hata hivyo, huu ugonjwa unasababishwa na vimelea(bakteria kutoa jamii ya HP)...
 
Mkuu huyu dogo alishaondoka kurudi kwao Kigoma. Huo ugonjwa unaweza ukapata tiba yake kwa kuchat na doctor wa Kihindi ukimuelezea vile Unavyojisikia ni free kabisa
Save hii namba +91 87380 30604 chat naye whatsapp utapata Muongozo
Shukrani sana kaka shukrani sana ngoja nimcheki whatsapp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…