Orodha ya magonjwa ambayo ukiyapata hayatibiki kwa hapa Tanzania

Pia kumbukeni dawa nyingi tunazotumia nchi hii ni za ubora wa chini sana,. Mfano mzuri jaribu kulinganisha ubora wa Amoxiclav hizi za India ( Myclav, and the likes) na Amoxiclav ile original Augmentin ya GSK( European Quality)
Uko india ni kwa moto niliona kwenye kipindi cha Traffiking uko wanavyotengeneza mzigo feki kwa kutumia unga wa muhogo au glucose ni shida na mzigo unaenda all over the city
 
Mkuu, kongole
 
Nimekuja nyumbani kum-check Bi Mkubwa alikuwa anasumbuliwa na tumbo muda mrefu juzi nimempeleka vipimo vikubwa amekutwa na cancer ipo kati ya ini,nyongo na utumbo mdogo waliniambia inaitwa kitu kama Cholangiocarcinoma.

Imeniumiza sana akili kujua mama yangu anaugua kansa,nimeshauriwa nimpeleke Muhimbili moja kwa moja naomba Mungu jambo likawe jepesi.
 
 
Kama una uwezo mpeleke India Apollo Hospital, ni mabingwa kwa haya majambo.
 
Kama una uwezo mpeleke India Apollo Hospital, ni mabingwa kwa haya majambo.
Kwa huo uwezo hapana nimeambiwa inawezekana kuizuia isiendelee kumletea madhara nadhani Kibongo Bongo ni kujua imefika stage gani then tunaanza nayo hapo.
 
Mungu akufanyie wepesi mama yako awe sawa mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…