Orodha ya majiji, miji na wilaya zenye mzunguko mkubwa wa hela Tanzania

Hivi Dodoma ni vyanzo gani hasa vinavyofanya iingize pato kubwa hivo? Tusije tukawa tunapromote tu kisa ni makao makuu ya nchi.
Wa promote Ili wavumbue nini? Toka Dom itangazwe Jiji na kupima viwanja enzi za Jiwe kwa mara ya kwanza waliingiza Bil.75..
From there ndio wakarudi kwenye makusanyo halisia..

Dom ni huge construction site na hivyo kuvutia kila aina ya biashara na uwekezaji so with regards to vyanzo vya Halmashauri inavyo vingi kuliko maeneo mengine except Dar.
 
Popote penye watu pana pesa kwa mtafuta fursa ni kujua tu wanataka nini Ili uchukue pesa zao. Uwape bidhaa au huduma.
 
Kwa hiyo Katiba ya Nchi inaleta ugali si ndio?
Yawezekana umemaliza form Four mwaka Jana na naamini hata mtihani ulifeli na hujui nn maana ya katiba ndio maana kwa kudhihirisha ukilaza wako umeleta habari za ugali. Sikulaumu sana ndio akili yako imefikia hapo yawezekana nikikulazimisha kufikiri utakufa sasa hivi.kichwa chako bado kidogo sana.
 
Tunaipa muda haina vyanzo vya mapato kuliko pengine ni promo za makao makuu tu. Jiwe alivyopima sasa hv ni ujenzi wa miji ngoja patulie ukame uwapige tena. Kama ilitoka 75 hadi sa hiv ni 40+, maboresho ya mju yakipungua utaongelea kumi na kitu. Hakuna biashara kubwa ya mabilion pale
 
Kama unazungumzia kukatwa kwa maeneo Mwanza ndo mwanga kuliko mikoa yote.Mwanza ilipoteza migodi yote na hifadhi rubondo kwa mkoa wa geita.Pia Mwanza ilipoteza sehemu ya hifadhi ya serengeti na kijereshi na miaro ya uvuvi kwa mkoa wa Simiyu lasivyo hata hiyo Dar ingetoka jasho .Ila bado Mwanza ina muscles Dar ijipange kwa wale waliofika Mwanza hivi karibu wananielewa na sema nini.Mwanza imeisha jijenga kuwa business hub ya east and central africa ndo maana inaendelea kushine without specific kama mikoa mingine hata ukiwauliza serikali kuhusu Mwanza watakupa reason nyingi ila ukweli ni kwamba ni interaction ya nchi kama uganda ,congo,rwanda,burundi,south sudan na kenya na hizi nchi unaweza kwenda ukafanya mambo yako na kurudi mwanza at the same day.
 
Unaota wewe, yaani uliwahi kuona wapi Mji ukafunguliwa fursa afu ukaacha kuvutia wawekezaji?

Sasa hapa utakuwa unawanga mchana maana wenzio huwa wanawanga usiku.

Ni hivi Dom haipoi leo wala kesho na itazidi kupanua gap na Mwanza nk na kupunguza Gap na Dar..

Tunaongea hapa Airport bado,Ring Road bado,Uwanja wa mpira bado, International convention bado,Hotel za nyota 5 zote zinazoendelea kujengwa bado,upanuzi wa barabara njia 4 kila upande bado na awamu ya pili ya ujenzi wa Mji wa serikali bado nk nk..

Hivi kweli unawaza kuna siku Dom itapoa? Wakati unawaza kuna viwanda kibao vinaendelea kujengwa achilia mbali miradi mingine ya Serikali na private sector..

Huko Mwanza labda mjitahidi kile Kiwanda cha Dhahabu kiwa boost kidogo lakini unfortunately hata Dodoma kuna Kiwanda cha Dhahabu.
 
Lini ilitoka jasho wakati wakati hayo maeneo yalipokuwepo?

Mwanza inajikongoja
 
Upumbavu mtupu, kasome uchumi uje ufute ujinga wako hapa.
 
Upumbavu mtupu, kasome uchumi uje ufute ujinga wako hapa.
Pole ,ndio umeshapaniki πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†..

Hakuna Siku Jiji la Mwanza likisaidiwa na Ilemela combined itakuja kulipita Jiji la Dodoma,sahau.
 
Lini ilitoka jasho wakati wakati hayo maeneo yalipokuwepo?

Mwanza inajikongoja
Kama unaelewa maana ya statistics utanielewa nowday Mwanza ni GDP tril 11 na Dar tril 25.Sawa katafute statistics za 4years back then fanya comparison utapata jibu kwanini nasema ina rate nzuri ya ukuaji.
 
Kama unaelewa maana ya statistics utanielewa nowday Mwanza ni GDP tril 11 na Dar tril 25.Sawa katafute statistics za 4years back then fanya comparison utapata jibu kwanini nasema ina rate nzuri ya ukuaji.
Wewe ndio unatakiwa kuthibisha,hakuna kitu unaongea..

Kwa.hizo Takwimu Mwanza inaingia mara 2 na chenji juu.
 
Hvyo vyote unavyovisemea ,,, miradi kama ring road, international airport,ni miradi ambayo ni strategic Kwa majiji yote ..mwanza Yuko phase one ya ujenzi wa terminal ya kimataifa,,,ring road ya buhongwa -igoma-kayenze ipo on the way
 
Jibu hoja,taja Halmashauri 2 za kutoka Mwanza kwenye list hapo..

Ukinitajia najitoa jf
Hoja ni mkoa wa mbeya kuuzidi mkoa Mwanza, na ikatolewa sababu kuwa mkoa wa mbeya ulimegwa ndo maana hivi Sasa unalambishwa mchanga, nikamjibu jamaa nawe ndo ukadandia hoja kwa mbele na hicho kioja chako, ni kwamba haijawahi kutokea na haitatokea mbeya kuizidi Mwanza, iwe Jiji kwa Jiji au mkoa kwa mkoa.
 
Mwanza international airport ileee. Daraja la busisi litafungua mizigo kutoka kila kona hadi huko uganda. Kiufupi Dom itasubiri sana.
 
Mwanza international airport ileee. Daraja la busisi litafungua mizigo kutoka kila kona hadi huko uganda. Kiufupi Dom itasubiri sana.
Acha utani Mzee,hako ka airstrip ambako hakaishagi na juzi mkuu was mkoa anasema Sukuma gang wamepiga pesa Ndio international airport?

Hiyo ikiwa international airport na Msalato itaitwaje sasa.
 
Acha utani Mzee,hako ka airstrip ambako hakaishagi na juzi mkuu was mkoa anasema Sukuma gang wamepiga pesa Ndio international airport?

Hiyo ikiwa international airport na Msalato itaitwaje sasa.
Kwa taarifa yako Mwanza international airport ndo ina runway na air tower ndefu kuliko zote east africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…