Mtoa mada huwez kuongelea mzunguko wa pesa ktk mji fulan kwa kigezo cha makusanyo ya serikali.
Note. Mji fulani unaweza kuwa mdogo sn na ukawa na wakazi wachache sn lkn mzunguko wa pesa ukawa juu sn, japo kwa udogo wa mji ukazidiwa makusanyo na mji mkubwa. Mapato makubwa ya halmashauri huwa ni license, service levy, hotel levy, fees za ardhi na fees za natural resources,
Mfano. Moshi inaweza kuwa na makusanyo mengi kuriko katolo geita, lkn katolo ikawa na mzunguko mkubwa wa pesa.
Mzunguko wa pesa ktk eneo huathiriwa na mambo mengi lkn kubwa ni geographic location ya eneo, shughuli za uzarishaji mali na idadi ya watu ktk eneo husika.
Dodoma inakuj juu ya mwanza cc shauri ya geography yk imeipa nafas ya kuwa-capital city.. Hivyo shughuli za maendeleo Dom ni nying sn kwass,
Tanga haina mzunguko mzuri wa pesa kuizid mbeya lkn inakuwa juu ya mbeya shauri ya eneo lake lina bandari inayochochea shughuli za ukusanyaji kuwa juu.
Ila kuna maeneo mzunguko wa pesa uko juu na makusanyo yako juu mfano ni DAR, MAFINGA, MWANZA, KAHAMA NA TUNDUMA.