Orodha ya majiji, miji na wilaya zenye mzunguko mkubwa wa hela Tanzania

Taarifa ya kubumba hii. Ina maana Wilaya ya Tandahimba ina makusanyo mengi kuliko halmashauri ya Mtwara & Mikindani? Uongo wa wazi wazi kabisa.
 

Eti Shinyanga yazidiwa na hawa 😁 kuna kamoshi hapo sijakaelewa mkuu, mapato ya ndani yametokana na mbege ama?
 
Kwa Mwanza kuzidiwa na dom sijaelewa hapo. Ina maana dom ni zaidi ya mwanza!!!
 
Kumbuka Jiji LA Mwanza ni Wilaya ya Nyamagana tu. Wilaya ya Ilemela ni Manspaa ! Halafu unasema Arusha aizidi Mwanza thubutuu
 
Kumbuka Jiji LA Mwanza ni Wilaya ya Nyamagana tu. Wilaya ya Ilemela ni Manspaa ! Halafu unasema Arusha aizidi Mwanza thubutuu
Unajielewa kweli angalia kweny list Nan kampiku mwenzie njoo sasa kweny jumla ya mapato ya mkoa mzima hata moro hamkuti usifananishe mwanza na upumbavu
 
Hakuna Jiji la Dar es Salaam,
Jiji ni Ilala.
Kino, TMK,Kg ni mikoa.
Kuna mkuu wa mkoa wa Temeke Jokate Mwegelo that's an example.
Dah.hizi shule mlienda kusomea ujinga jamani?
Lini Temeke ,kinondoni na kigamboni zimepandishwa hadhi kuwa mikoa?hizo ni manispaa ndani ya mkoa wa DSM.
 
Kanda ya ziwa yenye dhahabu na almasi na viwanda kemkem + utalii ndani ya mbuga za serengeti n.k!! eti inazidiwa mbali hivyo na dar 😁 mwanza ilitakiwa itofautiane angalau kidogo sana na dar, 27 kwa 167 kweli!!😁
 
Rungwe na Kyela hazimo pamoja na kuwa na mazao yote ikiwemo vanila, korosho, kokoa, mawese, mpunga, mahindi, ndizi chai, kahawa, mbao na biashara kati ya Tanzania na Malawi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…