Orodha ya majiji, miji na wilaya zenye mzunguko mkubwa wa hela Tanzania

Orodha ya majiji, miji na wilaya zenye mzunguko mkubwa wa hela Tanzania

Taarifa ya kubumba hii. Ina maana Wilaya ya Tandahimba ina makusanyo mengi kuliko halmashauri ya Mtwara & Mikindani? Uongo wa wazi wazi kabisa.
 
12.Tunduma TC =8.593,

13.Njombe TC=8.473,

14.Mufindi DC=8.232,

15.Moshi MC=7.570,

16.Tarime DC=6.718,

17.Mafinga TC=6.306,

18.Mbarali DC=6.241,

19.Rufiji DC=6.040,

20.Muleba DC=5.718,

21.Hanang' DC=5.655,

22.Mbinga DC=5.578,

23.Rungwe DC=5.521,

24.Kibaha TC=5.352,

25.Morogoro DC=5.268,

26.Geita DC=5.186,

27.Chunya DC=5.113,

28.Shinyanga MC=5.100,

Eti Shinyanga yazidiwa na hawa 😁 kuna kamoshi hapo sijakaelewa mkuu, mapato ya ndani yametokana na mbege ama?
 
Kwa Mwanza kuzidiwa na dom sijaelewa hapo. Ina maana dom ni zaidi ya mwanza!!!
 
Haitokija tokea kabisa hao watu Arusha imetoa wapi porojo tu

Arusha kuja kuipiku mwanza bado sana maana ukija overall ya mapato Arusha itakuwa ya sita mwanza ya pili usifikirie kabisa Arusha ashindane na moro tu maana ni pale mjini kuliko bakia umaskini tu
Kumbuka Jiji LA Mwanza ni Wilaya ya Nyamagana tu. Wilaya ya Ilemela ni Manspaa ! Halafu unasema Arusha aizidi Mwanza thubutuu
 
Kumbuka Jiji LA Mwanza ni Wilaya ya Nyamagana tu. Wilaya ya Ilemela ni Manspaa ! Halafu unasema Arusha aizidi Mwanza thubutuu
Unajielewa kweli angalia kweny list Nan kampiku mwenzie njoo sasa kweny jumla ya mapato ya mkoa mzima hata moro hamkuti usifananishe mwanza na upumbavu
 
Hakuna Jiji la Dar es Salaam,
Jiji ni Ilala.
Kino, TMK,Kg ni mikoa.
Kuna mkuu wa mkoa wa Temeke Jokate Mwegelo that's an example.
Dah.hizi shule mlienda kusomea ujinga jamani?
Lini Temeke ,kinondoni na kigamboni zimepandishwa hadhi kuwa mikoa?hizo ni manispaa ndani ya mkoa wa DSM.
 
Kanda ya ziwa yenye dhahabu na almasi na viwanda kemkem + utalii ndani ya mbuga za serengeti n.k!! eti inazidiwa mbali hivyo na dar 😁 mwanza ilitakiwa itofautiane angalau kidogo sana na dar, 27 kwa 167 kweli!!😁
 
Moja kwa Moja kwenye mada,

Leo nawajuza List ya Majiji,Miji,Manispaa na Wilaya 50 Zenye Mzunguko Mkubwa wa Hela hapa Tanzania ambazo zinafaa kwa biashara na uwekezaji..

Kigezo kinachotumika ni Makusanyo ya Mapato ya Ndani kuanzia shilingi Bilioni 4 na kuendelea kama yalivyoandaliwa na Tamisemi kwa mwaka 2021/2022.

Makusanyo hayo yanaashiria kwamba maeneo hayo yana shughuli za Kiuchumi zinazoleta pesa kwa watu na hivyo watu Wana purchasing power nzuri..

Figures are in Billions Tanzania Shilling.

1.Dar es Salaam CC=167.557

2.Dodoma CC=45.108,

3.Mwanza CC=27.688,

4.Arusha CC=24.333'

5.Tanga CC=17.392,

6.Mbeya CC=15.228,

7.Chalinze DC=10.240,

8.Mkuranga DC=10.011,

9.Kahama MC=9.957,

10.Morogoro MC=9.353,

11.Geita TC=9.024,

12.Tunduma TC =8.593,

13.Njombe TC=8.473,

14.Mufindi DC=8.232,

15.Moshi MC=7.570,

16.Tarime DC=6.718,

17.Mafinga TC=6.306,

18.Mbarali DC=6.241,

19.Rufiji DC=6.040,

20.Muleba DC=5.718,

21.Hanang' DC=5.655,

22.Mbinga DC=5.578,

23.Rungwe DC=5.521,

24.Kibaha TC=5.352,

25.Morogoro DC=5.268,

26.Geita DC=5.186,

27.Chunya DC=5.113,

28.Shinyanga MC=5.100,

29.Kilosa DC=5.093,

30.Iringa MC=5.018,

31.Kaliua DC=4.981,

32.Songea MC=4.912,

33.Ifakara TC=4.898,

34.Tabora MC=4.827,

35.Kilwa DC=4.779,

36.Mbeya DC=4.778,

37.Karatu DC=4.746,

38.Kibaha DC=4.664,

39.Msalala DC=4.634,

40.Misenyi DC=4.595,

41.Tandahimba DC=4.507,

42.Tanganyika DC=4.452,

43.Rungwe DC=4.421,

44.Tunduru DC=4.400,

45.Bagamoyo DC=4.322,

46.Singida MC=4.286,

47.Igunga DC=4.207,

48.Wanging'ombe DC=4.186,

49.Ngara DC=4.142,

50.Njombe DC=4.001..


My Take..

Mikoa ya Dsm, Pwani, Mbeya, Morogoro,Njombe na Shinyanga Wilaya zake ziko vizuri sana.👇

View attachment 2313627View attachment 2313628
Rungwe na Kyela hazimo pamoja na kuwa na mazao yote ikiwemo vanila, korosho, kokoa, mawese, mpunga, mahindi, ndizi chai, kahawa, mbao na biashara kati ya Tanzania na Malawi!
 
Back
Top Bottom