The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
- Thread starter
- #141
Ndio iko mkiani kule mwisho mwisho wa Orodha yaani ya 180Hivi nyie na vitakwimu vyenu mnaijua kasulu nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio iko mkiani kule mwisho mwisho wa Orodha yaani ya 180Hivi nyie na vitakwimu vyenu mnaijua kasulu nyie
Tulia we haters .dawa ikuingie ..Labda mkaze kwenye hizo stand 2
Nyamagana Kuna stand moja tu, hiyo nyingine iko ilemela. Pia nyamagana Kuna soko kuu, na pale ndo pesa iko pindi soko likikamilika.Labda mkaze kwenye hizo stand 2
MC=9.957,
.Shinyanga MC=5.100
.Msalala DC=4.634,
12.Tunduma TC =8.593,
13.Njombe TC=8.473,
14.Mufindi DC=8.232,
15.Moshi MC=7.570,
16.Tarime DC=6.718,
17.Mafinga TC=6.306,
18.Mbarali DC=6.241,
19.Rufiji DC=6.040,
20.Muleba DC=5.718,
21.Hanang' DC=5.655,
22.Mbinga DC=5.578,
23.Rungwe DC=5.521,
24.Kibaha TC=5.352,
25.Morogoro DC=5.268,
26.Geita DC=5.186,
27.Chunya DC=5.113,
28.Shinyanga MC=5.100,
Kumbuka Jiji LA Mwanza ni Wilaya ya Nyamagana tu. Wilaya ya Ilemela ni Manspaa ! Halafu unasema Arusha aizidi Mwanza thubutuuHaitokija tokea kabisa hao watu Arusha imetoa wapi porojo tu
Arusha kuja kuipiku mwanza bado sana maana ukija overall ya mapato Arusha itakuwa ya sita mwanza ya pili usifikirie kabisa Arusha ashindane na moro tu maana ni pale mjini kuliko bakia umaskini tu
Waulize TamisemiEti Shinyanga yazidiwa na hawa 😁 kuna kamoshi hapo sijakaelewa mkuu, mapato ya ndani yametokana na mbege ama?
Hilo sio swali ni jibu.Kwa Mwanza kuzidiwa na dom sijaelewa hapo. Ina maana dom ni zaidi ya mwanza!!!
Kama hutaki weka taarifa yakoTaarifa ya kubumba hii. Ina maana Wilaya ya Tandahimba ina makusanyo mengi kuliko halmashauri ya Mtwara & Mikindani? Uongo wa wazi wazi kabisa.
Unajielewa kweli angalia kweny list Nan kampiku mwenzie njoo sasa kweny jumla ya mapato ya mkoa mzima hata moro hamkuti usifananishe mwanza na upumbavuKumbuka Jiji LA Mwanza ni Wilaya ya Nyamagana tu. Wilaya ya Ilemela ni Manspaa ! Halafu unasema Arusha aizidi Mwanza thubutuu
Nyanda za Juu ina maendo 15, na Lake zone ina maeneo 10.Ila baada ya Dsm naona maeneo mengi ya kanda ya ziwa yametawala sana hiyo orodha.
Dah.hizi shule mlienda kusomea ujinga jamani?Hakuna Jiji la Dar es Salaam,
Jiji ni Ilala.
Kino, TMK,Kg ni mikoa.
Kuna mkuu wa mkoa wa Temeke Jokate Mwegelo that's an example.
We bwege inakuwaje manispaa kongwe kama bukoba haimo kwenye 50 bora ya ukusanyaji wa mapato ikizidiwa na DC na TC nyingi tu za Tanzania?Waulize Tamisemi
Rungwe na Kyela hazimo pamoja na kuwa na mazao yote ikiwemo vanila, korosho, kokoa, mawese, mpunga, mahindi, ndizi chai, kahawa, mbao na biashara kati ya Tanzania na Malawi!Moja kwa Moja kwenye mada,
Leo nawajuza List ya Majiji,Miji,Manispaa na Wilaya 50 Zenye Mzunguko Mkubwa wa Hela hapa Tanzania ambazo zinafaa kwa biashara na uwekezaji..
Kigezo kinachotumika ni Makusanyo ya Mapato ya Ndani kuanzia shilingi Bilioni 4 na kuendelea kama yalivyoandaliwa na Tamisemi kwa mwaka 2021/2022.
Makusanyo hayo yanaashiria kwamba maeneo hayo yana shughuli za Kiuchumi zinazoleta pesa kwa watu na hivyo watu Wana purchasing power nzuri..
Figures are in Billions Tanzania Shilling.
1.Dar es Salaam CC=167.557
2.Dodoma CC=45.108,
3.Mwanza CC=27.688,
4.Arusha CC=24.333'
5.Tanga CC=17.392,
6.Mbeya CC=15.228,
7.Chalinze DC=10.240,
8.Mkuranga DC=10.011,
9.Kahama MC=9.957,
10.Morogoro MC=9.353,
11.Geita TC=9.024,
12.Tunduma TC =8.593,
13.Njombe TC=8.473,
14.Mufindi DC=8.232,
15.Moshi MC=7.570,
16.Tarime DC=6.718,
17.Mafinga TC=6.306,
18.Mbarali DC=6.241,
19.Rufiji DC=6.040,
20.Muleba DC=5.718,
21.Hanang' DC=5.655,
22.Mbinga DC=5.578,
23.Rungwe DC=5.521,
24.Kibaha TC=5.352,
25.Morogoro DC=5.268,
26.Geita DC=5.186,
27.Chunya DC=5.113,
28.Shinyanga MC=5.100,
29.Kilosa DC=5.093,
30.Iringa MC=5.018,
31.Kaliua DC=4.981,
32.Songea MC=4.912,
33.Ifakara TC=4.898,
34.Tabora MC=4.827,
35.Kilwa DC=4.779,
36.Mbeya DC=4.778,
37.Karatu DC=4.746,
38.Kibaha DC=4.664,
39.Msalala DC=4.634,
40.Misenyi DC=4.595,
41.Tandahimba DC=4.507,
42.Tanganyika DC=4.452,
43.Rungwe DC=4.421,
44.Tunduru DC=4.400,
45.Bagamoyo DC=4.322,
46.Singida MC=4.286,
47.Igunga DC=4.207,
48.Wanging'ombe DC=4.186,
49.Ngara DC=4.142,
50.Njombe DC=4.001..
My Take..
Mikoa ya Dsm, Pwani, Mbeya, Morogoro,Njombe na Shinyanga Wilaya zake ziko vizuri sana.👇
View attachment 2313627View attachment 2313628