Jamesdominic
JF-Expert Member
- Nov 26, 2022
- 549
- 732
Again Ukabira huu.Nawashangaa sana hawa watu,, hizi nilizoweka ni statistics tu watu wa kabila flani wamejazana sehemu flani.
suala la ukabila ni kutanguliza maslahi ya kabila lako kwenye vitu vya kitaifa hasa kwa wenye mamlaka serikalini ya kufanya maamuzi ya kuajiri, kutoa mikopo, kugawa rasilimali, kugawa tenda, scholarships, maamuzi ya bajeti ya taifa, n.k.
Vingunguti na tabatawapare tuko wapu?
Ukipanda mwendokasi au daladala la kimara likimbie sana halafu lifunge break ghafla utasikia kelele za Yesu na Maria kama zote basi zima utafikiri uko kanisani kanisa katoliki kigango cha Bikra Maria , KilimanjaroKimara noma mpaka harufu ya kitimoto
Wakinga wanapoishi Dar siri yao ni watu wa kujificha na kuficha kabila lao mitaani hawataki kujulikana sababu ya ushirikinaWakinga???
Tafuta pesa mkuu acha kuwa na wivu ,wakinga ni hard working na wapo na displine kubwa linapokuja suala la pesa,ukishindwa sio mbaya kujiunga naoWakinga wanapoishi Dar siri yao ni watu wa kujificha na kuficha kabila lao mitaani hawataki kujulikana sababu ya ushirikina
Buguruni wamejazana Warangi+ Buguruni.
Kibaha mail mojawapare tuko wapu?
Kibaha sio Dar es salaam ni mkoa wa Pwani.Kibaha mail moja
Wahindi ndio wametufundisha hilo tunaishi kwa makundi kama waoMambo ya kukusanyana kabila moja iwe ni huko mlikotoka sio kwenye miji ya watu...
Wangoni Keko1. Wachaga - Kimara
2. Wakurya - Ukonga hasa Kitunda
3. Wahaya - Mwananyamala na sinza
4. Wapemba - Kigamboni
4. Wanyakyusa - Nyomi lao lipo keko
5. Mbagala - wamakonde
Sisi ni waafrika asili yetu ni mzunguko...Wahindi ndio wametufundisha hilo tunaishi kwa makundi kama wao
Wengine humo wachawi ngumu kuchanganyikaKwanini Mzaramo Mruguru Mmasai Msandawe Mnyamwezi na Muha wasiishi sehemu moja?
Wengine humo wachawi ngumu kuchanganyika