Orodha ya makabila yaliyojaza sehemu mbali mbali DSM

Wakavikatae na vitabu,filamu,hadithi na michezo yote inayohusu makabila.Tujitambue.
 
Wakinga wanapoishi Dar siri yao ni watu wa kujificha na kuficha kabila lao mitaani hawataki kujulikana sababu ya ushirikina
Wapo Kinyerezi akitokea tajiri mmoja kwenye ukoo wanaitana ndugu wengi wanaishi pamoja. Alafu wanapenda kununua ardhi jirani yao, sijaona Wakinga anaishi mtu na mke wake lazima tu utaona sijui mtoto wa jirani sijui mtoto wa shangazi. Matajiri na waliopauka hatari humohumo nyumba moja.
 
1. Wachaga - Kimara
2. Wakurya - Ukonga hasa Kitunda
3. Wahaya - Mwananyamala na sinza
4. Wapemba - Kigamboni
4. Wanyakyusa - Nyomi lao lipo keko
5. Mbagala - wamakonde
Kuna aliyekutuma kufanya hiyo kazi? Huna kazi za kufanya? Haya tupatie takwimu halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…