Kwani kuna mtu asiye na kabila? Kule England niliona watu wa kabila la Wales ambao lugha yao mama sio kiingerza ila Kiwelsh na lugha yao wanaandika haina a,e,i na o. Kabila la Waingereza ndio lugha mama yaani kabila la ufalme wa Uingereza. Kiingereza kwao ni lugha ya 2 kama Kiswahili kilivyo kwa kabila zote nchini labda kabila la Waswahili kama lipo.Again Ukabira huu.
Tangu lini kauli ya ukweli ikatenguliwa?tengua kauli yako hyo
Samewapare tuko wapu?
ukabila upo wapi mkuu?Ukubila na Tanzania yeti wapi na wapi?
mkuu unawapangia watu pa kuisha as if hizo nyumba unawajengea weweWatanzania hatupaswi kuishi kwa vikundi vya kikabila...
Tunapaswa kuchangamana...
Maana kimsingi sisi sote ni waswahili...
Mambo ya kukusanyana kabila moja iwe ni huko mlikotoka sio kwenye miji ya watu...
Milimani mkilima tangawiziwapare tuko wapu?
LAn'gata social hall unajua ilipokuwa? Huo ndiyo mtaa wenu.wapare tuko wapu?
Nifanye mpango nihamie hukoBuza - Warangi.
Kwa Masaki,mikocheni labda wasmasai walinziWamasai Masaki, Mbezi beach, Upanga,Msasani , Mikocheni upo nyonyo kama mnabisha ushaidi upo
Huo ukumbi wa zamani Kinondoni au sio ule?LAn'gata social hall unajua ilipokuwa? Huo ndiyo mtaa wenu.
Kimaroroni, hii ipo kibosho,na kibosho ipo kimara.Kimara siyo poa Waite tu kimaro
Walinzi,si ndiyo?Wamasai Masaki, Mbezi beach, Upanga,Msasani , Mikocheni upo nyonyo kama mnabisha ushaidi upo
Huo huo.Huo ukumbi wa zamani Kinondoni au sio ule?
Sahihi kuna wengine hadi midomo kimara imechongoka kama ya nguruwe kwa kupuliza moto wa kuni na majiko ya kupikia kitimoto .Si unaijua ile midomo ya nguruwe iko kama ya mtu anapuliza moto wa kuni wa kitimoto anachopikaKimara noma mpaka harufu ya kitimoto
wapare tuko wapu?
Jirani zenu WAGWENO wapo Kibaha maili Moja, Mlandizi, Vigwaza hadi Chalinze.wapare tuko wapu?
Huko sio Dar mada inaongelea DarJirani zenu WAGWENO wapo Kibaha maili Moja, Mlandizi, Vigwaza hadi Chalinze.
Unamaanisha mimi sioTabata na Ilala pale , kuna ndugu zangu kibao mpaka naona noma .
[emoji23][emoji23]Keko panaitwa bonde la Mwakaleli kwa wanyakyusa original .Lugha kuu kinyakyusa ikifuatiwa na kiswahili