Orodha ya mastaa wa JamiiForums ambao wakipost ni hatari kwa likes na kuchangiwa hoja zao

Wawe makini wasijiingize kwenye matumizi ya madawa ya kulevya na skendo za kijinga mana maisha ya kistaa yana changamoto sana...

[emoji125]
Hahaaaa. Katika siku zote leo ndio umewaza mbali rafiki. [emoji12]

Huu ndio ukweli kwa upande wangu pia. Teh teh
 
Mkuu ishu sio likes ishu ni point, kuna watu wanapost uzi wa maana ila likes mbili ila mtu akipost uzi wa kijinga likes za kumiminika, likes sio kipimo cha u genius kijana, use ur common sense,
Mkuu siku hizi JF imevamiwa na kizazi cha instagram. Watu natafuta like na comments tu
 
List ya watoto wenzako!

Umeacha watu muhimu kama Chief-mkwawa, Mwl Rct, Pascal Mayalla na wengineo...
 
kuna watu mna tabia ya kupenda vibovu, asa list gani mbovu ivo

japo umetutaka kutoa list zetu ila iyo list yako ni mbovu sana. nenda jukwa la intelligence uone wanavyo tupia madude ya maana.
hahaa akili zake. zimechacha huyu ....hii ndio athari ya kushinda kwenye majukwaa ya ukuda
 
Hongera naona Bado una mature!.
Mwez ujao post zinatoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…