Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahaaaa. Katika siku zote leo ndio umewaza mbali rafiki. [emoji12]Wawe makini wasijiingize kwenye matumizi ya madawa ya kulevya na skendo za kijinga mana maisha ya kistaa yana changamoto sana...
[emoji125]
Huu ndio ukweli kwa upande wangu pia. Teh teh