sishindi kwenye ukuda pekee thats why ...Nina majukwaa pendwa zaidi ya hayo ...hata wewe mwenyew huwa nakuonaga kwenye majukwaa yenye hoja fikirishi...kitu ambacho nitofauti na kwamtoa mada...yeye anaganda huku huku tu ..so wadhani watu kama Mwanahabari Huru @kiranga.@deception atawajulia wapWee kwenye ukuda huwaga hukosekanii nashangaa unatupondaa
The bold ashatajwa mno wanatajwa wapya wapya pia wahenga wapumzikeUnamuachaje
The bold
Ontario
Na mimi ntaanza baada ya miaka miwili
Habari yako celeb??Nilikuwa sijaona huu uzi nimecheka jamani,mastaa wa jamiiforums makubwa haya
Hapana nadhani ye katoa list ya upande wa majukwaa ya MMU,chitchat hao wanajulikana kwa nondo za hatari humu toka zamanisishindi kwenye ukuda pekee thats why ...Nina majukwaa pendwa zaidi ya hayo ...hata wewe mwenyew huwa nakuonaga kwenye majukwaa yenye hoja fikirishi...kitu ambacho nitofauti na kwamtoa mada...yeye anaganda huku huku tu ..so wadhani watu kama Mwanahabari Huru @kiranga.@deception atawajulia wap
Nzuri kwenye list umesahaulika na demiss,demiss kanimaind mbayaaHabari yako celeb??
Mie sina likes nyingi bwanaa. Demiss wifi angu wamemsahauje sijui.Nzuri kwenye list umesahaulika na demiss,demiss kanimaind mbayaa
me kwangu we ni zaidi ya superstar[emoji8]
naomba mtu flan asipite apa
HahahaKuandamana kwenyewe hatuwezi acha tuchekeshane tu
KWELI KILA MASIKA NA MBU WAKE!
Mie sina likes nyingi bwanaa. Demiss wifi angu wamemsahauje sijui.
Mbona unazo nyingi mnoMie sina likes nyingi bwanaa. Demiss wifi angu wamemsahauje sijui.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mchumba pm zako itabidi nizirudie kwanzaIla wewe una PM zangu nyingi, ningetangaza star wangu wa PM ningekutaja mchumba.
Ustaa umeupima vipi, any way mi Nina watu hapa huwa nawafutilia sana
Pascal Mayalla Kuna jmushi1 Sky Eclat na Evelyn Salt BAK Malcom Lumumba tindo hawa watu hawa wana mchango yao fulani kuna na wengine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mchumba pm zako itabidi nizirudie kwanza
Iceman ndio maana huwa nakupenda mnooo,wakiwa jf siriaz kweli na kutuponda sisi huku eti mada za kipuuzi watuache na kelele zao za kwenye keyboardHahaha
Huwa nawashangaa watu wanao jifanya wako sirias hapa bongo. Wangekuwa siriaz Magufuli angewechezea kama anavo taka hivi?[emoji23]
Bora tujikite kwenye burudani tuu maana mengine yasha tushinda
Yaan hapa nasubiria tu aje atahisi nimetoa rushwa kabisaHahahaaaa.. Demiss kaniambia anahisi umemuhonga mtoa mada afutwe yeye uwekwe wewe.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Iceman ndio maana huwa nakupenda mnooo,wakiwa jf siriaz kweli na kutuponda sisi huku eti mada za kipuuzi watuache na kelele zao za kwenye keyboard
Na tunajikita zaidi kwenye burudani
Tena watuache kabisaaa ila mbona sikuoni kwenye list au o kwenye list ya mioyoni mwa watu tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2] [emoji2] [emoji2]
Watuache