Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
[emoji2]mmh kwa umpendaye ni kitu kikubwa hicho labda kama hamuoneani wivu
Usjali you've got my back Inna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2]mmh kwa umpendaye ni kitu kikubwa hicho labda kama hamuoneani wivu
Broo , hapa penyew umekosa like mpaka dakika hii, una safari ndefu Sana.ngoja nianze kuusaka ustar wakulike na kuchangia..... msiwe mnasahau kuni tag watoa mada aka nyuzzi
[emoji120] [emoji120] [emoji8][emoji2]
Usjali you've got my back Inna
Nani kakuruhusu umfuatilie mke wangu Sky Eclat ? Unataka kurogwa?Ustaa umeupima vipi, any way mi Nina watu hapa huwa nawafutilia sana
Pascal Mayalla Kuna jmushi1 Sky Eclat na Evelyn Salt BAK Malcom Lumumba tindo hawa watu hawa wana mchango yao fulani kuna na wengine
duuh siamin mwanafunzi wangu ndo umekua mtaalam hvii wa kutuma pm hadi kwa mastar wa jf kama MziguaIla wewe una PM zangu nyingi, ningetangaza star wangu wa PM ningekutaja mchumba.
[emoji4] [emoji8] [emoji4][emoji120] [emoji120] [emoji8]
hivi hiyo life ban "" huwaga ipo !? aaahh yule hata akipigwa ban anaanzisha I'd nyingine kwani humjui ?a
atakua kapewa life ban nn?? ngoja tumuulize Da'vinc Mzee wa kujua multiple id atuambie id mpya ya rfk yetu
Hivi mbona sijaona popote pale ukinitaja? Au posts zangu siku hizi hazitikisi mtima wako?duuh siamin mwanafunzi wangu ndo umekua mtaalam hvii wa kutuma pm hadi kwa mastar wa jf kama Mzigua
sijamjua bado ebu ning'ate sikiohivi hiyo life ban "" huwaga ipo !? aaahh yule hata akipigwa ban anaanzisha I'd nyingine kwani humjui ?
heheee babu we ndo star wa jf achana na hawa wageni wa juziHivi mbona sijaona popote pale ukinitaja? Au posts zangu siku hizi hazitikisi mtima wako?
Haya njoo Bunju mara moja nikutwange na mvinyo uupendao. Nyama choma hilo si la kuuliza...heheee babu we ndo star wa jf achana na hawa wageni wa juzi
hyo list ni invalid
on ma way kwa kukimbia kabisa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Haya njoo Bunju mara moja nikutwange na mvinyo uupendao. Nyama choma hilo si la kuuliza...
Nakusubiri, sitaki visingizio.
Hahaha nimeachaaNani kakuruhusu umfuatilie mke wangu Sky Eclat ? Unataka kurogwa?
Safi kabisa... ntakuzawadia mjukuu wangu mmoja uhangaike naye.Hahaha nimeachaa
Angalia usianguke... usije ukanitia aibu mbele ya wapambe wangu...on ma way kwa kukimbia kabisa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
hehe sawa babu sitakutia aibuAngalia usianguke... usije ukanitia aibu mbele ya wapambe wangu...
Ningeshangaa kama ungesema "ungenitia" aibu. Maana wewe si wa kunitia walahhehe sawa babu sitakutia aibu
hahaha hyo zawaidi ya pink ni kama ile ya nandy?[emoji85]Ningeshangaa kama ungesema "ungenitia" aibu. Maana wewe si wa kunitia walah
BTW nina zawadi yako... ina rangi ya pink.
Yani wewe una akili ya kutosha sana... Nimekukubali kama mama wa mzee wetu wa Chattle...hahaha hyo zawaidi ya pink ni kama ile ya nandy?[emoji85]