Orodha ya mastaa wa JamiiForums ambao wakipost ni hatari kwa likes na kuchangiwa hoja zao

Orodha ya mastaa wa JamiiForums ambao wakipost ni hatari kwa likes na kuchangiwa hoja zao

a

atakua kapewa life ban nn?? ngoja tumuulize Da'vinc Mzee wa kujua multiple id atuambie id mpya ya rfk yetu
hivi hiyo life ban "" huwaga ipo !? aaahh yule hata akipigwa ban anaanzisha I'd nyingine kwani humjui ?
 
heheee babu we ndo star wa jf achana na hawa wageni wa juzi

hyo list ni invalid
Haya njoo Bunju mara moja nikutwange na mvinyo uupendao. Nyama choma hilo si la kuuliza...

Nakusubiri, sitaki visingizio.
 
Haya njoo Bunju mara moja nikutwange na mvinyo uupendao. Nyama choma hilo si la kuuliza...

Nakusubiri, sitaki visingizio.
on ma way kwa kukimbia kabisa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom