Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
???Kwa kweli mgombea Tundu Lissu anasikitisha sana kutoa matusi mazito kabisa na kudhalilisha wenzie. Kwa haraka haraka nimeyanyaka baadhi ya matusi yake ambayo yanalalamikiwa sana:
- Ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato ambao haukufuata utaratibu na haukupitishwa na bunge
- Wafanyakazi kutopata nyongeza ya mshahara kwa miaka mitano..
Asante sana kwa list njema ya matusi mazito.Kwa kweli mgombea Tundu Lissu anasikitisha sana kutoa matusi mazito kabisa na kudhalilisha wenzie. Kwa haraka haraka nimeyanyaka baadhi ya matusi yake ambayo yanalalamikiwa sana:
- Ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato ambao haukufuata utaratibu na haukupitishwa na bunge
- Wafanyakazi kutopata nyongeza ya mshahara kwa miaka mitano...
Hili tusi ndio litamuudhi zaidi mtukufu11. Mjomba rais, mpwa chief paymaster (hii ni ya leo leo kutoka pale Mbarali)
Leo watanzania tumefinguliwa macho kwa kweli. Kumbe uwanja wa ndege chato ni ufisadi kupindukia????Kwa kweli mgombea Tundu Lissu anasikitisha sana kutoa matusi mazito kabisa na kudhalilisha wenzie. Kwa haraka haraka nimeyanyaka baadhi ya matusi yake ambayo yanalalamikiwa sana:
- Ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato ambao haukufuata utaratibu na haukupitishwa na bunge
- Wafanyakazi kutopata nyongeza ya mshahara kwa miaka mitano....
kimsingi siyo matusi ni hoja ambazo zinahitaji majibu ya msingi ,ili watu waelewe.KUSEMA NI MATUSI HIYO NI LUGHA YA KICHOCHEZI.Atafanya nn akipata nafasi ndio muhimu, kila tusi atoe na yeye atasawazisha vipi
there's no stopping Lissu now... meli ishang'oa nanga hiyo!hili tusi ndio litamuudhi zaidi mtukufu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ki msingi siyo matusi ni hoja ambazo zinahitaji majibu ya msingi ,ili watu waelewe.KUSEMA NI MATUSI HIYO NI LUGHA YA KICHOCHEZI.