Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kat
Lissu Apunguze haya Matusi jiwe akiyaona analia sana.see
Kurudisha Mchakato wa Katiba Mp
ya ndani ya siku 100. Akiwa k.
Ku list tu hakutoshi, aseme yeye kama Rais mtarajiwa atafanya nini akipewa nafasi. Wao ni mafundi wa kuweka lists eg. List of shame na nyingine, hawakuonyesha solutions ndio maana pamoja na ma list yote wenzao wanapeta tu na hata oct 28 watapeta vile vile huku yeye akibaki na hayo matusi mkononi. Watanzania sio wajinga, tunajua tufanyacho.Kwa kweli mgombea Tundu Lissu anasikitisha sana kutoa matusi mazito kabisa na kudhalilisha wenzie. Kwa haraka haraka nimeyanyaka baadhi ya matusi yake ambayo yanalalamikiwa sana:
- Ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato ambao haukufuata utaratibu na haukupitishwa na bunge
- Wafanyakazi kutopata nyongeza ya mshahara kwa miaka mitano
- Kukosekana kwa uhuru wa kutoa maoni kulikopelekea kutungwa sheria kandamizi
- Kujali maendeleo ya vitu badala ya watu
- Kunyima vyama vya siasa uhuru wa kikatiba wa kufanya siasa
- Matumizi mabaya ya fedha za mifuko ya bima ya afya na hifadhi, matumizi kinyume na malengo. Zikikopwa hazirudishwi
- Ongezeko kuuuubwa la makato ya Bodi ya Mikopo toka 8% mpaka 15%
- Elimu duni isiyowajenga watoto wetu kujitegemea
- Kutokufanyika uchunguzi wa kina wa mauaji, utekaji na kupigwa kwake risasi
- Mbinyo kwa vyombo vya habari
- Ongeza na wewe matusi mengine, mi nimeweka machache tu
Kwa kweli mgombea Tundu Lissu anasikitisha sana kutoa matusi mazito kabisa na kudhalilisha wenzie. Kwa haraka haraka nimeyanyaka baadhi ya matusi yake ambayo yanalalamikiwa sana:
- Ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato ambao haukufuata utaratibu na haukupitishwa na bunge
- Wafanyakazi kutopata nyongeza ya mshahara kwa miaka mitano...
Mpaka na wewe umetukanwa!!! Dah kweli Lissu kiboko, Soma Ilani ya CDM afu hudhuria mikutano yake achakwenda kuangalia wakata viuno wa CCM. Miaka mitano yupo jukwaani bado anahitaji msaada wa wasanii? Hi ccm ni yahovyooo na haitakuja kutokea Tena.Ku list tu hakutoshi, aseme yeye kama Rais mtarajiwa atafanya nini akipewa nafasi. Wao ni mafundi wa kuweka lists eg. List of shame na nyingine, hawakuonyesha solutions ndio maana pamoja na ma list yote wenzao wanapeta tu na hata oct 28 watapeta vile vile huku yeye akibaki na hayo matusi mkononi. Watanzania sio wajinga, tunajua tufanyacho.
Huwezi kujua anachosema sababu unashinda kukataa viuno kwenye fiesta zenu huko!!Yeye Lissu atafanya nini akipewa nchi,watanzania mpaka sasa wanakaa kusubiri labda atatueleza siku zijazo lakini Lissu ameshindwa kabisa kutueleza.
unadhani hasemi? mfuatilie kampeni na sera za wagombea,usisubiri kuhadisiwaKu list tu hakutoshi, aseme yeye kama Rais mtarajiwa atafanya nini akipewa nafasi. Wao ni mafundi wa kuweka lists eg. List of shame na nyingine, hawakuonyesha solutions ndio maana pamoja na ma list yote wenzao wanapeta tu na hata oct 28 watapeta vile vile huku yeye akibaki na hayo matusi mkononi. Watanzania sio wajinga, tunajua tufanyacho.
Hakika amekosa adabu kabisa, matusi mazito namna hiyo?? Bora hata angesema Mxhenzy, materkow, kixaaa, mngeseee, faler, maninor, mbwor, fyceee, ckangeer, nakadharika nakadharika [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwa kweli mgombea Tundu Lissu anasikitisha sana kutoa matusi mazito kabisa na kudhalilisha wenzie. Kwa haraka haraka nimeyanyaka baadhi ya matusi yake ambayo yanalalamikiwa sana:
- Ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato ambao haukufuata utaratibu na haukupitishwa na bunge
- Wafanyakazi kutopata nyongeza ya mshahara kwa miaka mitano...
Aisee hivi hadi Sasa bado Kuna watanganyika hawawezi kutambua kuwa maendeleo ya mtu binafsi, nani nani anayeyaleta??Kwa kweli mgombea Tundu Lissu anasikitisha sana kutoa matusi mazito kabisa na kudhalilisha wenzie. Kwa haraka haraka nimeyanyaka baadhi ya matusi yake ambayo yanalalamikiwa sana:
- Ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato ambao haukufuata utaratibu na haukupitishwa na bunge
- Wafanyakazi kutopata nyongeza ya mshahara kwa miaka mitano...
Tusi kubwa kuliko yote: Namtaka Rais Magufuli,Msomi wa PhD,kwenye Mdahalo...Kwa kweli mgombea Tundu Lissu anasikitisha sana kutoa matusi mazito kabisa na kudhalilisha wenzie. Kwa haraka haraka nimeyanyaka baadhi ya matusi yake ambayo yanalalamikiwa sana:
- Ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato ambao haukufuata utaratibu na haukupitishwa na bunge
- Wafanyakazi kutopata nyongeza ya mshahara kwa miaka mitano
- Kukosekana kwa uhuru wa kutoa maoni kulikopelekea kutungwa sheria kandamizi
- Kujali maendeleo ya vitu badala ya watu
- Kunyima vyama vya siasa uhuru wa kikatiba wa kufanya siasa
- Matumizi mabaya ya fedha za mifuko ya bima ya afya na hifadhi, matumizi kinyume na malengo. Zikikopwa hazirudishwi
- Ongezeko kuuuubwa la makato ya Bodi ya Mikopo toka 8% mpaka 15%
- Elimu duni isiyowajenga watoto wetu kujitegemea
- Kutokufanyika uchunguzi wa kina wa mauaji, utekaji na kupigwa kwake risasi
- Mbinyo kwa vyombo vya habari
- Ongeza na wewe matusi mengine, mi nimeweka machache tu
Wataka kuelezwaje?Mbona kila kukicha aeleza sera za chama chake?Labda akufuate personally, na kama ndivyo, atafuata wote milioni 29 ?Yeye Lissu atafanya nini akipewa nchi,watanzania mpaka sasa wanakaa kusubiri labda atatueleza siku zijazo lakini Lissu ameshindwa kabisa kutueleza.
Ila Lissu naye apunguze matusi. Lile la 1.5 trillions mbona analisema chini chini?