Blood thirsity leader must go to hell.Kwa kweli mgombea Tundu Lissu anasikitisha sana kutoa matusi mazito kabisa na kudhalilisha wenzie. Kwa haraka haraka nimeyanyaka baadhi ya matusi yake ambayo yanalalamikiwa sana:
- Ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato ambao haukufuata utaratibu na haukupitishwa na bunge
- Wafanyakazi kutopata nyongeza ya mshahara kwa miaka mitano
- Kukosekana kwa uhuru wa kutoa maoni kulikopelekea kutungwa sheria kandamizi
- Kujali maendeleo ya vitu badala ya watu
- Kunyima vyama vya siasa uhuru wa kikatiba wa kufanya siasa
- Matumizi mabaya ya fedha za mifuko ya bima ya afya na hifadhi, matumizi kinyume na malengo. Zikikopwa hazirudishwi
- Ongezeko kuuuubwa la makato ya Bodi ya Mikopo toka 8% mpaka 15%
- Elimu duni isiyowajenga watoto wetu kujitegemea
- Kutokufanyika uchunguzi wa kina wa mauaji, utekaji na kupigwa kwake risasi
- Mbinyo kwa vyombo vya habari
- Ongeza na wewe matusi mengine, mi nimeweka machache tu