Uchaguzi 2020 Orodha ya matusi mazito ya Tundu Lissu kwa CCM na Mgombea

Ku list tu hakutoshi, aseme yeye kama Rais mtarajiwa atafanya nini akipewa nafasi. Wao ni mafundi wa kuweka lists eg. List of shame na nyingine, hawakuonyesha solutions ndio maana pamoja na ma list yote wenzao wanapeta tu na hata oct 28 watapeta vile vile huku yeye akibaki na hayo matusi mkononi. Watanzania sio wajinga, tunajua tufanyacho.
 

Ni kweli kabisa, unaja watu wengine ukiwaambia ukweli wanakasirika.

Tunaomba utuwekee matusi ya upande wa pili ili tujue mkurugenzi anamzungumzia nani.
 
  • Kuomba wagombea urais washiriki kwenye mdahalo waelezee sera, mipango na maono yao
  • Wakulima wa Korosho na mazao mengine walipwe cash hakuna kuwakopa
  • Kangomba kuruhusiwa kununua mazao ya kilimo maana hata kahawa au chai hununuliwa na kangomba wa kimataifa kwanini kangomba wa kusini wazuiwe
  • Kudai uhuru na haki , yaani mfano wananchi kuwa na uhuru wa kulalamika, kukosoa na ya kulipwa wakibomolewa nyumba n.k
 
Mpaka na wewe umetukanwa!!! Dah kweli Lissu kiboko, Soma Ilani ya CDM afu hudhuria mikutano yake achakwenda kuangalia wakata viuno wa CCM. Miaka mitano yupo jukwaani bado anahitaji msaada wa wasanii? Hi ccm ni yahovyooo na haitakuja kutokea Tena.
 
unadhani hasemi? mfuatilie kampeni na sera za wagombea,usisubiri kuhadisiwa
 
Hakika amekosa adabu kabisa, matusi mazito namna hiyo?? Bora hata angesema Mxhenzy, materkow, kixaaa, mngeseee, faler, maninor, mbwor, fyceee, ckangeer, nakadharika nakadharika [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Aisee hivi hadi Sasa bado Kuna watanganyika hawawezi kutambua kuwa maendeleo ya mtu binafsi, nani nani anayeyaleta??
 
Mwanzo nilisikia kuwa kuna wagombea wana kauli kalikali, sasa nasikia kuna matusi, baadae watasema nini?

Wachungaji baadhi hukemea maovu au shetani kwa sauti ya ukali kukemea.

Sasa ikitokea mgombea anakemea dhulma iliyofanyika mnataka awe kama anabembeleza?

Hivi tukiwa wa kweli nani anaongoza kwa kufoka au kauli kalikali kabla na wakati wa kampeni?

Wakubwa vumilieni wananchi wataamua katika makasha ya kura bila makeke. Hofu yenu nini na mna shuhuda nyingi za kukonga nyoyo za wapiga kura?
 
Tusi kubwa kuliko yote: Namtaka Rais Magufuli,Msomi wa PhD,kwenye Mdahalo...
 
45. Tusi jingine kudorola mahuasiano kimataifa, leo kajibiwa mbona alichaguliwa M.kiti SADC.Sina hakika kuna uchaguzi SADC bali mzunguko kwa wanachama kila mwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…