Uchaguzi 2020 Orodha ya matusi mazito ya Tundu Lissu kwa CCM na Mgombea

Blood thirsity leader must go to hell.
 
ccm ni MAZEZETA! MATAHIRA! Yanatapa tapa sana mwaka huu, yatazungumza kila neno lakini bado tunayaona ni mashetani tu
 
Twenzetu chato tukatembee kuna makumbusho wa UWANJA wa ndege inayotua ndege moja tu kwa kila mwaka

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Yeye Lissu atafanya nini akipewa nchi,watanzania mpaka sasa wanakaa kusubiri labda atatueleza siku zijazo lakini Lissu ameshindwa kabisa kutueleza.

โ€œMtu anawaambia hamtolipa kodi,halafu akimaliza anaanza kuwachangisha pesa, analeta vibakuli, vinaendana hivyo Ndugu zangu!?, Watanzania mjitambue, si angekuwa hawaombi hata nyinyi anaowahubiria, akiingia fedha zilizokusanywa watazila zote,Majuto ni Mjukuuโ€-JPM akiwa Kagera
 
Ushatukana tayari! Wewe sii mzalendo!!๐Ÿ˜‚ Au unatumiwa na โ€˜mabeberuโ€™!!!?
 
Kuwatimua wafanyakazi na kumwacha BASHITE na vyeti feki kavamia clouds. Hilo nalo ni tusi baya sana
 
ccm gani haujatumia wasanii?

Viva Magu
Heil JPM
Mpaka na wewe umetukanwa!!! Dah kweli Lissu kiboko, Soma Ilani ya CDM afu hudhuria mikutano yake achakwenda kuangalia wakata viuno wa CCM. Miaka mitano yupo jukwaani bado anahitaji msaada wa wasanii? Hi ccm ni yahovyooo na haitakuja kutokea Tena.
 
11. Mjomba rais, mpwa chief paymaster (hii ni ya leo leo kutoka pale Mbarali)

Mjomba anatoa order, mpwa analipa halafu Mtwasi/ Bageshi anajenga. Kweli Lissu ana matusi
 
kuna masheikh zaidi ya 70 Arusha wako jela sababu ya kuipinga BAKWATA, Askofu niwemugizi kaulizwa cheti cha babu yake athibitishe uraia wake, Askofu Zakaria Kakobe kanyang'anywa passport, Askofu Raymond Saba kanyang'anywa passport yake, halafu huyu eti ndo mtu anayejifanya mnyenyekevu mcha Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ